Wengi wanadhani Waziri mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiy ni Muislam kumbe ni mlokole pure

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Waziri mkuu kijana wa Ethiopia ambaye amepokea tuzo ya noble peace prize si Muislam wengi wanavyodhani bali ni mprotestasti pure mlokole na kanisani hakosi kila jumapili.

Abiy ambaye baba yake ni kabila la Oromo na mama yake Amhara aliamua kufuata dini ya mama yake ya Ukristo badala ya baba yake ambae alikuwa Muislam. Ila jina la Ahmed ni la baba yakr.
 
KISICHOJULIKANA NA WENGI NO KWAMBA UISLAMU NI UKRISTO NA UKRISTO NI UISLAMU.
N.B,ROMAN CATHOLICS NDIO WALIUANZISHA UISLAM,JAPO BAADA YA MUDA KUTOKANA NA UTARATIBU AMBAO WALIUPANGA KWA WAKATI HUO JINSI YA KUUSAMBAZA KUPITIA SHERIA KALILIKUWA BADO KIDOGO MWANA HUYO ALIYEANZISHWA AMZIDI NGUVU BABA YAKE,ITS A LONG LONG TRUE STORY MY SON AND DAUGHTER (from hidden story of the world)
 
ROMAN CATHOLICS NDIO WALIUANZISHA UISLAM,JAPO BAADA YA MUDA KUTOKANA NA UTARATIBU AMBAO WALIUPANGA KWA WAKATI HUO JINSI YA KUUSAMBAZA KUPITIA SHERIA KALILIKUWA BADO KIDOGO MWANA HUYO ALIYEANZISHWA AMZIDI NGUVU BABA YAKE,ITS A LONG LONG TRUE STORY MY SON AND DAUGHTER (from hidden story of the world)
Upo sahihi na wengi hawajui hii kitu.
 
Back
Top Bottom