-“Wengi wameoa, kuolewa na wasiowapenda, nimefurahi kukutana nawe Ebitoke” Ben Pol -

Kwani ni vibaya yeye kumpenda mwanamke ambaye amemwonyesha hisia zake?
Sio vibaya, ila wakikorofishana au ben pol atakapomuumiza huyo ebitoke ni rahisi sana kwa sisi wanaume kutumia silaha ya kwanza haukuwa chaguo langu ulijileta tu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom