Wengi walio-oa pisi kali, wanaishi maisha ya mateso sana, tuwaombee

Tuwaheshimu wake zetu ... Kuna magoma unapiga kwa kuwa mjini TANTAWI ... Mpaka goma linakuuliza umekosa nini kwa mkeo ... Mke wangu ni kisu ila sasa nikiwa Wimbi daaah ... Ndio maana nkasema naachana na tungi nabaki na Mneli... Take it from mke
 
Mwanaume was ukweli lazima uoe pisi kali na kwa kuniamini kabisa. Inakuaje mwanaume halisi unoa mke sura kama ya babake kisa kuogopa pisi kali kwa maneno ya kudanganyana humu? Kuna watu wameoa wake zao hadi wanajishtkia kutembea nao njiani pamoja ndo nni Sasa kids kuogopa pisi kali. Be real men c'mon.
 
Back
Top Bottom