Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

Leo nimepata raha sana kwani nimekutana na wanafunzi 4 wa chuo kikuu cha Dar na wakaniambia wanakwenda kupiga kura Ubungo. Na kila mmoja akaniambia kuwa anashangaa kwa sababu kila wanapojaribu kuwapigia simu rafiki zao wanawambia kuwa nao wanaandaa safari kwenda kupiga kura Ubungo. Wamekiri kuwa kama kuna watakaokosa katika zoezi hili ni wachache sana.......niwape siri? wate wako side ya Mnyika.........Mdogo wangu Mnyika kura hizo nne zihesabu kwa hakika.
 
Back
Top Bottom