Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,323
- 40,174
Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana, mwingine anajua sarakasi za kila namna, mwingine ana ladha tofauti, wengine wanajua ku-handle n.k
Inapotokea ameolewa/amemuoa M, kasoro atakazokutana nazo kwa M zitamshawishi kukumbuka kule alikotoka, na hatimaye kuendelea ku-cheat huku akiwa na mke/mme.
Kitakachomfanya atulie sehemu moja sio kwamba umemzibiti, bali ni yeye mwenyewe aamue kuachana na yaliyopita na kuishi na wewe kwa kuvumiliana.