NDOA: Majukumu ya Mume na Mke...

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
MAJUKUMU YA MKE

JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME...

YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA...

MKE NI UTULIVU WA MUME
MKE NI STAREHE YA MUME
MKE NI BURUDISHO LA MUME
MKE NDIO NYENZO KUU YA KULETEA VIUMBE WAPYA DUNIANI(KWA AJILI YA WATOTO)...
MKE NI MLEZI WA FAMILIA...MKE AKIWA MBOVU NA FAMILIA PIA INAKUWA NI MBOVU...(nazungumzia watoto)
MKE AMELETWA KUWA KWA AJILI YA MUME...NA SIO KWA AJILI YA FAMILIA YA MUME...KWAHIYO ANATAKIWA AKIDHI MATAMANIO NA MATAKWA YA MUME...NA SI YA FAMILIA YA MUME, WALA JAMII NZIMA...
Mke akifanya majukumu mengine zaidi ya hayo ni IHSAANI(WEMA) TU...WALA SIO WAJIBU AU LAZIMA KWAKE...

Sasa jukumu la kufanya kazi mke kulisha familia sijui NANI KAWAPA...?
Sawa mnasema mnatusaidia...KWANI NANI KAWAOMBA MTUSAIDIE...?
KWANI SISI TUNAWASAIDIA KUBEBA MIMBA..?
TUNAWASAIDIA KUZAA..?
TUNAWASAIDIA KUNYONYESHA..?

MAJUKUMU YA MUME

KUMSIMAMIA MKE KIIBADA NA KIMAISHA KIUJUMLA
KUMLISHA MKE
KUMVISHA MKE
KUMTUNZA MKE
KUITUNZA FAMILIA(Mke na watoto)

MUME HAJAOA FAMILIA NZIMA YA MKE, KWAMBA NI LAZIMA AIHUDUMIE NA FAMILIA YAKE...HAPANA...

MUME HAUTAKIWI KUSAIDIWA MAJUKUMU YAKO NA MKE...KWA SABABU WEWE HUWEZI NA HUTAWEZA KUMSAIDIA MAJUKUMU YAKE...

IPO HIVYO NA IMEANDIKWA HIVYO...

NA MKITAKA KWENDA KINYUME NA HAYO...
NDIO MAJANGA MBALIMBALI YA KWENYE NDOA YANATOKEA...
Anayebisha aje hapa...
 
Dunia imetanuka sana mkuu,wanawake sio kwamba wanawasaidia wanaume hapana.

Kinachofanyika ni wao kujisaidia wenyewe kwanza,utakutaa mwanamke hajaolewa lakini ana kazi yake safi na halaghaiwi na wanaume kwa sababu anajipatia mahitaji yake,huyu anamsaidia mwanaume gani kama sio wazazi wake?

Mwanamke anaweza somea udaktari akawa anatibu vizuri wanawake wenzie,unadhani huyu anamsaidia mumewe kwanza kabla ya wanawake wenziee anaewatibu?

Unaichukuliaje hali ya mkeo anaenda spitali anakutana na mwanaume anashikwa shikwa na mwanaume then hata kutibiwa na mwanaume ilhali mwanamke yuko angeweza kusoma na kufikia pale,hiyo hali ni mbaya au nzurii?

Haijakatazwa mwanamke kuwa na kazi zake ikiwa tu hafanyi mabaya kama bi khadija mke wa mtume sala na salamu ziwe kwake alikuwa mfanya biashara mkubwa na mumewe ndo akawa anasimamia na alikuwa akimsaidia mumewe kimali jambo ambalo wewe unalikataa etiiii.loooohhhhhh.

Sema tu mwanamke anahitaji kulelewa vizuri,kutunzwa vizuri kimalezi tokea utotoni ili akianza kuwa mkubwa asiharibikiwe kila anapopita na kwenda.
 
Wapenda mitelezo watakupinga sana mkuu
Viben 10 wataskip huu uzi kama hawauoni hiviiiiiii....
Lakin ndo hali halis hiii
 
Dunia imetanuka sana mkuu,wanawake sio kwamba wanawasaidia wanaume hapana.

Kinachofanyika ni wao kujisaidia wenyewe kwanza,utakutaa mwanamke hajaolewa lakini ana kazi yake safi na halaghaiwi na wanaume kwa sababu anajipatia mahitaji yake,huyu anamsaidia mwanaume gani kama sio wazazi wake?

Mwanamke anaweza somea udaktari akawa anatibu vizuri wanawake wenzie,unadhani huyu anamsaidia mumewe kwanza kabla ya wanawake wenziee anaewatibu?

Unaichukuliaje hali ya mkeo anaenda spitali anakutana na mwanaume anashikwa shikwa na mwanaume then hata kutibiwa na mwanaume ilhali mwanamke yuko angeweza kusoma na kufikia pale,hiyo hali ni mbaya au nzurii?

Haijakatazwa mwanamke kuwa na kazi zake ikiwa tu hafanyi mabaya kama bi khadija mke wa mtume sala na salamu ziwe kwake alikuwa mfanya biashara mkubwa na mumewe ndo akawa anasimamia na alikuwa akimsaidia mumewe kimali jambo ambalo wewe unalikataa etiiii.loooohhhhhh.

Sema tu mwanamke anahitaji kulelewa vizuri,kutunzwa vizuri kimalezi tokea utotoni ili akianza kuwa mkubwa asiharibikiwe kila anapopita na kwenda.
UMEONGEA POINT NZURI SANA SHUKRAN SANA...

SHIDA HAWA WADADA WETU...WANAONA KWAO KAZI NI LAZIMA KULIKO KUZIHUDUMIA NDOA ZAO...
 
Naam kaka ndo mana nikassema panahitaji malezi mazuri tokea utotoni nikikusudia kwamba mtoto afundishwe tabia njema namna ya kuishi na watu na pia afundishwe kuwa ndoa nayo ina umuhimu mkubwa sana na asifundishwe chuki kuwa kuolewa ni upuuzi au hakufai bali iwe kinyume chake.

Wanawake baadhi wameolewa na wana fanya kazi zao na heshima juu kwa waume zao kutokana na malezi waliyokuzwa nayo,mwanamke ni kiumbe anayeweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja na akayafanya kwa ukamilifu kabisa.

Anaweza kuihudumia ndoa na akawa anafanya kazi zake,japo mwanaume naye anatakiwa kuwa muelewa mfano mke ni mwalimu anafundisha na analeta msaada katika familia basi mwanaume hana haja ya kusubiri kila kazi aje afanye mkewe hapana naye ajiongeze kwa sababu maisha ni kusaidiana.

Ndyo mana mtume muhammad akiwasaidia wake zake kazi mbali mbali ndani kwake ila leo watu wanakaa na remoti ukumbini huku mke akitoka kazini apike afue n.k.

UMEONGEA POINT NZURI SANA SHUKRAN SANA...

SHIDA HAWA WADADA WETU...WANAONA KWAO KAZI NI LAZIMA KULIKO KUZIHUDUMIA NDOA ZAO...
 
Hiyo ya kuoa mke then unapewa mizigo ya kutunza nyumba nzima ....inakaribia kunifanya nihamie mkoa mwingine. So complicated
 
Wengi tunaingia kwenye mahusiano au ndoa,bila kujua majukumu yetu.Na hii imesababisha watu wengi kulia lia kwenye mahusiano kutokana na majukumu wanayokutana nayo. Je majukumu ya mke/mpenzi wa kike ni yapi? na majukumu ya mume/mpenzi wa kiume ni yapi?
 
Back
Top Bottom