Wengi mjini Bukoba wanaamini Pinda alilwatupia changa la macho wale wanaokabiliwa na bomoabomoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wengi mjini Bukoba wanaamini Pinda alilwatupia changa la macho wale wanaokabiliwa na bomoabomoa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Mar 14, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku iliyofuatia mkutano wa hadhara wa waziri mkuu hapa Bukoba mjini, nyumba nyingi maalum hapa mjini, ziliwekwa alama ya "X" kuashiria ya kwamba nyumba hizo zitavunjwa kwakuwa ziko kwenye hifadhi ya barabara. Kutokana na watu kulipigia kelele suala hilo, waziri mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara nyumbani kwa waziri wa barabara na ujenzi Pombe Magufuli huko Chato, aliagiza husitishwaji wa zoezi hilo nchi nzima. Hata hivyo watu wengi waliokuwepo wakati wa majumuhisho ya ziara yake mkoani Kagera wamejenga hisia kwamba kauli ya kusitisha zoezi la bomoabomoa aliyoitoa huko Chato ilikuwa ni ya kisiasa, lakina bomoa bomoa hiyo bado iko pale pale.
   
 2. Matemanga

  Matemanga Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hio ni siasa pure make law inasema zibomolewe labda kama mswada utapelekwa bungeni,na haya mambo ndo yanaiponza ccm kwa kutofata sheria.Na wameshindwa kuwaelimisha rai kuhusu sheria mbalimbali kama afanyavyo dr MAGUFULI
   
Loading...