Wengi kutimkia CCM kwanzia tarehe 24 July

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
250
tarehe 23 July akipewa uenyekiti watu wengi watatimkia CCM Mpya iliyojaa uadilifu mkubwa!!sisi wote wenye mapenzi mema na taifa letu tujumuika kwa wingi!!!

Mungu mbariki Rais wetu ,Mungu ibariki Tanzania!!
 

pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,879
2,000
tarehe 23 July akipewa uenyekiti watu wengi watatimkia CCM Mpya iliyojaa uadilifu mkubwa!!sisi wote wenye mapenzi mema na taifa letu tujumuika kwa wingi!!!

Mungu mbariki rais wetu ,Mungu ibariki Tanzania!!
bendera fuata upepo.
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
54,615
2,000
Ni kweli kabisa ni watu wengi wameonekana Dodoma wakishangilia kwa bashasha
1468956683021.jpg
 

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,099
2,000
Ulivyo muongo hadi kuandika unachapia hiyo ndo sifa ya muongo huwa hana kumbukumbu anaharaka ya kutaka kuaminika.
 

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,578
2,000
Magamba ya kuishia kiunoni au sijui mapacha watatu hiyo stori ndo tunaizika live
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom