Wenger afukuzwe au aendelee kuwa kocha

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
The way Arsenal wenger he is doing, Ili Arsenal ipate taji inabd huyu mzee aondoke. 5 years bila kuifunga man utd. It is a shame 6 year bila kikombe it is a shame. Arsenal Fan
 
The way Arsenal wenger he is doing, Ili Arsenal ipate taji inabd huyu mzee aondoke. 5 years bila kuifunga man utd. It is a shame 6 year bila kikombe it is a shame. Arsenal Fan

Hivi Alex F. Kwa kuchukua makombe kwa mchezo wa kubebwa afukuzwe ?
Ili Man U ipate taji la halali huyu mzee aondoke
Its a shame
Man U fan
 
hivi huyu bana wanashauriana tu jinsi ya kumfukuza kweli???
 
Huwezi kumfukuza mtu ambaye anaendana na matakwa ya waajiri wake.Kila kazi ina malengo yake na budget yake.Kwa sasa Wenger anaendana na budget ya Arsenal na malengo yao pia na ndio maana board inampenda na wala msitegemee kufukuzwa leo wala kesho labda kama timu itauzwa.Na timu ikiuzwa pia huyo mnunuzi kama atampa hela Wenger ya kununua timu ya kuleta kombe Wenger ana uwezo wa kufanya hivyo pia.

Kinachofanyika sasa hivi ni kuwa na timu yenye budget ndogo na inayoweza kushindana kitu ambacho Wenger kafanikiwa mpaka sasa na madeni yanalipwa vizuri tu na timu hela inaingiza vizuri.


Sisi mashabiki ndio tuna uchu mkubwa sana wa kombe kwani ndio mafanikio makubwa ya timu yoyote lakini wana board wao kombe ni sehemu ya lengo lao lakini sio muhimu sana, muhimu ni ku-balance kitabu cha mahesabu.N a kwa vile kitabu chao kinaenda vizuri chini ya uongozi wa Wenger kwamba anaipeleka timu kwenye nafasi nzuri japo kwa budget ndogo ndio maana hawatomfukuza.


Muhimu ni uvumilivu wakuu tutakula mbivu huko mbeleni.
 
Liverpool-v-Arsenal--001.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom