Wendawazimu ni kutenda kinyume na kawaida

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,787
699,360
1443291749914.jpg
 
Mwendawazimu ni wewe usiyeweza tambua kuwa watoto wanaweza fanya jambo ambalo alifikiriki na kumuona mtoto alivaa hivyo kuwa ni mwenda wazimu.
 
Mwendawazimu ni wewe usiyeweza tambua kuwa watoto wanaweza fanya jambo ambalo alifikiriki na kumuona mtoto alivaa hivyo kuwa ni mwenda wazimu.

Sikufikiri Kama nawewe unaweza kusupport upuuzi....!!! Huyu kavalishwa kisha akapigwa picha, kwa lengo maalum
 
Mwendawazimu ni wewe usiyeweza tambua

Kweli mwendawazimu ni wewe usiyeweza kutambua.

...kuwa watoto wanaweza fanya jambo ambalo alifikiriki

Wee mwenye akili timam kwa upeo wa fikra na uelewa wako unadhani ni yeye (mtoto) ndiye aliyefanya hilo jambo au kafanyishwa na mmoja wa wendawazimu kama wewe ?.

Mpaka ipelekee useme eti...

na kumuona mtoto alivaa hivyo kuwa ni mwenda wazimu.

KARIBU TENA | THE HOME OF GREAT THINKERZ.
 
Angekuwa amevaa ya chadema mngeshadadia na misifa hatari, okey ndio ashapigwa, wewe uliyeipost unatofauti gani na huyo unayehisi ni mwendawazimu aliyeipiga??
 
Angekuwa amevaa ya chadema mngeshadadia na misifa hatari, okey ndio ashapigwa, wewe uliyeipost unatofauti gani na huyo unayehisi ni mwendawazimu aliyeipiga??
atoto unaelewa nini maana ya habari?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa tanzania baba wa huyo mtoto amesolve problem nyingi sana!Ni baba
mjanja si mwendawazimu.

Anamtafutia wafadhili wa shule.utitiri wa michango na ada mashuleni unaochangiwa na sera mbovu za ccm umewafanya watu wengi kuwa tegemezi kwa misaada ya wagadhili.
 
Sikufikiri Kama nawewe unaweza kusupport upuuzi....!!! Huyu kavalishwa kisha akapigwa picha, kwa lengo maalum

Mnashangaa kumumuona mtoto anaenda kwenye mkutano wa "chichiem" kumuona msanii na kushuhudia zoezi la pushup? maana ya muweka picha ni kueleza thinkers kuwa nguo za kikundi chake cha chichiem zinagawika hata kwa wasio wanakikundi ili kupata idadi kubwa ya mahudhurio kuwa kikundi kilikuwa kimefurika,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom