Elections 2010 weman Empowerment siyo kwenye mambo nyeti jamani

Uko sahihi ndugu, tuongee mengi lakini linapofika suala la mwanaume na mwanamku tofauti zipo kabisa za kimaumbile, kisayansi, ki imani, kijamii na kisheria zinazotofautisha mke na mme. Uliyoyasema ni kweli kabisa, akina mama hawajiamini hata kidogo.

Mfano Mkuu wa wilaya huko Tanga (Betty Mkwasa), kuna wakati fulani mtoto aligongwa na gari barabarani na wananchi wakamua kuziba barabara kwa lala, sasa huyu kiongozi (wa wilaya nzima ikiwa ni majimbo, na kata) alifika pale kuwasihi watu waondoke, ndipo kukawa na delay kidogo yule mama akasema (kirahisi rahisi) "au mnadharau mimi kwa kuwa ni mwanamke", hii inatoa picha gani? Wanawake hawajiamini hata kidogo.

Ikatai wanawake laa, kuna kazi ambazo mwanamke anafanya kwa ufanisi zaidi kuliko mwanamme.

Si uziweke wazi tuzione hizo tofauti za kisayansi na kisheria tuone zonahusiana nini na utendaji kazi Wa mwanamke?

Kuongea kwa hisia tu ni rahisi lakini ndio linalomtofautisha great thinker na watu wa vijiweni.

Kutojiamini kwa Betty Mkwasa ni kosa lake binafsi ( kama ilikuwa hivyo), huwezi kuchukua mfano wa mtu mmoja kutumia kwa wanawake wote
 
Ndugu silve hiyo ni kweli, Kwani hata alipobanwa Zakia Megji wakati wa EPA alisema wanamwonea kwa vile yeye ni mwanamke na Balali alimdanganya kwa vile yeye mwanamke.

Sasa tunakwenda wapi, ila mwisho wa sisiem umekaribia.

Maana hata huyo sita waliyemtoa ana kiherehere sasa atakoma ubishi ndio watamaliza mafisadi.
 
Weeee wacha gundu nikuulize angekuwa wa upinzani ungesemaje,Mama ana uwezo na anajiamini kuliko siyo wa kubabaishwa
 
Mtu ambae hata anashindwa kuandika women kwa usahihi wake anatarajia tuamini kuwa amebobea kwenye kuwajua wanawake na kusema 'limeandikwa halifutiki'
 
@ Silver25; Baba Enock ana maana au nawe hujachambua Heading juu (Weman) sio WOMAN ...!!
hivo silver hajakosea kuuliza anataka ajue huyu weman ni nani katika hii mada...!! pls silver think before!!
Makosa ya uandishi hyanakubalika no one is perfect but dont dont shit anybody for asking Good dau silver25, BABA enock and the rest
 
Umekosa cha kukosoa umeona neno hilo tuu,, na Kama Kasoro ni hiyo Hata watafiti huwa wanakosea,, Madaktari pia huwa wanakosea,, Walikosea aMadaktari pale Muhimbili kumfanyia Oparesheni mgonjwa wa mguu wakapasua Kichwa na Wa kichwa wakapasua mguu,, na Bado ni Madaktari wanaendelea na kazi ya upasuaji Sembuse maneno bwana,,

Ongea kama mtu aliye funga Safari kutafuta kazi ya kufanya na si kuzurura kama huna kazi ya kufanya ykaamua kuja jamii forums
 
We dada nimelipenda jina lako "KATELERO", unatokea kule Muleba kwenye maji mengi? Inaonekana mwanamke wa shoka.
 
Kumbe ameelewa kilicho maanishwa so alikuwa anahitaji nini? kama weweumesha eleza who i am tema,, what thing do you want me to explain ambacho hakieleweki jamani,,

Kuhusu kukosea
Wanakosea madactari kwenye oparation sembuse mimi bwana,, mi siyo mungu au malaika,,, ambao wanakuwa wamejazwa uwezo wa Roho mtakatifu hawakosei..
Muhimbili Madactari walifanya oparation kwa mtu ya mguu, wakati alitakiwa apigwe ya Kichwa na mwingine tofauti yake,,
 
jamani ee hivi kunakasoro ambayo mimi nimemuonea mwanamke hapo juu? maana naona watu anatokwa na mapovu na wengine wanatamani wapige ngumi comp zao
 
nafikiri cha msingi ni kujadili uwezo wa Anna na si uwanamke wake. Wangapi hawezi na si wanawake? Nchi zote zilizochagua marais wanawake raia wake hawana akili kuliko ninyi. kuna mifano kibao ya wanawake waliofanyamakubwa dunian, mpo sayari gani? fumbuen macho. Ni wanawake wangapi walokuzidi ktk harakati zako eidha kimasomo au biashara na mengiyo ni kweli mnazungumzia tabia za wake zenu.
 
Inashangaza kuona mtu mpenda maendeleo na mabadiliko anakuwa na fakira za kijahili kama hizi.

Nchi zilizoendelea which has more at stake zimechagua wanawake kwenye ngazi za juu zaidi za uongozi na hawajutia uamuzi wao kwa kuwa wanajadili watu kwa utendaji na sio kwa jinsia

Kama hupendezewi na utendaji wa bi makinda mjadili yeye binafsi
 
Kwa mwenye Akili timamu atanikubalia kwamba Sijaongelea Nchi zilizo endelea... Kwa Tanzania ni mapema sana kwa kuwaachia Wanawake Office nyeti za kiselikali kwasababu we are striving for the National Development..

Rudia Tena muheshimiwa kisha toa Coments,, sijakataa kwa kusema kuwa Wanawake hawafai,, la Hasha soma vizuri,, au umeadisiwa kisha ukatoa Coments,, eti kaka,Dada
 
ni nafasi yao hata Wema Sepetu alipewa ukuu wa wanawake wazuri kuliko wote TZ akaharibu alafu anaitwa Balozi kwa kuwa aliwakilishaTZ Lakini kuna ambao wazuri Kama Nguvu alizonazo Asha Rozi Migiro Mbona anaongoza vizuri tu
 
@Silver, Kiukweli MADA yako UMECHEMKA, see Reference
1.Gaijin Comments
2.Cyp Mkali comments Best Idea!!
Please jifunze kutoka kwao, Dont write if you don't have anything to write.
 
Asha rose amekaimu au ameshika Madaraka,, na UN anaongoza nini kama si urafiki aliokuwa nao yeye na Ban tokea zamani ndo akampromote kule,,
Kwa nafasi ya Migiro ni mzuri na mimi siwezi kuilaumu hata kidogo,,
Mimi naongelea Tanzania, tupo katika kipindi cha kufanya mabadiliko,, tunataka Mabadiliko ya kikatiba, Mabadiliko ya kiuchumi, Mabadiliko ya ya Kisiasa na Mision ans Vision,,

Mwanamke ni mzito kutoa Maamuzi,, mpaka akaombe msaada kwa mtu,, hii itamuweka Pabaya, kama maamuzi aliyo fanya Sitta bunge lililopita ,Makinda hawezi,, anaweza kuharibu kwasababu tupo kwenye kipindi kigumu jamani munielewe
 
Hivi John umenawa uso? mbona unaandika Pumba hapa, huku povu linakutoka Kilango
unaujamaa nae nini
 
Njia waliyotumia kikundi kidogo tu kuchakachua na kupendekeza watu dhaifu watatu ili mmoja apite kirahisi siyo sahihi. Hata kama haja ilikua ni kupata speaker mwanamke alitakiwa apatikane kwa kupambanishwa na speaker anayetoka. Sio haki kumweka pembeni bila kosa lolote mgombea anayetetea kiti chake wakati wanachama na wanchi wengi wanamkubali.

CCm walaaniwe kwa kuwanyima watanzania kiongozi wamtakae.

Lazima tujifunze kuwa Bongo hakuna pipoz pawa kuna manez pawa, Slaa na Sitta wanalijua makinda na JK can Audit this statement and air their views
 
Asha rose amekaimu au ameshika Madaraka,, na UN anaongoza nini kama si urafiki aliokuwa nao yeye na Ban tokea zamani ndo akampromote kule,,
Kwa nafasi ya Migiro ni mzuri na mimi siwezi kuilaumu hata kidogo,,
Mimi naongelea Tanzania, tupo katika kipindi cha kufanya mabadiliko,, tunataka Mabadiliko ya kikatiba, Mabadiliko ya kiuchumi, Mabadiliko ya ya Kisiasa na Mision ans Vision,,

Mwanamke ni mzito kutoa Maamuzi,, mpaka akaombe msaada kwa mtu,, hii itamuweka Pabaya, kama maamuzi aliyo fanya Sitta bunge lililopita ,Makinda hawezi,, anaweza kuharibu kwasababu tupo kwenye kipindi kigumu jamani munielewe

hukuandika kuwa sifa za wanawake ulizozitaja ni za wanawake wa Tanzania tu. Ikiwa mwanamke ameweza kwenye nchi zilizoendelea, hakuna kinachozuwia kuwa asiweze katika nchi inayoendelea unless utuambie sifa za mwanamke kwenye nchi iloendelea na zinazoendelea sasa ni tofauti.

sasa nakuona kidogo unaanza kuelekea unapoenda kwa kuanza kumzungumzia Makinda kama Makinda na sio kujaza wanawake wote kwenye kapu moja linaloongozwa na tamaduni yako ya kijahili.
 
Wewe Gaijin ni mwana CCM mchakachuaji tuu, sasa kama alikuwa anaweza kwanini walimtoa Sitta mapema wakati wanajua hawezi wakamuweka ma mabwenyenye wenzake?
CCM bureee tuuuuu,,,, Wachakachuaji wakubwanyinyi Gaijin
 
Anne makinda ni mwanamke pia ni mwajibikaji lakini siyo kwenye mambo Nyti kama Bunge. Kwa Tanzania ni mapema sana kwa kuwaachia Wanawake Office nyeti za kiselikali kwasababu we are striving for the National Development..

Kasoro za Wanawake
1. Mwanamke anakasumba ya kususasusa ( na hii ni Nature haiwezi kubadilika ila itafichika kwa muda tu)
Wakati huo Bunge la sasa lime jaa vijana wenye moyo wa kutafuta Maendeleo ya Tanzania toka vyama Pinzani na Wadadisi,, Speaker mwanamke hawezi kuvumilia mikiki ya challanges kutoka vyama pinzani vyenye uchu kimaendeleo.


2. Mwanamke ana roho ya kisasi na kutafuta Heshima kwa nguvu, (hii ni nature ya wanawake wote,, wanapokuwa na power hupenda kutumia power hiyo kutaka kupata heshima kwanguvu hata kama amepata)
Bungeni kuna maudhi ambayo Mwanamke akiwa Speaker hawezi kuyahimili ""matokeo yake mijadala mingi itakuwa inazuiliwa kwasababu tu ya chuki zitakazo tengenezwa na Roho za kike,

3. Mwanamke ana unyanyasaji akiwa juu, (Hii nayo ni nature ya wanawake wote.)
sasa unyanyasaji huu ulijitokeza hata Bunge lillopita pale Kabwe Zito alipo kuwa akitaka kutoa hoja alikuwa anakalishwa chini ili asichangie kitu) Ninahofu mambo hayo yatatokea kama tukiruhusu mbunge awe Anna Makinda,,,

Watanzania sisi tunaweza kupinga chchiote Selikali kitakacho amua, lakini kama tukiawa na Nguvu ya Pamoja (people Power)
lakini woga wetu hautatupeleka popote pale tutaishi akunyonywa na Familia tisa za matiajiri nchini ambao wanaiendesha nchi kwa sasa kwa kutumia Kikwete na Selikali yake


Issue Siyo Gender, bali ilikuwa ndiyo strategy pekee waliyoona kumundoa Sita. Hivyo usipoteze muda wako kuongelea hilo. Issue ya unyeti kwao siyo priority, ndiyo maana hata raisi hawaoni nani anayeweza kuliokoa taifa. wao kwao rais ni ajira na opportunity ndiyo maana wanatumia mabavu kuhakikisha wanaipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom