weman Empowerment siyo kwenye mambo nyeti jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

weman Empowerment siyo kwenye mambo nyeti jamani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by silver25, Nov 12, 2010.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katik vitu ambavyo mimi vinanifanya nimuone Kikwete ni Mbumbumbu wa kufikiri, ni kung'ang'ani kuwapa Wanawake Nafasi nyeti Selikalini,, jamani Si vibaya lakini Hii nchi ni nchi inayo chuchumia ki uchumi inahitaji watu wenye mamuzi mazito na wenye kufanya maamuzi hata pale kunapotokea kunavitisho kutoka sehem mbalimbali (Mfano Ben William Mkapa)

  Hii itafanya nchi yetu iendelee,, Mimi sikatai kuwa wanawake wengine ni Wachapa kazi lakini Kunawakati si wakuwa tegemea kwasababu Hii nchi yetu ina laslimali nyingi inapofikia Swala la maendeleo kuvunja Mikataba ya kilaghai tulio sign kwasababu ya Ujinga wa Viongozi wetu hapa Tanzania (Mfano wa Bandari ya Dar) kunahitajika mtu jasiri asiye na woga

  Mimi napingasana tabia hii ya Kikwete na CCM yake
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli lakini :tape2::tape2::tape2:
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli!! lakini :tape2::tape2::tape2:
   
 4. M

  Mchili JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Njia waliyotumia kikundi kidogo tu kuchakachua na kupendekeza watu dhaifu watatu ili mmoja apite kirahisi siyo sahihi. Hata kama haja ilikua ni kupata speaker mwanamke alitakiwa apatikane kwa kupambanishwa na speaker anayetoka. Sio haki kumweka pembeni bila kosa lolote mgombea anayetetea kiti chake wakati wanachama na wanchi wengi wanamkubali.

  CCm walaaniwe kwa kuwanyima watanzania kiongozi wamtakae.
   
 5. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walaaniwe hawa Jamaa,, Etui wamemuapisha tena na wasio na AKili wakipiga Makofi
   
 6. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unaongelea mwanamke wako au,
   
 7. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiwe kama umekatwa kichwa wewe haujasoma habali inahusu nini,, kama huna cha kuandika kakojoe kalale,, na kama wewe ni mwanamke basi you are amon of them
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Silver25

  Hayo maelezo yako yame base kwenye utafiti gani?
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  What is "weman"?
   
 10. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kifupi Tabia hii wanawake wanayo,, na nyinyi munaohoji inaelekea ni Wanawake,, inauma kuambiwa ukweli lakini inabidi muvumilie,,, kwani uwongo wanawake huwa hawanuni?
  Hawachuniani? hakuna vijembe kwa wanawake? ukinijibu hayo basi utapata maana ya hicho ninacho kielezea,
   
 11. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu mbona una hasira hivyo, hukuchaguliwa jimboni kwako nini? unaposema wanawake wote wana kasoro hizo ulizozitoa
  hiyo tafiti umeifanya lini, hebu tupe data kwanza kabla hajaanza kutoa povu, usije ukawa unaandika tabia za mke wako hapa
   
 12. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Silver huo ni ukweli mtupu watu wengi sijui kwa nini wanapingana na ukweli siku zote.
   
 13. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakua Darasa hapa.
   
 14. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sema tabia ya mwanamke wako, hujui tabia zangu na za wengine
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tupe tafiti uliyofanya kufikia hapo. Hatuwezi tu kuchukua maneno yako kama yalivyo kama hayana vidhibiti.

  Unawajua wanawake wote? Utafiti wako uliuendesha kwa njia gani au kijiweni?
   
 16. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi ndugu, tuongee mengi lakini linapofika suala la mwanaume na mwanamku tofauti zipo kabisa za kimaumbile, kisayansi, ki imani, kijamii na kisheria zinazotofautisha mke na mme. Uliyoyasema ni kweli kabisa, akina mama hawajiamini hata kidogo.

  Mfano Mkuu wa wilaya huko Tanga (Betty Mkwasa), kuna wakati fulani mtoto aligongwa na gari barabarani na wananchi wakamua kuziba barabara kwa lala, sasa huyu kiongozi (wa wilaya nzima ikiwa ni majimbo, na kata) alifika pale kuwasihi watu waondoke, ndipo kukawa na delay kidogo yule mama akasema (kirahisi rahisi) "au mnadharau mimi kwa kuwa ni mwanamke", hii inatoa picha gani? Wanawake hawajiamini hata kidogo.

  Ikatai wanawake laa, kuna kazi ambazo mwanamke anafanya kwa ufanisi zaidi kuliko mwanamme.
   
 17. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unatabia hizo na ndo maan unatoka povu kuhoji,, ungekuwa hunazo usinge tumia nguvu kujitafutia utetezi kilicho andikwa hakifutwi Dada,, munatakiwa kujifunza,,

  ukweli unauma saa lakini pole sikujua kama itakuuma kiasi hiki,, Pole sana kite real sory
   
 18. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  :rip:CCM
   
 19. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  and what is nyeti?
   
 20. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna Darasa jamani Go to the google.com,, kisha andika hilo neno utapata meanings
   
Loading...