Wema Sepetu's appeal CHONDE CHONDE WAANDISHI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu's appeal CHONDE CHONDE WAANDISHI

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ngoshwe, Jan 23, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  My take:

  Tafwadhali wajameni waandishi, hizi lugha za mahakamani tuwe nazo makini.

  Damages case = kesi ya madai ya fidia, "damages" = fidia na sio uhalibifu wa mali kama ilivyoripotiwa hapa.

  Appeal = rufaa, hakuna rufaa bila hukumu, na rufaa hufanywa kwa mahakama ya juu zaidi.

  "Accuser" = accused/ accused person".????? OR " Complainant/Pursuer/Claimant etc kwa maana ya mlalamikaji/mshtaki???. Kwa mfumo wa sheria zetu hatuna mtu anaitwa "ACCUSER" ni "accused"

  Hakuna "play" ni "pray/prayer".

  Kinondoni high court judge: Mahakama ya hakimu mkazi (Resident /District Magistrate Court haina Jaji , Jaji ni Mahakama Kuu. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkulu wake anatambulika kama "Magistrate Incharge" na sio Jaji (Judge).


  Chonde chonde wajemeni waandishi tuwe makini na tunayoandika ....tunawajibika kwa taaluma yetu kwa jamiii (Professional duty of care). Tunapo potosha au kudanganya, tunaweza kujikuta kwenye matatizo. Tafwadhali, Tafwadhali wajemeni, tukishindwa tuulize basi, au tujifunze kwa wengine, sio dhambi.!.....kila taaluma inaongozwa na msingi yake, ni vyema tunapotaka kuandika masuala ya kitaaluma tukauliza au kujifunza mambo ya msingi kwenye taaluma husika.

  Kama ambavyo Mhandisi asieijua taaluma ya habari asivyoweza kuandika kitaalamu kuhusu taaluma ya habari, ndivyo ambavyo Waandishi wanavyohitaji kujifunza pia kuandika habari za taaluma ya Uhandisi na nyinginezo.
   
 2. ulimboka

  ulimboka Member

  #2
  Jan 23, 2010
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa kurekebisha tabia ndio maana tunaomba hawa reporters wawe wanajifunza mambo kama wa wenzao wa ulaya ili wawe wanaripoti na kuuliza maswali relevant. Mi pia nimewahi kusoma posteponement of the case na mambo kibao huu si wakati wa kupotosha jamii. Ni vyema waombe msaada wa kutafsiriwa ili mambo yaende ipasavyo
   
 3. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  mimi kwa kweli nalia sana na waandishi wetu wa habari maana wengi habari zao ukizisoma kwa umakini huwa zinapotosha ukweli.
  Jamani hebu msidhaliishe taaluma yenu basiiiiii!!!!!!
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  bongo hakuna waandishi wenye maadili, ila si tatizo lao, njaa jamani,
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ngoshwe, Uko sawa kabisa broda, na umeniwahi:, ungechelewa ningeipeperusha!

  Hii ndio forrum ya great thinkers bana...sio watu mnaacha proffession zenu zinabakwa na kutukanishwa na F.O.Ds and you remain just silent like stooges!...huh!

  Watu wanatafuta kutoa habari na kupata tips tu, bila hata kujali kuwa watu wengine wameumia na kupinda mugongo kwa proffession yao...shiit!
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tehe teheeee.....kumbe upo ndani??

  "Happy weekend & Merry Sunday....

  ohooo, sorry, nice wkend mzee!"
   
Loading...