Wema Sepetu: Sina uhusiano na Diamond, yeye ni boss wangu Wasafi Tv

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Bint Mlimbwende Wema Sepetu amezungumza hayo.Yeye na Chibu wamekuwa na wameona bora waweke tofauti zao kando, kwa sasa ni mtu na Boss wake, Wema atakuwa na kipindi Wasafi Tv. Ngoja tuone kama kazi itafanyika, naanza kuliona anguko la Wasafi Tv.

Anguko kisa Wema anakipindi wasafi....

Kwa nini usitabiri mafanikio,kwa nini tunaombea mabaya watu wanaohustle?
 
Bint Mlimbwende Wema Sepetu amezungumza hayo.Yeye na Chibu wamekuwa na wameona bora waweke tofauti zao kando, kwa sasa ni mtu na Boss wake, Wema atakuwa na kipindi Wasafi Tv. Ngoja tuone kama kazi itafanyika, naanza kuliona anguko la Wasafi Tv.

Amerejeshwa na Bashite ...na ame ajiriwa na Bashite ambaye ndio mwekezaji mkubwa wa Wasafi TV
Bashite ndie Kiongozi Tajiri zaidi kwa sasa kuliko hata GSM...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom