Wema Sepetu, Ray, JB, Anti Ezekie na Steve Nyerere kwenye Fiesta... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu, Ray, JB, Anti Ezekie na Steve Nyerere kwenye Fiesta...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Somji Juma, Sep 5, 2012.

 1. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,041
  Trophy Points: 280
  inanshangaza sana kuona bongo muvi wakishriki kwenye tamasha la fiesta kila mikoa,alaf wakipanda pale jukwaan hawafanyi lolote zaid ya kujidhalilisha kwa kukata viuona jukwaan,je wanalipwa.?na kama wanalipwa huu ni mwanzo wa kufulia,sidhani kama marehemu kanumba angefanya upuuzi kama huu..
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  worrrdddd! acha wafu wazike wafu wenzao! amen!
   
 3. c

  christmas JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  hao clouds wameona sasa wanamuziki wana muamko juu ya haki zao za malipo sasa wamehamia kwa waigizaji.. shame
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  jumapili trh 9 wapo singida ntaenda kuungalia viuno
   
 5. k

  kinubi Senior Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Hoja ni nini??? Namchukia mtu anayejenga hoja akizihusisha na marehemu!!!!!
   
 6. m

  missyreina New Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee ni kweli kabisa huko ni kujidhalilisha sioni sababu ya wao kupanda jukwaani..
   
Loading...