Wema Sepetu nakupenda sana na huu ndio ushauri wangu

Who is Sepetu by the way? Hana political effect hata kidogo. Hana chochote kwenye uringo wa siasa labda huko fb na akina dangote sijui diamond whatever comes froth! Ni kosa kubwa sana kumpokea Wema ndani ya Chadema. Alikokuwa ameona kuwaka moto hamna wa kumsaidia anaamua kuja chadema kiurahisi hivi. Nooo watu wamemwaga damu kuikijenga chama siyo kubana pua. Km anakuja awe mwanachama wa kawaida ila siyo kwa maonesho km haya. Hakika chadema wakifanya maonesho ya kumvuna Wema mi sitakuwa mwanachadema tena
Angekuwa hana effect yule mama Suluhu Hassan asingezunguka naye kwenye kampeni nzima akimtumia Wema Sepetu kama main striker wake, pamoja na madudu ya Wema Sepetu but usiundermine influence yake
 
Mwache aende bana. Ila mshauri apitie kwa nakaaya amuazime zile gwanda zake za harakati za kusaka cheo.
 
Nchi hii mtu ana uhuru wa kuchagua anakotaka kujiunga kwa chama chochote cha siasa, akina Lowasa, Sumawe Kingunge walihamia CDM kwa matumaini ya kushika dola wakabaki patupu, Wema naye atabaki hivo tu.
Yaani kwa ujumla katika maisha mwanangu asiingie kwenye kundi la wananasiasa waishio kwa matumaini ya aliyejuu kuwapa vyeo bali akazane na taaluma(professional)
 
Unapiga hesabu za 2025 leo? Unajua ya kesho?
FB_IMG_1487857945828.jpg
 
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA

Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.

Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
Unamshaurije mwenzio ungali muoga hivyo? Unatumia fake ID huku ukijifanya ni mkereketwa wa ccm! Hivi hujui tunatumia fake id kutokana na ubaya wa ccm?
 
Wema usiingie kwenye mchezo wa siasa ni mchafu hasa watakumaliza siasa waachie wanasiasa wenyewe huwezi kabisa huyo steeve asikutumia kupiga pesa utapotea kabisa
 
Wema keishahama nimemuona kwenye taarifa ya itv leo yupo front bench na mbowe kwenye kesi ya kuishtaki jamhuri
 
Who is Sepetu by the way? Hana political effect hata kidogo. Hana chochote kwenye uringo wa siasa labda huko fb na akina dangote sijui diamond whatever comes froth! Ni kosa kubwa sana kumpokea Wema ndani ya Chadema. Alikokuwa ameona kuwaka moto hamna wa kumsaidia anaamua kuja chadema kiurahisi hivi. Nooo watu wamemwaga damu kuikijenga chama siyo kubana pua. Km anakuja awe mwanachama wa kawaida ila siyo kwa maonesho km haya. Hakika chadema wakifanya maonesho ya kumvuna Wema mi sitakuwa mwanachadema tena

I biliv wanajua impact ya Wema ndio Maana wamemchukua lazima wanajua aliwafinya wapi 2015 let's wait and see!!
 
Ccm ni chama kikubwa sana. Kaondoka lowasa na kundi la maelfu ya watu sembuse wema sepetu watu atakaoondoka nao hata kwenye bajaji hawaenei
 
Back
Top Bottom