Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
Namna mpya ya kufanya mikutano ya kisiasa ni mahakamani na sherehe nk
 
hizi siasa za kibongo ni za kibinafsi sana, na ni za hataree sana kwa watu wasio na maslahi ya moja kwa moja kwa viongozi wa juu ya chama...
Unajua ndo maana wanashindwa saa zngne. Maana fisiem wanaweza kusimamia kigezo cha wao ni chama cha wananchi ila CDM ni cha kikanda. Sababu ndogo ndogo tu
 
nimekuelewa kwenye kujenga chama... sherehe ipo kimkakati kukitangaza chama kupitia njia mbalimbali uhabarishaji.....

mapato ya chama vs sherehe gharama haviwezi kuendana kitija aisee... sherehe itakula pakubwa zaidi.
Mkuu landa haujanielewa.

Nilikuwa ninamaanisha ya kuwa kuna faida mara mbili itakayopatikana katika ujenzi wa chama kupitia tafrija hyo.
1. Kuongeza idadi ya wanachama
2. Kuongeza ada ya uanachama kwa kupitua hao watu 500
3. Naongeza ni mòjawapo ya njia ya kukitangaza chama kupitia tafrija hyo kwani pia itashirikisha watu ambao ni kioo cha jamii
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
Kasome masomo ya biashara ndio utajua umuhimu wa hiyo sherehe. Naunga mkono hoja ndio maana naipenda CDM.
 
Maskini ruzuku ya chama, inaishia kufanyia mambo ya kipuuzi tu kama haya! Ndio maana mpaka leo hakuna jengo la makao makuu!
 
Hivi inawezekana mkuu wa Mkoa akateuliwa mtu aliye foji vyeti? mimi siamini, nafahamu nafasi kubwa kama hizo kabla ya uteuzi inafanyika Vetting, kama walimteua bila kumfanyia vetting nitaanza kushawishika kuamini ule uvumi kwamba tumekua tukikurupuka katika maamuzi makubwa ya nchi yetu
Mkuu kwa anavyopenda sifa angekuwa na vyeti angeshaita waandishi vyeti hana amini hill kaka
 
Back
Top Bottom