Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Hiyo ni moja wapo ya ujenzi wa chama kwa kupata wanacha 500 kwa wakati mmoja ni moja wapo ya kukijenga na kuimarisha chama.

Na kumbuka kwa wakati huu nafasi ni finyu sana katika ujenzi wa chama kutokana na mazingira ya chama yalivyo kwa sasa kwa kuwa mikutano imepigwa marufuku,viongozi wa chama kufungwa ovyoo bila ya sababu za msingi,kuingiliwa na jeshi la polisi katika mikutano ya chama ata baadhi mingine ni zile za ndani na taasisi za chama pia.

Nataka kukumbusha kuwa ujenzi na kuimarisha chama ni wanachama. Nikimaanishi ni mkakati moja wapo katika kuongeza wanachama wengi zaidi.

Hapo kuna mapato chama kinapata pia katika ada za uanachama kupitia hao wanachama wapya.

Ninaamini cdm wapo kimkakati hawajawahi kukurupuka kila kitu wanafanya kwa uangalifu zaidi kwa maslahi ya chama.
nimekuelewa kwenye kujenga chama... sherehe ipo kimkakati kukitangaza chama kupitia njia mbalimbali uhabarishaji.....

mapato ya chama vs sherehe gharama haviwezi kuendana kitija aisee... sherehe itakula pakubwa zaidi.
 
Kama Mzalendo kweli ungepinga kwa dhati kabisa matumizi mabaya ya madaraka
nayapinga haswaaaa........ natamani ELIMU BORA na HAKI kwa wananchi wote. tukipata hayo hakika jamii yetu itastawi kama mtende wa kondeni
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
Kweli CDM wako morally bankrupt. Anayefanyiwa sherehe ni nani hasa,Wema Sepetu?Dah!
 
Wauza papuchi maarufu kona baa

Wanaosifika mpaka kubaka ni akina nani kama siyo wabunge na mawaziri wa Chama cha Mapinduzi??Yule aliyebaka mwanafunzi anaitwa Prof nani vile??
 
Yule "madiba" wa bongo anaozea rumande huku dj anajisevia kitu "mchina" na kufanya party kabisa. Daaah!!

Ingekuwa kesi ya maana sawa,kesi ya mtumizi mabaya ya madaraka kujiona hakuna mwingine kama Mkuu wa Mkoa.Muwe mnakumbuka na kesho
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
AKILI ZA CHADEMA ZIPO LIKIZO ! WANAMSHEREHEKEA MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA !!
 
Back
Top Bottom