Wema Sepetu atupwa lupango

Yaani mama yake anamsihi aingie ndani ya gari ili ampeleke home ..ila bado Wema anang'ang'ania yule jamaa??? tena mbele ya wazazI????

Mengine aibu mno!!

Au anakula unga??
Kwani kabla la sakata hilo, Wema alikuwa akiishi na mama yake?
 
Huyu msichana amejiharibia maisha yake kijinga kabisa! Future yake ilikuwa tambarare sana, maana ana kaumbile kazuri anapendeza sana kwenye TV!! Sasa alivyo sasa na hao wanaume wa ajabu nasikitika sana! Lakini wazazi wake wana mchango kwa haya yote, inawezekana sana walikuwa wanambana sana kwenye makuzi yake, baada ya kuwa huru kidogo akaonjeshwa na akina TID, Kanumba, akina Kinje na hata Liyumba amekuwa wa ovyo hawezi kurudi kwenye mstari maana ameisha jua utamu wa Mb....
 
Yaani mama yake anamsihi aingie ndani ya gari ili ampeleke home ..
i33_WemaP.jpg

Source: Matukio UK
 
Huyu msichana amejiharibia maisha yake kijinga kabisa! Future yake ilikuwa tambarare sana, maana ana kaumbile kazuri anapendeza sana kwenye TV!! Sasa alivyo sasa na hao wanaume wa ajabu nasikitika sana! Lakini wazazi wake wana mchango kwa haya yote, inawezekana sana walikuwa wanambana sana kwenye makuzi yake, baada ya kuwa huru kidogo akaonjeshwa na akina TID, Kanumba, akina Kinje na hata Liyumba amekuwa wa ovyo hawezi kurudi kwenye mstari maana ameisha jua utamu wa Mb....

mtu kujua utamu wa hiyo kitu sio lazima upagawe, mie nakaona tu kameamua mwenyewe kujipagawisha, nakubaliana na wewe kabinti kamekuwa karembo kweli siku hizi, sauti yake ndio usiseme, lakini mambo yake ya ovyoooo, kweli anapoteza direction kabisa.
 
Huyu mtoto mwehu hilo jamaa lake limeshindwa kumtoa rumande mama yake kafanya mishe mishe kamtoa tena anataka kwenda kwake duh!Ange mwacha tu aendelee kuoza afunzwe na dunia.
 
Huyu mtoto mwehu hilo jamaa lake limeshindwa kumtoa rumande mama yake kafanya mishe mishe kamtoa tena anataka kwenda kwake duh!Ange mwacha tu aendelee kuoza afunzwe na dunia.

yani kaliniboa kweli.....
 
Ndugu yangu Sipo,

Wala usiulize wazazi wake maana i know the family. They were my neighbours and its a shame that they are not owning up to their own mistakes, Shame on them!
Kwa kweli ni story ndefu ila kwa ufupi, wazazi wake pia wana walakini fulani. Wasijikoshe kwenye magazeti au kwa watu. this was expected kwa jinsi walivyokuwa wanawalea watoto wao especially huyo Wema.

Bimkubwa

You just said it all.

Wema's parents are my close neighbours too..

Mama yake Wema is not worth a mother. Sio kwamba ana walakini tu bali anayo matatizo makubwa. For once she has never behaved like a mother! There are few women I know who can treat their husbands like the way she treats the "Ambassador"!

Frankly speaking, she is 100% root cause of what is happening to this very young lady!

As most of the members did put it - LET US SINCERY PRAY FOR WEMA - she will go through it one day
 
Ingawa siwajui kabisa hii familia lakini nahisi kuna shida kubwa hata kwenye makuzi ya Ms Wema...Baba E hebu bainisha wat happened hapa
There are few women I know who can treat their husbands like the way she treats the "Ambassador"!
 
Nampa pole Wema,haya ndiyo matokeo ya kukubali kutumikishwa na shetani!

Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu atupwa lupango Dar

wemasepetu.jpg

MISS Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu na mwenzake, Asha Jumbe, wakazi wa Tabata Senene jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na tuhuma ya kuharibu mali.

Akisoma hati ya shtaka hilo, Mwendesha Mashtaka Inspekta wa Polisi, Nassoro Sisiwahy mbele ya Hakimu Mfawidhi Emillius Mchauru alisema kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Januari 29 majira ya saa 3:00 usiku maeneo ya Magomeni Mikumi, Dar es Salaam.

Nassoro alidai kuwa siku ya tukio hilo watuhumiwa hao waliharibu kioo cha mbele cha gari aina ya Toyota Rav 4 yenye namba ya usajili T.993 ASD.

Mwendesha mashtaka alidai kuwa kioo cha gari kina thamani ya Sh 1,000,000 mali ya Stephen Kanumba.

Hata hivyo, watuhumiwa hao walikana shtaka hilo na walipelekwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya Sh 500,000, wadhamini wawili, mmoja awe mtumishi wa serikalini.

Awali, mtuhumiwa wa kwanza alikuwa ana mdhamini, lakini cha kushangaza alipofika mahakamani hapo alidai kuwa alikuwa amesahau barua zake kwenye gari.

"Mheshimiwa hakimu naomba nikachukue barua za kumdhamini kwani nimezisahau kwenye gari nilipoitwa mimi nikaja bila kuzichukua, "alisema mdhamini wa mtuhumiwa wa kwanza

Baada ya muda kupita hakimu Mchauru alisema, "Yaani mahakama imsubiri mtu aenda nyumbani kuchukua barua za kumdhamini mtu, kesi hii naiahirisha hadi hapo itakapotajwa tena Machi 18".

Source: Mwananchi
 
Ingawa siwajui kabisa hii familia lakini nahisi kuna shida kubwa hata kwenye makuzi ya Ms Wema...Baba E hebu bainisha wat happened hapa

Mkuu

Naogopa kuingilia undani wa maisha ya familia za watu (privacy) lakini kuna shida kubwa SANA ya MALEZI ya watoto ndani ya familia HII. Kama unavyofahamu mkuu mume wa huyu Mama Wema ni former BALOZI. On rare occassions anapokuwepo uwa lazima mwisho wa ujio wake ni MATUSI ya NGUONI (in public) na UGOMVI na hapo nyumbani kwao.

Hii trend nimeishuhudia for the past six years!

I've got to stop here
 
Balozi mstaafu si ana mke toka Russia? Huyu mama Wema ni nyumba dogo ama mkewe? inachanganya habari yao
 
Balozi mstaafu si ana mke toka Russia? Huyu mama Wema ni nyumba dogo ama mkewe? inachanganya habari yao

Balozi alikuwa na wake wawili huyo mrusi alikuwa zenji na mama wema dar, wema ni last born wapo wanne
 
Jeni,
Kwa usahihisho tu yule mwingine si mrusi bali ni Mjerumani, ukweli balozi tabia yake mwenyewe ilikuwa ya kutisha vi toti ndo mwenyewe na utunda hapo hasemeki
 
Hata mimi niliwahi kuwa na mwanamke mmoja alinisumbua sana tukaachana nikaja kutrace rout nikakuta baba yake alikuwa na tabia hizo mpaka akahama nyumba akaenda kuishi sehemu nyingine akapata watoto maisha yakamshinda akarudi kwake mpaka sasa hivi ameokoka

so watu huwa wanaridhi uridhi wa kupenda ngono ni mbaya sana katika maisha ya sasa
 
Unajua hizi tabia za kupenda uroda pia zinarithiwa kwenye vinasaba!

Mkuu,
Hongera, matumizi mazuri ya kiswahili!

Mkuu Yo Yo, Go on kaka uchukue katoto ukafunde kwani ni dhahiri shahiri kwambo ki-jamaa chake kimeshindwa hata dhamana ya laki tano?
Kuhusu kuwa kwenye list no problem, u can manage kwani it is not proved even if proved sio eti hawawezi kuwa na wapenzi. You can play it safely no muzz no fussy!
 
Je hii haionyesha sifa mbaya kwa Maandalizi ya miss Tanzania,maana kwenye uhuni na tabia mbaya walionda umiss tanzania na walioshirika wanatajwa sana.Hatuna haja ya kuangalia upya mashindano haya hasa ukizingatia kuwa kuna usemi kuwa wanaoshinda wanatoa rushwa ya ngono na huenda ndiko wanakojifunzia hayo maovu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom