bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
Realistic kweli kweli...wala hata cna undugu nae am trying to be realistic here! Hao wamagazeti ya udaku wanamfatilia sana dada wa wa2 coz wameshajua yeye akiwa kwnye front pages ndo magazeti yana uza zaidi!
Angetulizana na mwekundu wake wa msimbazi nani angemuandika?