WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

Nakupendea hapo tu, huniachi nduguyo kwenye neema! Am sure itauza sana..

Nikukute wapi na lini nianze mazoezi ya sauti?
Nipo kambi ya fisi pitia ukitoka kwa kazi tupange ratiba....
Achana na Wema mwenzio anatengezea movie hayo maskendo yake na mzee wa mbagara....

Seriously mara nyengine nahisi huyu binti hamnazo.
 
Hehehe! Eti kambi ya fisi lol.

Wema ni hamnazo kabisa hilo wala sio suala la kuhisi bht...

Nakuja sa 12 jioni.
 
Kila m2 anamponda Wema kwa sababu wote 2namfahamu na 2namuona kwnye front pages za magazeti ya udaku but am sure kuna wengine wana scandal mitaani kwao zaid hata ya Wema its just bcoz they are not stars!!2sipende kujudge wa2 jamani tena kwa habari za kusikia au kusoma kwenye magazeti ya "udaku" those people ni wa taalamu wa kuongeza "chumvi" kwnye habari za wa2
 
Jamii nzima inasikia matukio yake na kusoma kila siku , Ifike mahali aone aibu na kuamua kutulia afanye kazi zake nyingine na kama ikibidi kutokana na Umri wake angerudi Shule akasome kuliko kufanya haya anayoyafanya...
 
Kila m2 anamponda Wema kwa sababu wote 2namfahamu na 2namuona kwnye front pages za magazeti ya udaku but am sure kuna wengine wana scandal mitaani kwao zaid hata ya Wema its just bcoz they are not stars!!2sipende kujudge wa2 jamani tena kwa habari za kusikia au kusoma kwenye magazeti ya "udaku" those people ni wa taalamu wa kuongeza "chumvi" kwnye habari za wa2

Yeye mwenyewe Wema ndiyo anayaendeleza kwa kwenda huko kwenye vyombo vya habari na kuweka hayo mambo yake hadharani. Sasa udaku uko wapi hapo?
 
Hahaha!..unanivunja mbavu mwenzio!..lol.

Kambi ya fisi si kule ukipita ngarenaro kwa warangi au?
Kona ya nairobi kabla hujafika tekniko pande ya kushoto...lol

Hivi Wema kafanya na mchina mawowowo yake?
 
Yeye mwenyewe Wema ndiyo anayaendeleza kwa kwenda huko kwenye vyombo vya habari na kuweka hayo mambo yake hadharani. Sasa udaku uko wapi hapo?

kwa hiyo akiitwa kwenye interview asiende?c wataanza kusema anaringa?hiyo ndo price ya kua star ila wa2 2naexagerate mambo!
 
Kila m2 anamponda Wema kwa sababu wote 2namfahamu na 2namuona kwnye front pages za magazeti ya udaku but am sure kuna wengine wana scandal mitaani kwao zaid hata ya Wema its just bcoz they are not stars!!2sipende kujudge wa2 jamani tena kwa habari za kusikia au kusoma kwenye magazeti ya "udaku" those people ni wa taalamu wa kuongeza "chumvi" kwnye habari za wa2

Ww ni mama yake mdogo Wema nn???? Kuna masupa staa(kama mnavyowaita)wangapi mpaka kila siku story iwe ya Wema tuuuu?! She really likes those kind of drama na ndio maana haiishi kuwa midomoni mwa watu.
 
Who are you?
 
kwa hiyo akiitwa kwenye interview asiende?c wataanza kusema anaringa?hiyo ndo price ya kua star ila wa2 2naexagerate mambo!

Kwani wakisema anaringa yy atavunjika mguu???wameshasema mangapi mpaka sasa???!!! Mambo mengine anajitakia tu hamna loloteee.....ni ushamba na ulimbukeni.
 
Ww ni mama yake mdogo Wema nn???? Kuna masupa staa(kama mnavyowaita)wangapi mpaka kila siku story iwe ya Wema tuuuu?! She really likes those kind of drama na ndio maana haiishi kuwa midomoni mwa watu.

wala hata cna undugu nae am trying to be realistic here! Hao wamagazeti ya udaku wanamfatilia sana dada wa wa2 coz wameshajua yeye akiwa kwnye front pages ndo magazeti yana uza zaidi!
 
kwa hiyo akiitwa kwenye interview asiende?c wataanza kusema anaringa?hiyo ndo price ya kua star ila wa2 2naexagerate mambo!

Kwenda ama kutokwenda ni uamuzi na hiari yake. Sasa ni bora waseme anaringa kuliko kwenda kujichoresha na kuishia kuwa kituko.

Mambo mengi anajitakia mwenyewe tu. Na mimi naona ni afadhali Diamond hayuko naye tena.
 
Back
Top Bottom