Wema na huruma zangu zimeniponza, sasa najuta!

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Nina muda mrefu nilipotea jamvini, natumai ni wazima wote. Majukumu ni mengi sanaaaa, sanaaa na muda ni mfinyu.

Nina jamaa yangu yapata miezi minne sasa sijajua lengo lake. Huyu jamaa yangu ni mtumishi mzuri tu wa kanisa fulani la kiroho.

Amenikopa kiasi cha 900K na akaahidi baada ya week 1 atarudisha. Pamoja na kumsisitizia kuwa hela hiyo ni ya mwisho na sikuwa na akiba ya kutosha tena hivyo afanye kweli arudishe ndani ya muda, ila ameziba masikio na amesahau ahadi zake.

Mpaka dakika hii ana 2%, tu za uaminifu wa mimi kumkopesha tena akilipa deni hili.

Kubwa kuliko hapokei simu zangu, sasa huko makanisani wanahubiri nini hawa mamluki?

Ninapatwa na hasira as i continue writing this thread.

Really? Kutoka one week up to four months?

Halafu mbaya zaidi analipwa zaidi ya 3.5M kwa mwezi.

Ana maana gani ya kutojibu calls zangu?

Nafikiria kuchukua hatua zaidi, wema wangu naona unaniponza.
 
Ulimkopesha kwa njia gani?. Lakini sio mbaya Waite viongozi wa mtaa nadhani ndani ya wiki moja utapewa pesa yako akileta uhuni nenda mahakamani ila jipange ushahidi wa kutosha ikiwepo muamala kama ulituma kwa TIGOPESA AU Shahidi ambae alkuwepo kipindi unamkabizi iyo pesa over. Toa huyo avatar yangu vinginevyo nitamwambia moderator
 
Wewe ndo wa kulaumiwa Wala si yeye, wewe ulifikiri Nani atarudisha mkopo wa laki 9 kuanzia mwaka 2015 mpaka utawala huu?
Watu wanakopa 3M na wanarudisha ndani ya mwezi mmoja, yeye anapokea zaidi ya 3M net na anataka kudhulumu 900K yangu.
 
Ulimkopesha kwa njia gani?. Lakini sio mbaya Waite viongozi wa mtaa nadhani ndani ya wiki moja utapewa pesa yako akileta uhuni nenda mahakamani ila jipange ushahidi wa kutosha ikiwepo muamala kama ulituma kwa TIGOPESA AU Shahidi ambae alkuwepo kipindi unamkabizi iyo pesa over. Toa huyo avatar yangu vinginevyo nitamwambia moderator
Avatar ni yangu, na umeichukua kutoka kwangu dogo. Kuwa na heshima! Not every time is for joking!.
 
Back
Top Bottom