Wema,irene uwoya na jacq wolper wapatanishwa,waapa kutoibiana mabwana tena

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Wale wasanii wa bongo movie wema sepetjacq wolper,na irene uwoya wamepatanishwa na Dotnata pamoja na JB,walipatanishwa kwenye sherehe a kuzaliwa ya irene uwoya na chanzo cha ugomvi wao ilikuwa kuchukuliana na kuibiana wanaume hivo wameapa kutoibiana mabwana tena,source waliokuwa kwenye sherehe nikiwemo
 
may be hao wengine, ila wema hawezi acha...:eyebrows::lol:
 
Wale wasanii wa bongo movie wema sepetjacq wolper,na irene uwoya wamepatanishwa na Dotnata pamoja na JB,walipatanishwa kwenye sherehe a kuzaliwa ya irene uwoya na chanzo cha ugomvi wao ilikuwa kuchukuliana na kuibiana wanaume hivo wameapa kutoibiana mabwana tena,source waliokuwa kwenye sherehe nikiwemo

Hao wabwana wamefilisika au hawana pesa?
Wana hakika hao wakware wamechoka kuwazunguka?
 
hawa mapacha watatu naona wanaandikwa sana kwenye vyombo vya habari; sijui kama wanakumbuka kudai mrahaba kutokana na mauzo ya habari zao
 
hili jukwaa la celebrity:...na hao ndio macelebrity wa apa bongo tz

inanishangaza sana.....................actually huwa ninawaza sana...................

eti hao ndo celebrities wa kibongo...............

bado tuna safari nefu sana watanzania............................
 
Kwa hiyo wasingeapishana , next time ilikuwa iwe

Wema amnyakuwa Ndikumana!

na hiyo ingeuzwa sana na magazeti ya bei rahisi
 
SHULE SHULE SHULE JAMANI.

Wenzetu nje ya nchi hata kama hawana shule wanakua na EXPOSURE.

Sasa angalieni IRENE ni mke wa mtu bado anagombana kuibiana bwana na wanawake!!!!!!!!!!!! mumewe naye HOVYOOO.

Jacky Wolper hakumaliza form four Irene sijui kama kamaliza, Wema mnamjua-------------
 
All in all, that is how they are making a living!
 
Would the general public have interest in this too personal matter?

yaani mkuu hawa watu MONEY stuna Ibrahim300 na warumi wanatudhalilisha sana wanaume nashindwa niongee neno gani kuwasilisha hisia zangu kali juu yao wanakera mpaka wanatapisha watoto wa kiume kushabikia mambo binafsi na ya kike namna hii.
 
Last edited by a moderator:
Wale wasanii wa bongo movie wema sepetjacq wolper,na irene uwoya wamepatanishwa na Dotnata pamoja na JB,walipatanishwa kwenye sherehe a kuzaliwa ya irene uwoya na chanzo cha ugomvi wao ilikuwa kuchukuliana na kuibiana wanaume hivo wameapa kutoibiana mabwana tena,source waliokuwa kwenye sherehe nikiwemo [//quote]

kwahiyo?? yanakusaidia nini? huoni aibu kushabikia mambo haya? badilika hizi sio kazi za kiume
 
Labda sio hao uliowataja hapo yetu masikio tutasikia muda si mrefu
 
Back
Top Bottom