We'll give luxury cars the axe: PM

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
2008-12-22 10:37:00

We'll give luxury cars the axe: PM

Mr. Pinda
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

The Government plans to introduce major fiscal changes in the next financial year that would substantially reduce the number of expensive vehicles bought by the State.

Prime Minister Mizengo Pinda told The Citizen in an exclusive interview that he was concerned about civil servants preference for expensive luxury four-wheel-drive vehicles.

He said the vehicles did not only cost a lot of money, but were burden to run and maintain, adding that the cash could be put to better use, particularly in rural areas.

Mr Pinda said the Government would from next year drastically reduce the number of expensive vehicles it bought for its officials and funds that would be saved in the process would be chanelled to agriculture projects, with the purchase of tractors being given preference.

He said Tanzania could not record desirable achievements in agricultural programmes unless tough decisions were made in some areas.

"And that is what I was saying when I met with permanent secretaries. I was wondering how many tractors can be bought with the cash used to purchase one (Toyota Land Cruiser) VX," he said.

He said if the Government stopped buying luxury vehicles even for one year and the funds directed towards agriculture, the results would be "tremendous".

"The impact would definitely be quite big because we will expand our agriculture, reduce the burden on the farmers and attain food security.

What is needed here is the will to make such a decision," Mr Pinda said.

He said, however, that the decision to stop the purchase of the vehicles could not be implemented now as orders for 800 cars had already been placed with the manufacturers in Japan and deliveries were expected to begin soon.

The prime minister said he told permanent secretaries that thing would be different from next year.

"My message to them was that I am going to take a different position next year. We seriously need to look into this. I don't think that someone is going to die if he does not ride in an expensive luxury vehicle, but if you don�t get food, then it immediately becomes a problem."

A top-of-the-range four-wheel-drive vehicle can cost up to Sh150 million, which means that the Government has spent not less than Sh12 billion for the 800 cars ordered from Japan. This is enough to buy 1,714 small tractors retailing at Sh7 million each.

Each of Tanzania Mainland's 21 regions stands to get not less than 80 tractors, while each district would get at least 10 tractors.

Mr Pinda said positive changes would be attained in the agriculture sector and the lives of ordinary Tanzanians would improve if ministries heeded his directive.

"I am glad that my plans have the support of His Excellency President Jakaya Kikwetehe is also committed to ensuring that we improve our agriculture."

Mr Pinda said tractors would add value to the Agriculture Sector Development Programme (ASDP), which has entered its third year of implementation.

He said he had learnt during his ten months in office that Tanzania's lives could change for the better if all the available resources were well managed.

"It is a question of having practicable programmes in the right places. We have the Agricultural Sector Development Programme at the moment, jointly funded by donors and the Government.

It looks like a good programme, but farmers want to see results. They want to get fertilisers and good equipment for agriculture. They want to have good research centres that can help them operate effectively," he said.

Read the full interview with Mr Pinda in Wednesday's Political Platform magazine.
 
Magari mengine 800 ya nini!!!!? :( Na haya yaliyokuwepo ambayo 95% bado yako katika hali nzuri ndiyo mtauziana kwa bei ya bure!!!? Duh!!! Kweli Tanzania inaliwa na wenye meno!!!!
 
Magari mengine 800 ya nini!!!!? :( Na haya yaliyokuwepo ambayo 95% bado yako katika hali nzuri ndiyo mtauziana kwa bei ya bure!!!? Duh!!! Kweli Tanzania inaliwa na wenye meno!!!!

Kweli. kama huna meno, tena yenye nguvu, hata upambane vipi na UFISADI hupati kitu!. Assume UFISADI unaisha, kinachobakia ni fiitest will make it! Sasa wewe shauri yako upige kelele za ufisadi hapo ili hali huchongi meno!
 
Rasilimali za Tanzania zikitumika vizuri Watanzania wengi watakuwa na maisha mazuri tu ukilinganisha na ilivyo sasa, mashule yatakuwa na madarasa yenye hadhi, vyoo, walimu na vifaa muhimu, mahospitali yatakuwa na madawa, vitanda, na vifaa muhimu upatikanaji wa maji na umeme utakuwa wa uhakika.

Sina hata punje ya ufisadi mwilini mwangu na hawa mafisadi wanaoweza kuiba mali ya Taifa na kuwadhulumu Watanzania wenzao sijui wanajisikiaje. Tanzania isiyo na mafisadi inawezekana kabisa na dalili za kekele zetu zimeanza kuonekana pamoja na kuwa ni ndogo. YES WE CAN GET RID OF ALL MAFISADI IN OUR BELOVED COUNTRY. JUST PLAY YOUR PART.
 
Nampongeza Mh Pinda kwa kulizungumzia suala la kilimo. Siku zote ikifika kwenye kununua mbolea au matractor kwa ajili ya kukopesha wakulima serikali haina pesa, lakini kwenye seminar, magari, safari za kila kukicha pesa zipo.

MH. Pinda angeenda mbali zaidi na kusema serikali itaorder matractor 100 kwa kila mkoa kukopesha wakulima na pesa hizo zitapatikana kwa kukata sehemu mbalimbali ya budget ya serikali after the fact.
 
Rasilimali za Tanzania zikitumika vizuri Watanzania wengi watakuwa na maisha mazuri tu ukilinganisha na ilivyo sasa, mashule yatakuwa na madarasa yenye hadhi, vyoo, walimu na vifaa muhimu, mahospitali yatakuwa na madawa, vitanda, na vifaa muhimu upatikanaji wa maji na umeme utakuwa wa uhakika.

Sina hata punje ya ufisadi mwilini mwangu na hawa mafisadi wanaoweza kuiba mali ya Taifa na kuwadhulumu Watanzania wenzao sijui wanajisikiaje. Tanzania isiyo na mafisadi inawezekana kabisa na dalili za kekele zetu zimeanza kuonekana pamoja na kuwa ni ndogo. YES WE CAN GET RID OF ALL MAFISADI IN OUR BELOVED COUNTRY. JUST PLAY YOUR PART.

Impossible. Umesikia jamaa anaitwa Bernie Madoff na habari yake? Ile ni UFISADI ambao ni budget ya Africa kusini mwa jangwa la sahara!
Tunaweza tukapunguza tu. alafu mkuu, ukimaliza mafisadi wote, PCCB unataka wafanye kazi gani?
 
KWELI BABA MIZENGO PINDA UMEDHIHIRISHA KUWA WEWE NI MTOTO WA MKULIMA.

ASILIMIA 80 YA WATANZANIA WANAISHI VIJIJINI NA WANATEGEMEA KILIMO.

KILIMO KIKIIMARISHWA NA KUENDELEZWA KITAKUWA NA TIJA NA HAKUTAKUWA NA VIJANA KUKIMBILIA MIJINI.

KWA SABABU KIPATO CHA WATU ASILIMIA 80 KITAPANDA NA HIVYO UCHUMI WA NCHI UTAIMARIKA. UCHUMI IMARA WA NCHI UNATOKANA NA KUWA NA WATU WENGI WENYE KIPATO KIZURI.

KAMA TAIFA LITAJITEGEMEA KWA CHAKULA HIVYO TUTAOKOA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA CHAKULA.

WAPO WATU WANA MAWAZO YA KUANZISHA MIRADI YA KILIMO NA VIWANDA VYA KILIMO LAKINI MSAADA WA SERIKALI HAUKUWEPO.

NA KILA WAZIRI, KATIBU MKUU AU MKURUGENZI ATAKAYEKAIDI AGIZO LA WAZIRI MKUU LENYE TIJA KWA WATANZANIA WENGI, ASHUGHULIKIWE, KWA SABABU NI MSALITI WA WATANZANIA.

VITA YA UFISADI NDO IMEANZA NA TUNAMWAMINI kAYANZA PETER PINDA.

ALUTA CONTINUE
 
Mr. Pinda
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

"And that is what I was saying when I met with permanent secretaries. I was wondering how many tractors can be bought with the cash used to purchase one (Toyota Land Cruiser) VX," he said.

A top-of-the-range four-wheel-drive vehicle can cost up to Sh150 million, which means that the Government has spent not less than Sh12 billion for the 800 cars ordered from Japan. This is enough to buy 1,714 small tractors retailing at Sh7 million each.

Each of Tanzania Mainland's 21 regions stands to get not less than 80 tractors, while each district would get at least 10 tractors. "

Msaada kwenye tuta: ``tractor`` maana yake nini, sio trekta ? Pinda anasema (au sijui ni mwandishi, who knows with this pathetic press) trekta linauzwa shillingi millioni saba ?

Kwa mahesabu yangu shilling milioni 7 ni sawa na dola kama 5,300 hivi (exchange rate ya around 1320/= ). Sasa jamani kuna trekta linauzwa dola 5,000? Hesabu za Pinda mbona kama zimepinda ?

Halafu, Pinda anasema (au sijui mwandishi ndio katafsiri) anasema shangingi moja linaweza kufikia milioni 150/=. Halafu wanasema kwa mashangingi 800 serikali lazima ilitumia si chini ya bilioni 150/=. Yani kachukua milioni 150/= kazidisha na 800 kapata bilioni 12. Sawa. Lakini, uhariri mbovu na ukilaza ni huu: ukisema gari moja linaweza kufika bei X/=, basi hesabu yeyote utakayo fanya based on bei X/=, itakuwa ni kadirio la juu kabisa. Ili Pinda/mwandishi aweze kusema serikali itatumia si chini ya, ilibidi atoe the least possible price ya shangingi moja, halafu ndio azidishe hiyo namba na mashangingi 800, apate kadirio la chini.

Hiyo hapo sio advanced calculus, tena hata sio basic arithmetic za darasa la tatu. Kwanza sio swala la hesabu kabisa. Ni kiswahili na mantiki ya kawaida tu: ukiwa unakadira gharama za kununua maembe kumi na bei ya juu kabisa unayoikisia ni 10/= kila embe, basi unajua mwisho wa siku huwezi kutumia zaidi ya 100/=. Huwezi sema serikali itatumia si chini ya 100/=.

Leaders are in over their heads, the press is crummy, the people are not informed, a very powerful, poisonous, deadly, combination.
 
Msaada kwenye tuta: ``tractor`` maana yake nini, sio trekta ? Pinda anasema (au sijui ni mwandishi, who knows with this pathetic press) trekta linauzwa shillingi millioni saba ?

Kwa mahesabu yangu shilling milioni 7 ni sawa na dola kama 5,300 hivi (exchange rate ya around 1320/= ). Sasa jamani kuna trekta linauzwa dola 5,000? Hesabu za Pinda mbona kama zimepinda ? Naomba msaada hapo.

Halafu, Pinda anasema (au sijui mwandishi ndio katafsiri) anasema shangingi moja linaweza kufikia milioni 150/=. Halafu wanasema kwa mashangingi 800 serikali lazima ilitumia si chini ya bilioni 150/=. Yani kachukua milioni 150/= kazidisha na 800 kapata bilioni 12. Sawa. Lakini, uhariri mbovu na ukilaza ni huu: ukisema gari moja linaweza kufika bei X/=, basi hesabu yeyote utakayo fanya based on bei X/=, itakuwa ni kadirio la juu kabisa. Ili Pinda/mwandishi aweze kusema serikali itatumia si chini ya, ilibidi atoe the least possible price ya shangingi moja, halafu ndio azidishe hiyo namba na mashangingi 800, apate kadirio la chini.

Hiyo hapo sio advanced calculus, tena hata sio basic arithmetic za darasa la tatu. Kwanza sio swala la hesabu kabisa. Ni kiswahili na mantiki ya kawaida tu: ukiwa unakadira gharama za kununua maembe kumi na bei ya juu kabisa unoikisia ni 10/= kila embe, basi unajua mwisho wa siku huwezi kutumia zaidi ya 100/=. Huwezi sema serikali itatumia si chini ya 100/=.

Leaders are in over their heads, the press is crummy, the people are not informed, a very powerful, poisonous, deadly, combination.

Kuhani,

Umesema safi sana mkuu...somebody needs to do the math
otherwise hapa panaanza kunikia dili la ufisadi...mtasikia trekta
zimenunuliwa na hela kiasi fulani imetumika kumbe hamna kitu.
 
Last edited:
Impossible. Umesikia jamaa anaitwa Bernie Madoff na habari yake? Ile ni UFISADI ambao ni budget ya Africa kusini mwa jangwa la sahara!
Tunaweza tukapunguza tu. alafu mkuu, ukimaliza mafisadi wote, PCCB unataka wafanye kazi gani?

Duh!!!! Yaani kwa sababu tuna PCCB basi wewe unaona umuhimu wa kuendelea kuwepo mafisadi!!!! Kazi kweli kweli!!! :confused:
 
Waziri Mkuu au mwandishi amechemsha hesabu hapa.

Inabidi warudi darasa la sita wote wakaanze hesabu upya.

150,000,000 * 800 = 120,000,000,000. Hiyo ni billion 120.

120,000,000,000 / 7,000,000 = 17,142.85.

Hesabu ya tractors inatakiwa iwe 17,143.

In other perspective, kama Tanzania ina watu 38,000,000 basi ni wastani wa tractor moja kwa wananchi 2216.

Kwa hiyo Mkuu Pinda, najua umeanza late lakini huo ndio UOZO ambao serikali ya CCM inaendeleza kila siku.

Ushauri, hayo magari yauzwe mara yakifika nchini na hiyo hela itumike kununua hayo matrekta.
 
Msaada kwenye tuta: ``tractor`` maana yake nini,

- Pia inaweza kuwa kichwa cha Trailor, cha bei ya chini sana na safi kinafikia dola $ 35,000 mpaka $ 45,000 kikiwa na mile kama laki mbili tayari, sidhani kama Pinda anazungumzia hii tractor.

Thanxs!
 
Pia inaweza kuwa kichwa cha Trailor, cha bei ya chini sana na safi kinafikia dola $ 35,000 mpaka $ 45,000 kikiwa na mile kama laki mbili tayari, sidhani kama Pinda anazungumzia hii tractor.

Ndo maana nikasema Pinda anazungumzia ``tractor`` gani hilo la $5,000 ?

Kichwa cha lori, trekta la kulimia, ama la construction, jipya, zee, lolote! ``Tractor`` gani hilo linauzwa mil 7/= ?
 
...damn,120 billion kwa magari ya mafisadi? hiyo 120 ingeweza kufanya vitu vya maana sana kama umeme,airport & barabara kutusaidia katika uchumi wetu kuliko huu ulimbukeni wa magari,hao maofisa wakakope bank magari kama wengine wanavyofanya kwanza wana hela,na hizi project za pwagu na pwaguzi eti serikali kununua matractor ni utapeli mwingine tuu na zitaishia mifukoni mwa mafisadi tuu.
 
Impossible. Umesikia jamaa anaitwa Bernie Madoff na habari yake? Ile ni UFISADI ambao ni budget ya Africa kusini mwa jangwa la sahara!
Tunaweza tukapunguza tu. alafu mkuu, ukimaliza mafisadi wote, PCCB unataka wafanye kazi gani?

PCCB watafanya kazi ya kuzuia kuzaliwa kwa fisadi wapya.
 
Babu Atake Kusema, I am sincere in this,I was extremely impressed by the way the Prime Minister presented himself while talking to his Permanent Secretaries.I wish what he outlined could be translated into action overnight.But we are now used to such good talk from our rulers which eventually prove to be only empty talk after all.Could this be the beginning of something new,lets wait and see.
 
Pinda kasema small tractors....hio hapo chini ni roughly $ 10,000

MODEL: Jinma 254 (25hp 4wd)
ONLY WHILE STOCKS LAST !
JINMA 25HP FOUR WHEEL DRIVE MACHINES, £5000 INCLUDING VAT ! !The Jinma 254 was until recently the best selling compact tractor in the UK, before being toppled by the LENAR. To be fair, there are probably more Jinmas throughout the world than any other brand.
 
Back
Top Bottom