With factHeri kujua kujua kupo kuliko kujua kutojua hakupo.
Wise one lontorSo far so goodView attachment 1858443
Nice msg Lucas philipo. Thank youUsipoteze siku yako kwa kuwekeza kwenye huzuni.Siku unayoanza kwa matatizo, mambo yako ovyo, huna kitu ndiyo siku unapaswa kuwa na furaha maishani mwako; kwasababu, pamoja na changamoto hizo, bado upo hai.Kumbuka, ukiishiwa kodi hujaishiwa dunia, ukiishiwa hela, hujaishiwa pumzi, ukiachwa na umpendaye hujaachwa na Moyo, macho, akili na kila kitu kilichokusaidia kumpata; hata dunia mlipokutania bado haijakuacha_
*Wewe jiamini, jisemee "mimi ni mshindi" pamoja na changamoto hizo bado unaye Roho Mtakatifu wa Mungu afanyaye kazi ndani mwako. Usijidharau.
Is it true?
Yaaah is true.Is it true?