Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,854
- 3,874
- Thread starter
- #161
Nobody Is Perfect (Pin On That👇)
Hiki kitabu nimekisoma kama mara mbili ila nataka niendelee kukisoma zaidi,na nataka niwafundishe wanangu nondo za hiki kitabu.
Ni jambo jema, kuwa na malengo mazuri na kizazi chako.Hiki kitabu nimekisoma kama mara mbili ila nataka niendelee kukisoma zaidi,na nataka niwafundishe wanangu nondo za hiki kitabu.