Welcome to Iringa Municipal Council

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,467
2,144
Welcome to Iringa municipal council mji safi, watu wakarimu na mazingira mazuri

NB: picha ni ya simu
IMG_20200916_234020.jpeg
 
Nimekaa huko kama mwaka mmoja na nusu actually mjini ni mzuri na msafi pia japo sijazunguka sana maeneo/mitaa wanayoishi raia ILA kuna kitu nataka nifahamu kama we ni mwenyeji na uko aware na hiki kitu, Huo mnara mrefu hapo katikati ya mji huo unamaanisha nini ndani ya huo mkoa..?

Maana naona kitu kirefu tu kanisa sio kanisa, na humo ndani mna nn.? Juu naona kuna mwenge fake
 
Ni kama ulivo mnara wa askari ukienda Dar, alama ya samaki Mwanza au mnara wa azimio la Arusha ukienda Arusha

Kwa kifupi ni identity tu ya mkoa
 
Ni kama ulivo mnara wa askari ukienda dar, alama ya samaki mwanza au mnara wa azimio la Arusha ukienda Arusha

Kwa kifupi ni identity tu ya mkoa
Ila kila identity ina kitu special kinacho-represent mfano umetaja mwanza kuna mnara was SAMAKI hii naamini kutokana na ziwa kubwa Victotia lililopo hvyo shughuli za uvuvi samaki kama zote.

Ukienda Bukoba utakuta mnara wa MGOMBA na ndizi zake, nadhani mwenywe unafahamu kwa nini.

Ukienda Mtwara utakuta sanamu ya MKOROSHO na korosho zake, mitumbwi, mashua n.k

Morogoro, utakuta sanamu za WANYAMA mbalimbali kama tembo,simba,swala hii ninkutikana na utajiri wa wanyama waliokuwa nao kwenye mbuga za wanyama Ya Mikumi na selous kama sikosei.
 
Mkuu naomba nilifanyie kaz nikipata majibu ntaleta hapa mrejesho wake
 
Ila kila identity ina kitu special kinacho-represent mfano umetaja mwanza kuna mnara was SAMAKI hii naamini kutokana na ziwa kubwa Victotia lililopo hvyo shughuli za uvuvi samaki kama zote.

Ukienda Bukoba utakuta mnara wa MGOMBA na ndizi zake, nadhani mwenywe unafahamu kwa nini.

Ukienda Mtwara utakuta sanamu ya MKOROSHO na korosho zake, mitumbwi, mashua n.k

Morogoro, utakuta sanamu za WANYAMA mbalimbali kama tembo,simba,swala hii ninkutikana na utajiri wa wanyama waliokuwa nao kwenye mbuga za wanyama Ya Mikumi na selous kama sikosei.

ni ishara kwamba iringa ndio ilikua kitovu cha uhuru wa kanda ya kusini mwa Tanzania na Kisha Tanzania,harakati za kukataa kutawaliwa na wakoloni zilianza lakini zilishika kasi Iringa kwa ushahidi wa vita ya Majimaji chini ya Mtwa Mkwawa...huo mwenge wa uhuru unamaanisha fikra za kutaka uhuru kitovu chake kilikua Iringa,ndio maana hata mwenye unaitwa mwenge wa uhuru.

Watu wa Iringa ni watu huru na hawataki kabisa kutawaliwa,ndio maana kuna dhana ya kuwa wakiwa na stress sana heri wajinyonge kuliko kuishi bila UHURU.

Kwahiyo huo mnara ni ishara ya UHURU,kwamba Iringa inawakilisha UHURU.

Lakini pia ni mkoa/manispaa ya KIELIMU...elimu inamfanya mtu kuwa huru,IRINGA kuna vyuo vikuu vikubwa vya kihistoria na hadhi vitatu

MKWAWA
IRINGA
RUCU

Pia kuna chuo maarufu cha walimu wa sayansi kilichoewa jina la mkuu wa mkoa aliyeuliwa na mkulima mwamwindi KLERRUU T.C

Yote haya ni ishara kwamba Iringa ni kitovu cha UHURU,na UHURU ndio utambulisho wa Iringa ndio maana pana mnara wa mwenge wa uhuru ulioko juu kabisa.

Nadhani imetosha,nina mengi sana ya kuielezea Iringa
 
Nimekupata vyema mkuu, karibia vyuo vikuu vyote vya hapo mjini navifahamu na hcho cha kati Kreruu.
Ila kuna chuo nilisikia kinaitwa TUMAINI hiki ni kipi au nimechanganya na hvyo vitatu ulivyovitaja..?
 
Mkuu shukran kwa maelezo mazur yanayojitosheleza
 
Nimekupata vyema mkuu, karibia vyuo vikuu vyote vya hapo mjini navifahamu na hcho cha kati Kreruu.
Ila kuna chuo nilisikia kinaitwa TUMAINI hiki ni kipi au nimechanganya na hvyo vitatu ulivyovitaja..?

ndio UNIVERSITY OF IRINGA kwa sasa zamani TUMAINI
 
ni ishara kwamba iringa ndio ilikua kitovu cha uhuru wa kanda ya kusini mwa Tanzania na Kisha Tanzania,harakati za kukataa kutawaliwa na wakoloni zilianza lakini zilishika kasi Iringa kwa ushahidi wa vita ya Majimaji chini ya Mtwa Mkwawa...huo mwenge wa uhuru unamaanisha fikra za kutaka uhuru kitovu chake kilikua Iringa,ndio maana hata mwenye unaitwa mwenge wa uhuru.

Watu wa Iringa ni watu huru na hawataki kabisa kutawaliwa,ndio maana kuna dhana ya kuwa wakiwa na stress sana heri wajinyonge kuliko kuishi bila UHURU.

Kwahiyo huo mnara ni ishara ya UHURU,kwamba Iringa inawakilisha UHURU.

Lakini pia ni mkoa/manispaa ya KIELIMU...elimu inamfanya mtu kuwa huru,IRINGA kuna vyuo vikuu vikubwa vya kihistoria na hadhi vitatu

MKWAWA
IRINGA
RUCU

Pia kuna chuo maarufu cha walimu wa sayansi kilichoewa jina la mkuu wa mkoa aliyeuliwa na mkulima mwamwindi KLERRUU T.C

Yote haya ni ishara kwamba Iringa ni kitovu cha UHURU,na UHURU ndio utambulisho wa Iringa ndio maana pana mnara wa mwenge wa uhuru ulioko juu kabisa.

Nadhani imetosha,nina mengi sana ya kuielezea Iringa
Umeeleza vyema ila kuna maeneo kwa mtazamo wangu sioni kama upo sahihi.

Vita vya majimaji chimbuko lake sio iringa ni kusini mwa tz katika kabila la wamatumbi na kusambaa kusini yote mpaka songea na kiongozi wa hiyo vita ni kinjekitile ngware na sio mkwawa.

Ila resistance ya mkwawa ndio ilifanyika iringa.

Pia huwezi kusema iringa ndio kitovu cha elimu kisa vyuo vitatu ambavyo kimsingi sioni kama vina ukubwa huo,japo pia iringa miaka ya karibuni hivi imekua ikifanya vyema kielimu na pia ina shule nyingi kuliko mikoa mingi tu nchini hapa,kwa nafasi iringa inaweza kuwa ya nne au tatu kwakuwa na shule nyingi.

By the way umeelezea vyema
 
Nimekaa huko kama mwaka mmoja na nusu actually mjini ni mzuri na msafi pia japo sijazunguka sana maeneo/mitaa wanayoishi raia ILA kuna kitu nataka nifahamu kama we ni mwenyeji na uko aware na hiki kitu, Huo mnara mrefu hapo katikati ya mji huo unamaanisha nini ndani ya huo mkoa..?
Maana naona kitu kirefu tu kanisa sio kanisa, na humo ndani mna nn.? Juu naona kuna mwenge fake
Ninachojua ndani ya huo mnara ni stoo ya wafanyakazi wa usafi wa mji, wanatunza mafagio na matoroli yao
 
Back
Top Bottom