BONGO BAHATI MBAYAHawa waagiza magari wengi wao wezi na sababu kuu ni ujinga wa Watanzania.
Mtu anatumia smartphone ila anashindwa tafuta gari mtandaoni.
Hawa jamaa kama Crown ya 2004 GRS180 kuagiza hadi mkononi ni 10.5mil ila wao wanakuuzia kwa 14.5mil.
Wameongeza zaidi ya 4mil.
IST pia hivyo hivyo ukiiagiza inafika kwa 10mil na point wao wanaongeza 1 mil hadi 2.
Zaidi watakachofanya ni kuchezea speed o meter
Shukrani kwa maelezo na mawazo yako boss. Ila sijakupata vizuri hapo unamaanisha wezi ni wenye showrooms au sisi waagizaji?Hawa waagiza magari wengi wao wezi na sababu kuu ni ujinga wa Watanzania.
Mtu anatumia smartphone ila anashindwa tafuta gari mtandaoni.
Hawa jamaa kama Crown ya 2004 GRS180 kuagiza hadi mkononi ni 10.5mil ila wao wanakuuzia kwa 14.5mil.
Wameongeza zaidi ya 4mil.
IST pia hivyo hivyo ukiiagiza inafika kwa 10mil na point wao wanaongeza 1 mil hadi 2.
Zaidi watakachofanya ni kuchezea speed o meter
Shukrani kwa kuliona hioo boss. Tumchukulie kama mtu anayezungumza jambo asilolijua hivyo anatakiwa kupewa maelezo yatakayomsaidia kujua zaidi.BONGO BAHATI MBAYA
.
.
.
mkuu acha kuharibu biashara ya wenzio mana mpaka kufika hapa walipo ni nguvu kubwa wanaitumia
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Ndio sisi boss. Ofisi zetu zipo Magomeni Mapipa Mkabala na kituo cha mwendo kasiZile daladala zilizoandikwa kimomwe ndo nyie? Ofisi zenu zipo wapi?
CLS 250 paka hapa ni kiasigani?Ndio sisi boss. Ofisi zetu zipo Magomeni Mapipa Mkabala na kituo cha mwendo kasi
Wamaanisha C Class series 250, au S Class series 250? Kama hapo unamaanisha S CLASS 250 HIZO ZIPO ZA SERIES 220 AMBAZO NI ZA MWAKA 2015, lakini za C Class utapata bila shaka hizo za 250 series. Kwanza nifahamishe vizuri hapo unalenga C class au S class?CLS 250 paka hapa ni kiasigani?
Safi, idea nzuri nikipata muda nitawatembelea kwenye office yenu ili kujua zaidiHabari ya Majukumu wana jukwaa?
Baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau wetu na wateja wetu mbali mbali, hatimae tumeamua kukubaliana na ombi la kuwekeza pesa kidogo kidogo kwa kati ya miezi 3- miezi 24 kwa anayehitaji kumiliki gari lakini hana pesa ya kulipia kwa pamoja.
Wajibu wa Mteja kwa huduma hii
1. Mteja anawajibika kusaini mkataba kwa ajili ya huduma hii
2. Mteja anatakiwa kua na shahidi ambae ni ndugu ambae tutatakiwa kumrejeshea kiasi kitakachokua kimewekwa iwapo mteja atafariki dunia kabla ya kukabidhiwa gari
3. Kutunza taarifa zake za kibenki kwa kipindi chote atakachokua akiwekeza
Wajibu wa Kampuni
1. Kuhifadhi pesa ya mteja mpaka itimie kama ilivyokusudiwa
2. Kumsaidia mteja kuchagua gari nzuri iliyo katika ubora na kumshauri kulingana na kipato chake
3. Kusaini mkataba wa makubaliano ya kupokea pesa za mteja kila mwezi mpaka zitakapotimia kwa dhumuni la kumuagizia gari
Faida za Huduma Hii kwa mteja
1. Itakulazimisha kutimiza ndoto yako ya kumiliki gari kwa kua utalazimika kupunguza matumizi mengine kwa mda ili utimize hili
2. Kujengewa nidhamu ya matumizi bora ya pesa yako na utaratibu wa kujiwekea vapaumbele
3. Hautahusika kuongeza pesa iwapo thamani ya dola itaongezeka
Usalama wa pesa yako
1. Kimomwe Motors ni Kampuni ya kitanzania iliyosajiliwa na inayofanya kazi kwa sheria za nchi yetu
2. Tunasaini mkataba wa kutunza pesa zako
3. Ndugu yako wa karibu atasaini mkataba kama mrithi wako na shahidi iwapo utafariki dunia kabla ya wakati sahihi
4. Hakutakua na gharama nyingine za ziada
5. Kimomwe Motors imedhamiria kua kampuni kubwa ya kwanza ya Kiafrika ya uagizaji wa magari kwa Africa Mashariki na kati ndani ya miaka michache ijayo hivyo usalama wa pesa ya mteja ni jambo la kwanza litakalotuwezesha kutimiza malengo hayo
N.B: KUHUSU KUSHUKA NA KUPANDA KWA DOLA
Iwapo dola itapanda au kushuka, mteja hatotakiwa kuongeza au kurejeshewa kiasi chochote kwa sababu tutatumia thamani ya dola wakati tunasaini mkataba
Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi kuhudu huduma hii na nyinginezo waweza kutupigia sim namba 0746267740 au fika ofisini kwetu Magomeni Mapipa
KIMOMWE MOTORS: SAVE MONEY SAVE TIME
Cls mercedes sio C seriesWamaanisha C Class series 250, au S Class series 250? Kama hapo unamaanisha S CLASS 250 HIZO ZIPO ZA SERIES 220 AMBAZO NI ZA MWAKA 2015, lakini za C Class utapata bila shaka hizo za 250 series. Kwanza nifahamishe vizuri hapo unalenga C class au S class?
C Class series 250 zinafika kwa 22m mpaka 23m
Hazitaoza boss, kupanga ni kuchagua, kwa upande wako ni vizuri utunze mwenyewe ila kuna mwenzio anaona ili kujiepusha na matumizi ya dharula zisizoisha katika maisha ni bora awekeze moja kwa moja kwenye kampuni kama hii ya kwetu ili imtie msukumo wa kutimiza lengo lake.Umeambiwa tukitunza kwenye bank yetu ndyo tukaagiza izo pesa zitaoza?
Wewe unafanyaje mpaka bei inakua ndogo kuliko nikiagiza Mimi?Kama hiyo inafik kwa 10.5m, ila ukijiagizia wewe mwenyewe ni zaidi ya 11m maana ushuru wake tu 5.6m na gharama za bandari na clearing ni 800,000
Acha uchawi wewe kwa wanaume wenzio ..Hawa waagiza magari wengi wao wezi na sababu kuu ni ujinga wa Watanzania.
Mtu anatumia smartphone ila anashindwa tafuta gari mtandaoni.
Hawa jamaa kama Crown ya 2004 GRS180 kuagiza hadi mkononi ni 10.5mil ila wao wanakuuzia kwa 14.5mil.
Wameongeza zaidi ya 4mil.
IST pia hivyo hivyo ukiiagiza inafika kwa 10mil na point wao wanaongeza 1 mil hadi 2.
Zaidi watakachofanya ni kuchezea speed o meter
Mimi kwa sababu ni kampuni na nashirikia na kampuni za Japan zipatazo 12 nakua kwenye nafasi nzuri ya kupewa punguzo la bei boss.Wewe unafanyaje mpaka bei inakua ndogo kuliko nikiagiza Mimi?