Wekeza muda wako na fikra tu na pataa 50,000 TZS mpaka 300,000 TZS+

PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,881
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,881 2,000
Tarehe 19 sio mbali tunasubilia Pesa, withdraw tuone screenshot hapaa
hapa tu ndo kila kitu, uaminifu wa hili jambo kukomboa maisha ya vijana watafuaji ndio hapa tu,
 
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
1,423
Points
1,250
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
1,423 1,250
naomba kujuwa kama unabenk statement/card ila unakosa passport inakuwaje? ila kitambulisho cha NIDA/taifa/uraia kipo
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,881
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,881 2,000
Currently, KYC verification may take up to 20 days because of the long queue. If you didn't pass KYC from the first attempt you will go to the end of the queue. ...

na possibility ume upload hivyo wanavyovihtaji unaweza usifanikiwe siku ya withdrawal...
 
Jesusfreak08

Jesusfreak08

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
43
Points
95
Jesusfreak08

Jesusfreak08

Member
Joined Jul 20, 2019
43 95
Habari wana jamiiforums, najua hiyo title imekuletea doubt, ila ngoja nijaribu kukuelezea jinsi utakavyoweza pata hiyo hela, ila kabla ya kusonga mbele lazima nitoe angalizo.

1. Hautatumia hela yoyote kwenye hii fursa, hapa itakacho chukua ni muda wako na akili tu.

2. Hii ni company mpya na mimi sina uhusiano nao wa moja kwa moja, so inaweza ikawa hizi ahadi zao zikawa hewa au zikachelewa kukamilishwa.

3. Pia lazima uwe na vifuatayo ili uweze kusonga mbele, kama hauna endelea kusoma ili upate ujuzi tu, ila lazima utakwama.

a. Lazima uwe na valid Passport, hii itahitajika kuhakiki kama ni mtu halali

b. Lazima uwe na bank statement, au credit card statement, hii ni kuhakiki mahali unapoishi, so ata kama ukipata barua ya serikali ya mtaa.. iki onyesha kuwa ni mkazi wa sehemu fulani.. Jina lako full na signature (Kwa kiingereza) unaweza kukubaliwa, ila zaidi uwe Na Passport.

4. Haupaswi kutumia janja janja, kwa kufoji vitu, ili utegeneze account nyingi na mwishowe upate reward kubwa. utashtukiwa tu.

5. Cha mwisho sio angalizo ila hii ni muhimu sana, Ungana nna group mpya iliyopo Telegram hapa:

View attachment 1172788

Hapa, tutakuwa tuntoa maelezo na kupatia updates zote, na pia step by step tutorial, jinsi gani ya kuhamisha hizo EVEN kwenda mobile money kama M-Pesa / Tigo Pesa, nimeona pia kuwa kuna watu wanaona kuna ugumu wa kubadili crypto kwenda mobile money.. ila ni rahisi. Pia tutakuwa tuaweka fursa zingine.. maana zipo nyingi.

Na policy ni moja tu.. ndo maana inaitwa FREE CRYPTO TZ, hautatoa hela yoyote, jiunge uweze kuelewa zaidi kuhusu crypto na kuzipata bila kuspend hela.. utakachowekeza ni muda wako tu na firka basi.

Ok sasa ni maelezo kidogo.. website au project ninayozungumzia ina itwa EVEN FOUNDATION, hii ni cryptocurrency ila katika very early stages, iko based na ETHEREUM kwa watu wanao fahamu kidogo wana ijua ETHERUEM, sasa kwa wakati huu wa mwanzo, wanapromote cryptocurrency yao ... na wana program ambayo uki invite mtu ajiunge na kukamilisha uhakiki wake, kwa Passport na Bank Statement.. unapata 920 EVEN... na open market value ya EVEN 30 ni sawa sawa na USD 1.

so ina maana 920 EVEN ni sawa sawa na 30.7 USD, ili kupata hii unatakiwa kwanza.

1. register hapa :

2. Ukisha confirm email tu, utapokea EVEN 500 ($16 = 38,000 TZS)

3. Ukihakiki account yako kwa kuweka Passport na Bank/Credit Card Statement utapokea 420 EVEN

4. Hapo jumla utakuwa una EVEN 920 ($30.7 = 70,600 TZS)

Process ya uhakiki ni fasta tu.. mimi walichukua masaa mawili tu baada ya kuwasilisha hivyo vitu.

PIA TAMBUA KUWA, KAMA HAUTOWEZA HAKIKI ACCOUNT YAKO HUWEZI KUWITHDRAW HIZI CRYPTO

View attachment 1172789

6. Pia haishii hapo tu wana task ndogo ndogo, ambazo unatakiwa kushare kuhusu hii program.. kupitia .. Instagram, Youtube, Twitter.. kwa mfano:

wanakuambia.. post hii habari kuhusu EVEN kwenye timeline yako ya facebook alafu tupatie link, watahakiki na kisha unapewa 100 - 300 EVEN na unaweza fanya hizi task na kupata mpaka 5000 EVEN ( $166.7 = 384,000 TZS)

Mimi nimeshafanya task na kupata 2240 EVEN ($74.6 = 171,500 TZS)

View attachment 1172790

Pia wana referral program.. utapata referal link yako na kisha utainvite wengine wajiunge chini yako..

Wakiconfirm email na kuhakiki account yako kwa Passport na Bank/Card Statement.. wewe utapata 500 EVEN..

So jumla nina 4520 EVEN ($150.7 = 346,500 TZS) kwa kufanya hayo maelezo ya juu tu

View attachment 1172791

Kuhusu kui withdraw.. hili zoezi lita anza tarehe 19/8/2019, so nimuhimu kujiunga na telegram group, ili uweze kupashwa habari, na kupata step by step tutorial jinsi gani ya kuzitoa hizi na mwishowe kupata mobile money m-pesa/ tigo pesa.

Kama nilivyosema mwanzo hapa utainvest muda wako tu, so ziwezi kukudanganya na kukuhakikishia kuwa hii Company itakamilisha ahadi zake kwa 100% ila kwa kuwa haitakugharimu kitu.. jiunge sasa ikifika muda wa kupata hela yako utavuna matunda ya muda wako uliowekeza leo.. pia kwa sababu ni crypto wakati waa kuexchange price inaweza ikabadilika.. so unaweza pata ata mara 5 zaidi au ukapata mara 5 pungufu.

Huu ni mwanzo tu, program kama hizi zipo nyingi, na jiunge nasi uweze kuendelea kuzifahamu.

Mwishowe nitatoa mfano hai... ilikuwa mwaka 2012, kuna mtua katika forum pia alipost kuhusu Bitcoin, hii ilikuwa progam ya website ya coinbase.com wakati huo wana anza, walikuwa wanatoa 0.1 BTC kwa kila mtu atakae jiunga katika website yao.. pia kama wewe unajiunga na unamleta mtu basi unapata 0.1 BTC.

Mimi nilijiunga na wakati huo 0.1 BTC ilikuwa ina value ya ($1.08 = 2,500 TZS)

View attachment 1172792

Sema nilkuwa sina ujuzi sana, na siku kaa nazo sana nikauza, ila leo hii 0.1 BTC ni sawasawa na 1084 USD = 2,495,000 TZS

Hi haimanishi kuwa EVEN nayo itafanikiwa kama Bitcoin ila huu mfano uoneyeshe kuwa kuna wakati mwingine, unaweza fanya kitu kidogo sana, ukawekeza muda na akili tu na ikazaa faida kubwa.

Karibuni sana wadau kama ulikuwa unakiu sana ya kujua zaidi na kuwa na amount kidogo ya crypto ila ulikuwa na wasi wasi unaweza poteza hela yako, huu ndo wakati wako maana hapa hautawekeza ata senti.
Samahani izo hela zinapatikanaje paka uwape hao walio invest
 
P

patanoo

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
147
Points
250
P

patanoo

Senior Member
Joined Dec 1, 2017
147 250
Kuna dalili za watu kupigwa pesa..yaan cc watanzania wavivu sana kufikiri...mtu anakuja hapa lengo eti akupe wewe utajiri...anandugu wangapi ashindwe kuwapa huo mchongo hadi aulete hapa. Haya endeleen...
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,881
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,881 2,000
Sijaona hoja yako hapa....jibu kwa hoja
Kuna dalili za watu kupigwa pesa..yaan cc watanzania wavivu sana kufikiri...mtu anakuja hapa lengo eti akupe wewe utajiri...anandugu wangapi ashindwe kuwapa huo mchongo hadi aulete hapa. Haya endeleen...
 
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
46
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
46 125
naomba kujuwa kama unabenk statement/card ila unakosa passport inakuwaje? ila kitambulisho cha NIDA/taifa/uraia kipo
Wana accept National ID so utatumia icho kitambulisho cha NIDA

Currently, KYC verification may take up to 20 days because of the long queue. If you didn't pass KYC from the first attempt you will go to the end of the queue. ...

na possibility ume upload hivyo wanavyovihtaji unaweza usifanikiwe siku ya withdrawal...
Ni kweli, kwa sasa watu wengi wameigundua hii project na imesababisha application za verification kuwa nyingi, hio inapelekea zoezi kuchukua muda, Kuhusu siku ya withdrawal, haimanishi kuwa ni siku hiyo pekee bali ndo siku withdrawal zinaanza.. project bado ipo mwanzoni kabisa.. so ata kama ukija kuwa verified baada ya mwezi au ukaja jiunga baadae utaweza kuwithdraw bila shida.

Samahani izo hela zinapatikanaje paka uwape hao walio invest
Helo zinatoka mfukoni kwao na pia wao wana ma investor ambao wanawasaidia kwa kuwa wameona hii project yao ina uwezo wa kukua hapo mbeleni, so hela inatoka kwao.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
29,904
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
29,904 2,000
Ahsante kwa taarifa...

Cc: mahondaw
 
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,714
Points
2,000
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,714 2,000
Kesho nitajifunza. Naomba chengachenga mida hii.
 
Jesusfreak08

Jesusfreak08

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
43
Points
95
Jesusfreak08

Jesusfreak08

Member
Joined Jul 20, 2019
43 95
Wana accept National ID so utatumia icho kitambulisho cha NIDA

Ni kweli, kwa sasa watu wengi wameigundua hii project na imesababisha application za verification kuwa nyingi, hio inapelekea zoezi kuchukua muda, Kuhusu siku ya withdrawal, haimanishi kuwa ni siku hiyo pekee bali ndo siku withdrawal zinaanza.. project bado ipo mwanzoni kabisa.. so ata kama ukija kuwa verified baada ya mwezi au ukaja jiunga baadae utaweza kuwithdraw bila shida.

Helo zinatoka mfukoni kwao na pia wao wana ma investor ambao wanawasaidia kwa kuwa wameona hii project yao ina uwezo wa kukua hapo mbeleni, so hela inatoka kwao.
Watakupaje mfukoni hela za bure mkuu
 
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
46
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
46 125
Watakupaje mfukoni hela za bure mkuu
Soma tena vizuri mkuu, sijasema ni za buree, nimesema wanatoa hela ili project yao iweze kuwafikia watu wengi zaidi.. ni kama wamewekeza hiyo hela, kwa kuamini project yako itazaa matunda makubwa, pia nimeelezea kuwa wana wawekezaji pia ambao wamechangia katika hiyo hela.. wao pia wana amini hii project itakuja kuzaa matunda, na kuwa na hisa mapema. Jaribuni kusoma maelezo yote kwa kina tafadhali.
 
ForeverMore

ForeverMore

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Messages
445
Points
1,000
ForeverMore

ForeverMore

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2014
445 1,000
Sijui hii kitu kama ni ya kweli au laa. Ila nilichojifunza ni kuwa "if you feel something is too good to be true, it probably is"
Huku kuna dalili za kuibiwa Identity, yaani nitoe info za kadi ya benki na passport yangu. Kweli? No thank you.

Katika vitu ambavyo ni muhimu sana kuviweka salama ni passport, kitambulisho cha taifa na namba ya kadi ya benki (hasa kama inafanya miamala mtandaoni)

Hivi vya bure hivi. Ngoja tuone maendeleo.
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,881
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,881 2,000
Mkuu wewe ni mwanaume??

Mkuu , mojawapo ya siri ndogo ya matajiri wakubwa ni kuchukua risk ..
Sasa mkuu wewe usjali endelea kujilinda usitapeliwe.
Sijui hii kitu kama ni ya kweli au laa. Ila nilichojifunza ni kuwa "if you feel something is too good to be true, it probably is"
Huku kuna dalili za kuibiwa Identity, yaani nitoe info za kadi ya benki na passport yangu. Kweli? No thank you.

Katika vitu ambavyo ni muhimu sana kuviweka salama ni passport, kitambulisho cha taifa na namba ya kadi ya benki (hasa kama inafanya miamala mtandaoni)

Hivi vya bure hivi. Ngoja tuone maendeleo.
 
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
46
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
46 125
Kama haujajoin telegram group, fanya mpango huo leo nitatoa tutorial jinsi ya kutegeneza ether wallet ambayo itaweza kupokea hizo EVEN token... hizi ni tutorial stages..

chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
46
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
46 125
Video tutorial ya kutegeneza ethereum wallet itakayopokea EVEN token tayari nimeshaipost,, hii ndo step ya kwanza kuelekea kuwithdraw token zako

Forum statistics

Threads 1,325,468
Members 509,127
Posts 32,193,352
Top