Wekeni research zenu hapa

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Sijaona mahali wahitimu Tanzania walipoweka tafiti (research) zao.

Nawaombeni tutumie hii topic/ JF kuweka research zenu humu (ziwe peer reviewed ama not).

Lengo ni kujifunza kutoka kwa wengine/share knowledge/ contribute to our society through knowledge gained/motivation kwa wale bado wanasoma.

Sijui mtalichukuliaje bali ingependeza kuona studies ambazo zinaihusu jamii yetu moja kwa moja,drawing samples from Tanzanian community/population.

ila hata wale tafiti zao sio za kuihusu Tanzania mnakaribshwa...tunaweza kupata novel solutions kwa matatizo yetu, ama kwa wale bado vyuoni ku extend studies from your topics.

Si vyema mkakalia research zenu kabatini,

Kama unaweza share humu.

yangu nitaweka baadae,nina tatizo la kiufundi,lol

Becky
 
Research kwa wastani unatumia gharama kiasi gani. Mfano mimi hapa nikitaka kufanya research ya biashara kwenye mipaka ya hapa Afrika Mashariki natumia kiasi gani kwa makadirio. Najua ni usumbufu mkubwa, vibali serikali tofauti.

Hizo research serikali na private sector huzitumia zaidi au watu wanafanya kupata tittle tu.
 
Ingependeza kungekua na database ya hizo tafiti , kuna watu wana mawazo mazuri, kila mwaka yanafukiwa kusikojulikana very sad... kuhusu gharama za kufanya hayo makitu sijui lol
 
Tafiti za Tz mbona zipo nenda google scholar, pubmed and other search engine utakutana nazo zimejaa....kumbuka sheria ya sasa inataka kila postgraduate student apublish manuscript ya study yake
 
Back
Top Bottom