Weka picha, maneno wataweka wengine

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,038
2,098
Thread ya kutupia picha za watu maarufu na za kuustaajabisha na kuacha member wengine wekiweka caption ya maneno kwenye picha hyo

Twende kazi
FB_IMG_1549625254761.jpeg
FB_IMG_1549625333654.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya kwanza,kijana,Tukikusimika pale magogogoni je unaweza kuturudishia makinikia?
tatizo sina uwezo wa kumshinda aliyepo sasahivi sina wafuasi wengi na kuna mzee mmoja kwetu anamvi nyingi sana sijui kama atakubali kuniachia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom