Weka pesa yako kwenye matumizi

Renald Gasper

Member
May 6, 2012
12
22
Habari zenu wote, naitwa Rey.

Dhumuni la post hii ni kutoa nafasi kwa watu au kundi au kampuni kuweza kuweka pesa yao katika mzunguko wa biashara na in return, kupata pesa yao na some %in cash.

THE PROJECT
• Project inahusiana na Media marketing, ambayo kwa sasa mambo mengi yanafanyika mtandaoni na kitu kikubwa kinacho mfanya mtu kuweza kushikilia mtandao au kufaidika zaidi kupitia mitandao ni CREATIVITY. Project hii itahusika katika nyanja au sehemu zisizo pungua 3;
✓ Photography.
✓ Graphics Design.
✓ Videography.

Nyanja zote hizo ni nyanja zikuazo kwa kasi hapa Tanzania, hivyo uhitaji upo mkubwa.

PURPOSE
*Dhumuni hasa la Project ni kutoa services, market standard, katika nyanja ya Photography, Graphics Design na Videography.

∆ Photography;
✓ Portraits Photography.
✓ Family and Events Photography.
✓ Wedding Photography.
∆ Graphics Design;
✓ Branding.
✓ Brand Identity Design.
✓ Advertisement Design.
∆ Videography;
✓ Event Videography.
✓ Wedding Videography.

YOUR PART
Sehemu yako kama muwekezaji ni kuweza kusaidia kukamilisha project hii kwa kuchangia kiasi cha fedha kilichopo hapo chini. Fedha hiyo itatumika kwa dhumuni moja kubwa lakukamilisha ununuzi wa vifaa.

Malipo yako kama mwekezaji yapo hapo chini.

MCHANGANUO WA FEDHA.
Pesa inayo hitajika ni kiasi cha Tsh. 10,350,000.00
Katika gharama hizo mwekezaji ana asilimia 3% kama riba, sawa na Tsh. 3,105,000.00, hivyo mwekezaji atalipwa kiasi cha Tsh. 13,455,000.00 ndani ya miaka 5 tu.
Mchanganuo zaidi na maelezo kamili atayapata mwekezaji.

Hayo ni maelezo mafupi juu ya PROJECT nzima pia, mwekezaji atamiliki baadhi ya vifaa vitakavyo nunuliwa na pesa hiyo. Vifaa hivyo, 70% vinatoka nje ya nchi.

Kama upotayari kujumuika nasi katika uwekezaji huo, unakaribishwa sana; wasiliana nami kupitia no. 0628308050.

Pia waweza pata baadhi ya kazi zilizofanya chini yangu hapa Instagram "crellagecommunity" au Facebook page yetu, https://m.facebook.com/crellagehub/?ref=bookmarks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom