Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Hili neno sijui hata kirefu chake kinaandikwaje na hata maana yake siijui kabisa...hii lugha ndo maana wengi inatushinda,yan kinachoandikwa ni tofauti kabisa na kitamkwavyo....hatari sana
Ain't : am not, are not, is not, have/ has not
Zote hizo zaweza kuwa kirefu kutegemea na sentesi iliyotumika.
 
Back
Top Bottom