Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Hizo hapo juu ni wrong sana
ankshias
instinkt
Hiyo instinct nilitambua nitakuwa wrong ilinishinda katika kiswahili na nitabdilisha nisiingize wengine chaka.
Lakini Anxious mimi niko wrong mwishoni,I get it ... Kuna tamshi mkuu sio A kavu kama ulivyo andika,fatilia pronunciation particularly American English ni Aenkshias.
 
Back
Top Bottom