Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Kuna hili jina ni la mahali uko UK. Linaitwa Carlisle. Asee ambae atapatia kulitamka nampa vocha.

Ila kuna boss wangu kwenye kikao kila siku yeye chaos anatamka kama lilivyo badala ya 'keos' halafu gossip anatamka kama gospel. Huwa natamani nimfate private nimwambie anakosea ila nahisi anaweza kuniona mjuaji so namuacha na michapio yake.

Wapi wazee wa ditamaini.

Mwambie hata kama atakuona mjuaji sasa atakushukuru baadae mueleze, kazidi sasa hadi gossip...how the hell yeye ndio boss

Matamshi ya Carlisle ni —-Kaa-lile, nilidhani
Kaa-lili

ikanibid ni look it up kwahiyo sideserve hiyo prize
 
Bila ku google mzee hutoboi. Mimi mwenyewe nilisikia kwenye mechi nikajua commentator kakosea
 
Mwambie hata kama atakuona mjuaji sasa atakushukuru baadae mueleze, kazidi sasa hadi gossip...how the hell yeye ndio boss

Matamshi ya Carlisle ni —-Kaa-lile, nilidhani
Kaa-lili

ikanibid ni look it up kwahiyo sideserve hiyo prize
Kaalail
 
Characteristics neno hili nlilijua nikiwa darasa la tstu, wallah nliona dunia yote kama ahera nikaichukia inglish kabisa, na aliyekuwa anafundisha alikuwa head teacher mwanamke alikuwa na mimba ikawa hainipendi mm so kila akiingia laIma nile mboko kwanza kipindi ndo kianze.
And alikuwa best sana na mama yangu na mm nlikuwa napendwa na mama yangu kupitiliza coz ni last born. Urafiki wao ulifia pale.
 
Jiwe na ma phd yake interpreneurship alikuwa hawezi kutamka
Mm mpaka leo deny kuitamka dinai huwa siwezi
 
Characteristics neno hili nlilijua nikiwa darasa la tstu, wallah nliona dunia yote kama ahera nikaichukia inglish kabisa, na aliyekuwa anafundisha alikuwa head teacher mwanamke alikuwa na mimba ikawa hainipendi mm so kila akiingia laIma nile mboko kwanza kipindi ndo kianze.
And alikuwa best sana na mama yangu na mm nlikuwa napendwa na mama yangu kupitiliza coz ni last born. Urafiki wao ulifia pale.

Hahahahhaa
 
Kuna hili jina ni la mahali uko UK. Linaitwa Carlisle. Asee ambae atapatia kulitamka nampa vocha.

Ila kuna boss wangu kwenye kikao kila siku yeye chaos anatamka kama lilivyo badala ya 'keos' halafu gossip anatamka kama gospel. Huwa natamani nimfate private nimwambie anakosea ila nahisi anaweza kuniona mjuaji so namuacha na michapio yake.

Wapi wazee wa ditamaini.
Vocha ipo kweli
 
Back
Top Bottom