Weka kura yako hapa,"Kati ya Kigoma na Rukwa" wapi kumepiga hatua kimaenendeleo?

Mkuu, inawezekana swali langu hili hapa JF likawa limebeba maana ndogo sana kutokana na upeo wangu huu mdogo, ila mpaka nimefikia uamzi wa kutupia uzi huu ni baada ya ubishi mkubwa wa wanajamii hapa mtaani, tena siyo leo tuu wala mara moja. Wanaobishana si wenyeji wa maeneo hayo ila wengi wao wamepita kiashara, kikazi n.k. Wao wanajaribu kutoa tetezi zao kwa vigezo kama Miundombinu, Mzunguko wa biashara, Elimu na hata Uzalishaji mali kwa ujumla. Tunajua kwamba these areas we both Labour reserve zones kwa mjibu wa historia. Sasa kwa maelezo haya mafupi, wewe uonavyo kwa mtazamo wako, wapi ni zaidi ya kwingine? Na kwa nini? Nawasilisha.

kama ni kigoma siingilii. Waha wabishi ile mbaya
 
Hiyo ni mikoa ya uchochoroni kuilinganisha ni sawa na bubu kumnong'oneza kiziwi. Watu wa Kigoma walivyo wabishi watakesha humu leo
 
Back
Top Bottom