Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Pole lkn kwa haraka tumia ndulele kupigia mswaki únaikata unakamulia kwenye mswaki unaswak kutwa ×2 asbhi na jion ndan ya wik 1 tu utaona angalizo usimeze chochote wakt unaswaki ukimeza n sumu hyo
asante sana boss, so baada ya kuswaki c naweza kusukutua tu na maji ya kawaida
 
huu mmea unaitwa patakuva.... kiboko ya maumivu ya jino/meno. Tafunia kwenye jino linalouma au tafuna halaf sukutua kwenye jino linalouma. Likiendelea kuuma within 30 mimutes njoo uniue.
20220907_112536_HDR.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom