Wewe shein natamani Mungu anipe roho kama yako..umezidi upole sana kama kuna mtu atakusumbua wewe niite tu
 
Hakuna
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

Mimi ni raisi wa maskini wanaoshi kama malaika wataishi kama mashetani

serikali yangu haitawapa chakula Kila mtu atabeba msaba wake njaa haijaletwa na serikali

hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Nasisi hatujengi.

hakuna kufanya za siasa mpaka 2020 siasa huzuia maendeleo

siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu. Nakushangaa sheni kuwaingiza wapinzani

sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais , katiba sio kipaumbele changu kwa sasa nainyoosha nchi kwanza

police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi ng'oa tairi uzeni

watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure

Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea . Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
Hakuna mashiko
 
1. Mimi na Mhimili wangu tuna mizizi mirefu kuliko mihimili minginem ambayo tunaipa fedha na kuwapa maelekezo mengine.
2. Hatupeleki chakula kwa watu walio kwenye sehemu zenye kijani
3. Wewe Shein kwa nini unatumia mkono wako kutia sahihi ili mtu fulani apata mafao wakati alikataa kuupokea huo mkono?
4. Watu wengine huku Zanzibar ni wa kutumbukizwa kisimani kabisa ili wanywe maji mengi wakome.
5. Angalieni kilichofanyika kwa Gadaffi wa Iraq. Msiwasikilize wanaotaka kutupeleka huko
6. Hakuna mtu wa kuleta vyokofyoko kwangu
7. Wewe mkurugenzi wa NHC endelea kubomoa na kunyang'anya nyumba kama ulivyofanya kwa yule jamaa wa Bilicanas
8. Nyie mahakama mmalize kesi mapema ili niwape mgao wa faini
9. Shilingi elfu tanotano wanazochukua trafic siyo rushwa. Ni fedha ya kusafishia viatu tu.
10. In my behalf
11. Wewe Makonda endelea kutumbua tu, mimi nipo nyuma yako. Natamani wakuu wa mikoa wote wawe kama wewe.
12. Wale walioimba sijui wana imani na nani, ningekuwa mimi ningewamaliza hata nusu yao.
13. wanaolalamika maisha magumu walizoea kupiga dili. Ni wapiga dili hao.
14. Nitakausha fedha hadi kwenye nyumba za ibada
15. Wale wanafunzi wa Udom ni vilaza
16. Wale waliokuwa wamehamia upinzani na kurudi tunatambua ni ng'ombe wasio na mikia.
17. Watumishi wote wa umma bosi wao ni CCM, asiyekubali hilo aache kazi.
Hiyo ya 17 hatari sana
 
Kwa kweli nilimhurumia yule dada aliyeuliza hilo swali kwani alikosa amani baada ya kupata jibu hilo toka kwa mr. Jpm

Hakika mkuu,jawabu lile lilimdhalilisha kisaikolojia.Jibu la kifedhuli kwl.Ingekuwa mkuu ndio kauliza kisha yule dada akamjibu vile nn kingetikea?angeitwa mchochezi na hivyo kupandishwa kizimbani.Na bwana yule alivyo na jazba.....mwisho sijui mrs.mkuu alijisikiaje mr.wake kutoa jibu lile na pia mume/mchumba wa yule dada nina imani hakujisikia vema....
 
Quotes zimejaa busara na hekima mno.

1ce6e03fa1cdb887ced5421f1a3abf67.jpg
 
Kuna vyombo vya habari vinavyofanya vizuri, lakini pia kuna vigazeti viwili kazi yake ni kukosoa tu. Naawmbia, siku zake zinahesabika.
 
tetemeko halijaletwa na serikali

kwakuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu wacha nami niwe mkweli.Hiyo avatar imenifanya niwe zuzu.Unaonekana mrembo haswaa kiasi nimebung'aa mpaka nikadondosha tonge langu kubwa la ugali wa mtama na mchicha(hasara hii).Umejawa na bashasha na macho angavu hata mrembo wa kihistoria Cleopatra haoni ndani.Na mwisho utambulisho wako wa Evelyn salt(Evelina Chumvi) umeniduwaza...uzuri wako umekwenda hadi kwenye jina.Umetopea pendoni na hakika....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom