Weka hapa nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES) | Page 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weka hapa nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Jan 8, 2017.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,266
  Likes Received: 1,300
  Trophy Points: 280
  Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

  Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

  Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

  Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

  ''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.  ''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
  Njaa haijaletwa na serikali''.
  Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
  Na sisi hatujengi.  ''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.
  ''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
  Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.  ''Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
  Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


  ''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
  ng'oa tairi uzeni''.  ''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
  hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.  Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
  =========

  TAZAMA VIDEOS ZA SPEECHES MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI

   
 2. m

  miwani ya maisha JF-Expert Member

  #381
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 30, 2015
  Messages: 370
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 60
  NHC fanyieni kazi kama mlivyomyoosha jamaa(Mbowe)
   
 3. TangataUnyakeWasu

  TangataUnyakeWasu JF-Expert Member

  #382
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 669
  Likes Received: 872
  Trophy Points: 180
  Mwaaaaaaaaaaafwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #383
  Jan 9, 2017
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,307
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Quote za ajabu ajabu zote:)
   
 5. comrade igwe

  comrade igwe JF-Expert Member

  #384
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 12, 2015
  Messages: 4,453
  Likes Received: 2,149
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha mkuu nakikumbuka sana kumbe katerero yenyewe ipo bukoba hahahaha
   
 6. bbc

  bbc JF-Expert Member

  #385
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 18, 2016
  Messages: 1,197
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  Kweli "siku ya gulio Katerero", sijui what was so special kwenye hilo gulio!!
   
 7. yello masai

  yello masai JF-Expert Member

  #386
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 1,115
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nabip simu ikakatalia huko huko ikajipiga
   
 8. yello masai

  yello masai JF-Expert Member

  #387
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 8, 2016
  Messages: 1,115
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  "Unataka niseme nakupenda wewe? ". Hii alimjibu mama mwandishi wa habari alipouliza kuhsu hobbies za mkuu
   
 9. Tata Maestro

  Tata Maestro Member

  #388
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 8, 2017
  Messages: 93
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  Aseeee ukiandika kitabu cha nukuu hizi , utakuwa DSM best seller.
   
 10. N

  Ngakatima Senior Member

  #389
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 21, 2016
  Messages: 104
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 60
  "Nyie waandishi mnanichora vibayaaa, lkn nikijiangalia katka kioo najiona sina manundu"
   
 11. b

  bato JF-Expert Member

  #390
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 2,218
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  Polisi kupewa kaki kupiga viatu rangi,ruksa. Nakumbuka aliwahi kusema hivo
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #391
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Asili (waanzilishi) ya gulio ni huko Katerero...
   
 13. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #392
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,424
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  Impossible my sista.
  Jamaa akitaja viunga vya Kilosa ananikumbusha madafu wakat nasoma huko,na ndo nilikozaliwa,akitaja Kilombero ndo kwa mama naendaga kula KAMBALE NA KITOGA.
  Akitaja Dark City nakumbuka maisha yangu wakat naish Mazimbu Campus.
   
 14. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #393
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,424
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  'Mwafwaaaaa'
  It has been said
   
 15. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #394
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Watu wakikuchukia hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi..
   
 16. g

  gungele JF-Expert Member

  #395
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 8, 2015
  Messages: 1,046
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
   
 17. MissM4C

  MissM4C JF-Expert Member

  #396
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,145
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  “Ukiona Mpinzani anakusifia, rudi hatua mbili nyuma jitazame umekosea wapi”

  “Unakuta machinga maskini kamtaji kashilingi elfu 5 halafu unamfukuza hapa katikati, waacheni wauze maana ndio walinipa kula"

  “On behalf of myself and all Tanzanians, My symphathy goes out to the people of Cuban on the death of Fidel Castro”
   
 18. m

  mnadas Member

  #397
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 27
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 5
  Kuhusu mikopo ya vyuo vikuu "SASA MTU ANAOMBA MKOPO KITU CHENYEWE NI MKOPO KWANN ASIPEWE?"
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #398
  Jan 9, 2017
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 9,950
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Pogba hatari zaidi ya ukimwi
   
 20. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #399
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 14,424
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  'Kama kuna mfanya biashara alinichangia hapa anyooshe mkono'
   
 21. C

  CHANGEZ Member

  #400
  Jan 9, 2017
  Joined: Sep 24, 2015
  Messages: 31
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Sitowaangusha!.
   
Loading...