Weka hapa dhambi inayokutesa unatamani kuiacha ila inashindikana then wanaJF tuombeane

Kudokoa mboga jikon !!! ( swalehe kanifundisha tabia mbaya) " am sory mamy swalehe nyama ya juzi ni mi na swalehe tuliiba sio paka "
tapatalk_1521862710747.jpeg

Love u swalehe u are so handsome ...
 
NAHUJA nasubili nione dhambi yako ni ipi, kama sikosei ni ile ya yule bodaboda
 
Back
Top Bottom