Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,485 9,516 Nov 27, 2012 #2 Bado sijala cake hiyo, hata kwa vifaru na makombora
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Nov 27, 2012 #3 Hazaliwi mtu kwa style hii, HAPANA.
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Nov 27, 2012 #4 Safi sana yaani unamsapraizi mtu na keki kama hii,ha ha ha ha ngumu kuila hata kama nio tamu.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,775 6,553 Nov 27, 2012 #9 Dotworld said: Click to expand... ahhahaaaaaahaaaaahaaa haaa ndio nini hiki..
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Nov 27, 2012 #15 Dotworld said: Mbuzi Mzee Click to expand... Cake gani hiyo? Badala mtu ufurahie kukata cake unaanza kulia kwa kumkumbuka marehemu! Khaaaa! Kuna watu hamnazo!
Dotworld said: Mbuzi Mzee Click to expand... Cake gani hiyo? Badala mtu ufurahie kukata cake unaanza kulia kwa kumkumbuka marehemu! Khaaaa! Kuna watu hamnazo!