Ha ha ha haaah,,,,,,dogo ratiba yako imetulia. Mimi leo nipo tu home nimejipumzikia.Mi nikitoka job naenda pata lunch.. halafu kikao na washkaj sehem kama mbili tofauti..mida ya saa mbili au tatu narudi hm.. kesho j2 sitoki hm.. wewe je
Ha ha ha haaaah,,,,,,,,we jamaa.Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...
Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...
Tuko umekua halisi sana ukiwakilisha maisha ya wasela wengi. Nimecheka sana na unawahi misa ya kwanza wakati usiku wake ulikuwa unazini. Nyumba za ibada zinabeba kwelikweli.
Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...
Yani umenifanya nicheke kwa nguvu jamani watu mna mipango
Mimi niko shamba nafurahia mahindi yamezaa sana sijui nitakula miaka mingapi. Nikitoka shamba home kupumzika na shemeji yenu huku tukipata mbili tatu. Mishemishe za ujana nilisha graduate.
Mi nikitoka job naenda pata lunch.. halafu kikao na washkaj sehem kama mbili tofauti..mida ya saa mbili au tatu narudi hm.. kesho j2 sitoki hm.. wewe je
Niko nafukuzia huku kati(nafukuzia fedha)
Mchukue shem muende bakurutu kusherekea mavuno ya mahindi...
mhm!! jamani bakurutu ndo wapi?
Weekend yako wapi Fei?
Mie nipo tu home naangalia movie