WEEKEND TAMU

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Wadau poleni na majukum, leo ndo wikendi wadau mimi binafsi ntakuwa kiwanja kimoja kinaitwa Juliana mbezi nakula bear.


Mtakao kuwepo naomba mni Dm Tujumukike pamoja tukisubiri uchaguzi mkuuu.

Asanteni
 
Dah!!! weekend huwa tamu sana ikiwa inaanza lakini ikishafika jumapili jioni, stress huwa zinarudi upya BTW maisha yaendelee mkuu.
 
Back
Top Bottom