Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

@lara1 umezingua bana.. Kitu kitamu kama hichi inatikiwa kiishe in a dramatic way..
 
Lara kwanza asante tena sana sasa ndio imeishaje tena mbona kama picha linaendelea
 
KLM so kwa kutupeleka namna hii. Its OK kwa Leo itaku imeiasha, VIP kuhusu T na V? Maana wana sakata lao linaendelea.
 
Ayah asante lara.. Ila sio kwa hio amsha amsha uliotupa mwishoni.. Ila kwa kua sie kina uchebe bas sawa kubwa la maadui.. Tunashukuru
 
umetibua na kuvuluga vuzi msengery ewe dah stimu zote kushnehi sa ndo kumalizaje huko
 
The level of exposure bibie Lara1 alonayoo..saluutee....naona kila Field yumoo...taste of good stuff to bad stuff..the nasty and the good, finances to biology lol...
Shida ss the more u know things the harder it is to appreciate people unakua unawaona average tuu...watakwambia nini ur exposed than them.. Good morning
Lara anatakiwa apate mtu dizaini ya Leo, ukijipeleka na ujuaji mwingi hupati kitu!
 
Asante sana kwa story hii.

Nimevutiwa sana na BLACKMAIL V/S BLACKFEMALE.

Wanaume tunajijia wenyewe kwenye escapades.

Mtafutano wa hatari sana...

The narrator, Lara1 ya marvelous in story telling.
 
Back
Top Bottom