Weekend story! BEN 10

Nimeondoka zangu pale mpaka mwisho wa bus! Nikashuka,nilikuwa na mikufu miwili! Nikaenda kwa sonara! Wakakagua mali wakaniiita chemba! Kwamba kama nina risiti za kununulia ule mkufu watatoa milion 80! Kama sina watatoa 50! Nikowaangalia wanaonekana warusi! Hawashindwi hata kunipora nitashtaki wapi! Nikakubali 50! Wakanipa kwenye kibegi!

Nikatafuta lodge ya bei poa poa! Nikaanza kuishi hapo! Hapo lodge kuna mnigeria! Nikamuuliza kama naweza pata passport na karatasi! Akasema kazi ndogo sana hio pesa ipo? Nikamwambia ipo! Akaniuliza karatasi zako ziko wapi? Passport halali? Nikamqambia nililetwa kiutumwa sijamaliza deni! Akasema mbona simple nenda ubalozi wa nchini kwako watakupa passport mpya! Nikamwambia niletee ya magumashi!

Akaniletea ya mtu hata hatufanani! Imepigwa palepale UK! Inaaoma 22 years! Makubwaa! Ananiambia wazungu wenzio wanatuona tunafanana! Komaa yako hamna atae kubabaisha! Nikamua kwenda London kwenye ubalozi wa Mozambique! Nikiwa njiani nikasimamishwa na polisi! Nikatoa fekero! Wakaikagua wee, chupi imenibana wakanirejeshea!

Nimefika ubalozini, kama Mungu tu naangalia vizuri namuona Janet kasimama! Nikasepa fast fasta! Mjinga ananitafuta! Nikawaza namna hii nitakuwa sitoki UK! Nikawaza au nikaombe deportion? Sasa nikirudi Africa si ndo nitafeli kabisaa! Nikaamua kuishi London kigumu! Uzuri pesa ninayo kidogo!

Nikaingia Casino na kuqakuta wa nigeria! Kama kawaida my brother! Na mimi nipo nao! My brother! Nikashinda shinda kidogo maana sikubet ile ile! Tumetoka wakaniambia kuna party twende kwenye hio party! Na mimi nikazama kwenye hio party!

Huku na huku nikakutana na mtoto Chelsea! Toto la kizungu! Zuri hatariii! Likaniomba namba! Nikampa! Nilinunua simu kwa mnigeria!Baada ya party akaniambia lets go to my place! Nikasema hii si ndo kitonga sasa! Nikazama nae kwake!

Muzngu kachoka tu anaishi kwenye one studio appartments! Ushekweni huko! Nikazama ndani! Mtoto mweupeee zungu zungu kweli lina blond hair! Nikala mzigo maana ni kitambo sanaa toka nile mzigo nikiwa mtu huru! Ananiuliza mbona una makovu! Nikamwambia nimetoka Somalia vitani, nimenusurika kifo mara kibao! Kwanza hata karatasi sina!

Akanionea huruma! Kaa hapa baby wangu! Hamna shida! Hawatokukamata huku! Ishi na mimi mda wote unaotaka! Nikasema Alhamdullilah! Nikawa nampiga mzungu show za kibabe sanaa! Akadataa akavurugika kabisaa! In two weeks akaniambia nimekutafutia kazi kazini kwetu!

Nikaenda kwenye hio kazi! Kazi yenyewe ni kwenye inn kama lodge! Ya ndugu yake! Akasema ananisaidia sababu ya cousin wake! Sababu sina karatasi basi watanipakazi za pale pale ambapo sitoki toki wala kukutana na watu! Nikakubali! Mshahara walinilalia sio kidogo! Nikakubali maana hii kazi mnakula hapo hapo asubuhi na mchana!

Kazi yangu ni Inn keeper! Nikafanyiwa training jinsi ya kusafisha vyumba! Ku vaccum,kubadili bedahits na kuzifua, kufuta kila kona ya chumba, kuweka kila kitu smart! Tuko wa 4, kila mtu ana floor yake, floor ziko 4! Mimi nipo ya 4! Nikawa nafanya kwa moyo sanaa na ufa isi mkubwa!

Sina stori na mtu kazini, jioni na demu wangu Chelsea tunapanda bus tunarudi kwenye studio appartment yetu! Na hukonasafisha mwenyewe, napika, nafua, hafanyi kitu! Bado kum spoil kwa vizawadi zawadi! Mara kicheni cha gold!, mara namtoa out, alidtaaa!

Akanipeleka kwao kwa wazungu wabaguzo hatari! Hawakunipenda because black ila wafanyaje wakawa hivo hivo wanafki wanafiki! Kuishi na mzungu kuna taka moyo! Kila kitu ratiba! Kua zia kula kuna time table! Mpaka activity za kufanya nazo zina timetable!

Boss wa pale kwenye inn nikamsikia anazungumzia wana casino yao Monaco huko France! Nikasema hii ndo tiketi yangu ya kutokahapa london! Nikafanya kazi kwa moyo sanaa! Ikafikia hatua wateja wotewanangangania floor ya 4! Kama imejaa basi! Wenzangu wakanichukia sanaa!

Siku ya siku nikonyuma nafua kwenye laundry akaja Chelsea kuniambia migration wamekuja kimbia na back door! Nikakimbia sanaaa! Nikaenda tunapoishina kuchukua vitu muhimu na kusepa! Nikajua nishachomewa nikizubaa watanidaka!

Nikapanda metro kwenda Leeds! Nimefika huko nikachukua hotel! Nikaanza kwenda Casino! Nikawazoea wachezeshaji! Nikawaambia natafuta kazi! Wakaniambia kazi pale casino labda ya kuosha vyombo! Nikakubali! Wakaniunganishia!

Nimeosha vyombo miezi 6 and life was good! Siku hio asubuhi hamna wateja nikawa nawachezesha wenzangu kama masihara tu! Hamna anaekula! Nimechezesha round kumi! Akaja boss! Nikaogopa sanaa! Akasema chezesha na yeye akacheza! Hakula! Akasema rudia! Nikarudia kuchanga! Hakulaaa! Akawaita ma boss wenzie hawakula!

Wakaniita kwe ye kichumba! Waanibana wewe nani? Unafanya nini kwenye hii casino! Kwa skills zako za kuchezesha lazima ushachezesha casino kubwa za vegas huko au Macau! Nikajitetea mimi mkimbizi wa Somali! Sina hata karatasi! Nilichezesha Somalia! Kilichoniokoa niliwaonesha makovu yangu wakaniamini! Nawaambia nilichezesha vitani! Bet ni uhai! Ukikosea tu umekufa

Wakanipa uniform na kuniambia nitakuwa nachezesha! Japo sina karatasi ila nitakuwa nachezesha! Nikajua kwa wote! Kumbe sio pale kuna sehemuyao ingine VIP tupu! Wananipangia wale qatu wa 3 tu! Na mimi naenda nao sambamba! Nachezesha celebrities! Nachezesha wale wazungu wenye pesa zao!

Life waa good,maana ma boss nikawa naenda nao sambamba! Wakanipa karatasi! Mshahara mzuri! Nikamtafuta Chelsea na kumuamishia huku! Lengo uraia tu ndugu msomaji! Na nilikuwa nampenda pia Chelsea na tunaelewana sana! This time yeyehana kazi mimi ndo namtunza!

Siku ya siku nachezesha! Akaingia Janet na mzungu! Nikawahi kukimbia na kumwambia mwenzangu nishikie meza nikaenda kujificha! Nikamtext aliekuwa anawachezesha kina Janet asikilize kila wanachoongea aje kuniambia! Hawakucheza sana wakaondoka!

Nikwaza pale hapafai tena! Hii kazi naipenda sanaaa! Nitakimbia mpaka lini? Nikaamua haina namna inabidi na ile kazi niiache kama vipi! Nikamuuliza aliekuwa anawachezesha walikuwa wanaongea nini? Akaniambia wanaongea Janet anatakiwa kwenda Malasia kufanya very dangerous job! Sasa Janet anasema mwanae itakuwaje? Maana ndo kwanza ana six month! Yule mzungu anamwambia amwache kwenye children center ya kanisa! Akafanye hio kazi! Hio children center iko London inaitwa Santa Monica! Nikawaambia yule my ex wife! Nikawaonesha picha za harusi ndo wakaniamini! Boss akasema akija tena watamnyima entry!

Habari za mtoto wa miezi 6 zilinitikisa mnoo! Damu nzito kuliko maji! Nikajiapiza iwavona iwavo lazima nikamuone mtoto wangu! Damu yangu! Wananipajekqa mfano? Nikaanza kumtrack Janet Insta! Akapoat yupo airport!

Nikaenda Santa Monica wakaninyima hata kumuona! Nikaomba sanaa! Sister akaniambia kwanza issue ya huyu mtoto ngumu sana! Namuonesha picha za harusi anasema inaweza kuwa alikuwa mkeo ila wewe si baba! Nikamwambia niko tayari kwa DNA! Akasema still unaweza kuwa baba lakini usipewe! Kwanini mama alimleta huku asikupe wewe!

Akaniambia kwanza jana imepigqa simu apelekwe foster care! Mama mtu kafungwa huko Malasia! Hatoki leo wala kesho! Nikastuka sanaaa! Na habari za mwanangu wa 6 month kupelekwa foster care zilinitisha sanaa!

Nikavamia pale tulipokuwa tunakaa! Napajua kindaki ndaki! Nikavunja dirisha na kuingia! Nikasachi weee! Nikafanikiwa tu kupata passport ya guna document zangu! Zile safe hazikuwepo! Nikabeba na laptop yake! Nikatafuta dpcuments za mtoto holaaa!

Nikarudi kazini! Mchana nikiwa off naenda kumsumbua sister! Akaniambia hapa the only way mtafute mama mtu akupe custody! Bila hivo mtoto humpati! Na akishaingizwa kwenye adoption au foster care ndo hutompata kabisaa kabisaaa!

Pesa bilizokuwa nazo nikajaribu kupanga nyumba nzuri, na kutengeneza mambo afu nika apply kumu adopt mwanangu! Ni gharama kubwa na usumbufu mkubwa! Nikamkosa! Na sikuambiwa kapewa nani!

Nikawaza the only way ya kumpata maybe nikiwa tajiri sanaa! Niweze kumsaka Janet jela zote za Malasia mpaka anipe custody! Nakuwaje tajiri mimi wa ghafla! Nikarudi ku bet online!

Last lastnilikuwa na million 300! Nikabet zote! Na nikabet ngombe! Chupi ilinibana! Iazunguka! Ngombe akashinda! Odds ni mara 20! Nikashinda 6B! Nilifurahi! Nikamwambia Chelsea we won the lotery! Hii pesa kwa UK ndogo sanaa ila twende Malasia! Ni pesa ndefuuu! Akakubali!

Malasia tukafungua bar, casino na restaurant! English style! Ana meneji Chelsea! Wazungu kama wote si mzungu mwenzao! Afu ana experience ya hotel management na kasomea kabisaa! Business waa good!

Nikaanza kumsaka! Haikuwa rahisi ila penye uzia pe yeza rupia! Kesi yake ni balaa! Alikamatwa kesi ya mauaji! Aliuwawa kiongozi wa upinzanina yeye ni primary suspect! Ila ushahidi hamna! Nikaenda kuongwa nae!

Kakonda,kawa mdogo, kanyaukaa! Jeuri yote imemuishaaa! Chezea deathrow! Nikampa ofa yangu! Nimsaidiekutoka anisaidiekumpata mwanangu! Akasema haiwezekani! Isingekuwa mtoto angeshajiua kitambo! Hawezi kunipa! Kutoka atatokakwa mda wakena terms zake! Anashukuru kwa ofa ila hapana!

Akakumbusha ananidai billion 2 worth of jewerly! Akitoka i better cough up her money! Nikajua shetani hili hata likizeeka haliwezi kuwa malaika! Nikambembeleza! Akasema Sam mimi pesa ya kutoka hapa ninayo! Nimekaa hapa nina malengo yangu na kazi yangu nataka kuikamilisha! Achana na mwanangu lipa pesa zangu!

Nilichokaa! Na kweli bwana! Baada ya miezi miwili nikasia kiongozi mwingine wa upinzani mmama kauwawa jela na hamna ushahidi tena! Na Janet akaanza kupelekwa mahakamani mzobe mzobe! Kesi ikaisha faat fasta akaachiwa huruhakukutwa na hatia yoyote!

Nikamwmabia Chelsea we have to go back to London! Akagoma! Nikamwambia wewe endesha biashara mi nitarudi! Nikaenda kwenye ile nyumba nikakuta ashaiuza kitambo! Hayupoa wala hajaacha trace!

Nikpekua laptop yake nikapata ule mkataba! Nikaanza kuwatisha wale wa marekani waniambie alipo! Akanitumia whatsup picha yake na mtoto na ujumbe, achana na sisi! You walked out of our lives! The only reason i have not killed you yet sababu ya mwanangu sitotaka kuja kumwambia i popped your dady! By the way your buggers taste shitty! Akanitumia picha ya mgahawa wetu na Chelsea yupo hajajua kapigwa picha! Akamaliza NB: Zungu baya kama nini hili!!

ITAENDELEA!
 
Kazi ipo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janet mafia, eti zungu baya . Akimkamata Sam atamkata korodan
 
Hahahahah eti zungu baya wivu mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom