Weekend story: A Woman of the people

Dini ni nyepesi sanaaa! Ila ni nzitooo! Lara 1 na bible zake alikuwa ananivurugaaaa tu vuuu! Kweli kabisaaa ndugu msomajiiii unaweza amini kwamba mimi WOTP naweza samehewa na Mungu! Na Mungu bado akanipendaaaa serious kabisaaaa! Baada ya kutumikia utawala wa shetaniii ngazi zoteee mpaka zile za juuu! Hukumu ya mda itaniachaaa vipi?

Ila sababu upande wa shetani nishafanya kila kituuuu! Nime kali a mpaka MIJUBILENG! Jamaniiii! Na mambo ya likuwa bila bila! For efforts ndugu wasomaji nipeni tu A! Huko kanisaniiii kutakuwa na maajabu ganiiii ya kunishindaaa mimi na Huu ukonkidizer! Hata nikiambiwaaa nilale na pastor wiki 2 Mbona jambo dogooo sanaa kwanguuu!!!

Serious ndugu wasomajiii I have already failed enough!!! I failed my parents, I failed my son, I failed my government hayati Mkapa Ali pambana sanaaa kujenga shule za sekondari, tusome bure ma Yatima! Tukasomaaa! For what? Kuja kuwa fuskaaa! I failed myself totally and completely! If there is a tinny bit of hope nipo tayari kufanya lolote na yote to change my story! Nilikuwa stage I can not even look at my parents graves Maana naona kama zinanifokeaaa!

Ule mpango wa kurekebiasha maisha yangu ulikuwa pale pale! Kwanza kuzaaa sio ugonjwa! I started eating clean! Naenda gym 4 times a week! I was working steady miezi zaidi ya 6! Nanyanyasikaaa ila sababu nishafanya maamuzi Sia chi ngoooo! Nadhani walijiuliza huyu kiumbeee Mbona suguuu! Nawajibu tu Yatima hadekiii! Tuko pamoja hapa ofisini hata mkisema nije nideki asubuhi Nita Deki!

Nikarudi kwa Lara about the church business! Nikasema niko Tayari ! Ila bado na mashaka Kama Mungu Kama Kweli kanisameheee kweliii! Isije kuwa anataka anichomeeee! Nakuja huku afu hukumuuu inaanza mapemaaaa sanaaa! Heheheee! Akaniambia nimesamehewa mimi itakuwa wewe? Mmmmmh lakini kweli ndugu msomajiii!

Namuuliza hio isharaaa tunafanyajeeee? Akasema hio bwana sio kirahisiiii rahisiii! Mungu ni neno! Ili umjue Mungu lazima ulijue neno! Hamna shortcut! kusistiza akanipa kabisaa huu mstariii Kutoka

Mathayo 15:21-28 ‘21 Na Yesu akaondoka mahali hapo akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. 22 Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu hizo akaja kwake, akamlilia, akasema, “Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana.” 23 Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. ” 24 Akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli wal iopotea.”

25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu akasema, “Bwana, nisaidie!” 26 Yesu akajibu, “Si haki kuchu kua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”

Mmmmmmh! Yesu mnazaretii huyu huyu au? Nikaanza kuona hata kanisaniii sio kwepesi! Je huyu mwanamke wa Sidon sio bora kuliko mimi? Sasa yeye kajibiwa vile mimi je? Lara ananipa moyooo wewe okokaaaa! Ukiokokaaa unakuwa mwana wa Mungu! Sio mbwa tenaaa! Mmmh! Msomajiiii! Nimepatikana!

Nikasema sawa! Naanza kusoma bibliaaa kitabu cha Mwanzo! Mimi na vitabu wapi na wapi! Nikikaaa bank nasomaaa! Kwenye daladala nasomaaa! Nasikiliza you tube Tb Joshuaaa! Namsikiza Mwakasege, Sunbella, kiukweliii baada ya kusikizaaa nikawa tu addicted!

Nilivomsikiza Mungu ni mtu very reliable! Sio kama wana damu! Akisema kasemaaa! Ina maana hata akinipa hio isharaaa itakuwa permanent! Ngoja ni Endelea kufata Njia zake!

Numbers 23:19 King James Version​

19 God is not a man, that he should lie; neither the son of man, that he should repent: hath he said, and shall he not do it? or hath he spoken, and shall he not make it good?’

Kweli kanisaniii Kuna mambo yakeeee mengiiii! Na vibuziiii vipo vipoooo! Sema sasa ndo macho ya rohoniiii! Kiukweli vilikuwa vimechokaaa tu! The sacrifice should match the CATCH! Nimejitoaaaa sanaaaaa! Natakiwa kupataaa mtu bab kubwaaaa!

The beauty of the lord , Mungu wetu ni Mungu wa amani! Ukisikia bwana wa majeshiiiiii usipime jeshi lake! Lina SILAHAAAA zoteeeee na hatariiii mno mnoooo! Ni kutozijuaaaa tu! Ndo maana Lara kaokokaaaa! Si bure bureee! Tatizoooo loloteeee Silaha zake zipo kwenye bible!

Kuna mda boss Kama alitaka kunitakaaa hiviii wakati mimi uzinzi nimeachaaa kabisaaa! Nikakosa rahaaa kabisaaa! Lara akaniambia huyo Mbona simple sanaaa! Tunamfungaaa mdomooo! Hakutamkiii upuuzi wake! Neno lipo! Na tunaliachiaaa juu yake litamfungaaa maisha yake yoteeee!

Joshua 6:1

Now Jericho was shut up inside and outside because of the people of Israel. None went out, and none came in.’ Kama Yerico ilivofungwa nje na ndani namfunga mdomo huyu boss nje Na ndani asiwezeee kutamkaaa haya maneno kabisaaa juu yangu! Believe it boy! He never said a word! Nadhani hata yeye alikuwa hajui Kwanini alishindwa kutamka!

Pia vita sio lazima uchokozwe wewe! Hata wewe unaweza kuchokoza ! Nilikaaa nikaonaaa Kwanini niishi kama mbwa ofisini wakati Baba yangu wa Mbinguni ni mfalmeee! Nikazamaa kwenye maombiii ya kibaliii ya Ester! Nimefunga 3 kavuuu! Unakunywa maji tu! Mungu mkubwaaa hata sijamalizaaa nikapandishwa cheo!

Kweli mambo ya kiroho ni magumuuu sanaaa! Ila yanapambanikaaa! Ugumu upo kwenye kuacha hilaaa za hapa na pale! Mambo ya mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia! Mambo ya USIZINI! USIIBE! USISEME UONGO! USITAMANI MWANAMKE ASIE MKEO/MUMEO NA WALIVO NONAAA SASA! Haswaaa kanisani! Cause they are bored to death! They only need invitation to treaty! Yaani wana Ngoja mtu aseme tu SUUUU! Hapo Mungu anakwambia nataka nikuinueeee! Nataka nikupe mumeo! Nataka nikupe nyumba yako! Hatariiiii!

Watu wanasema ukitaka mume okokaaa! Nikajua basi Niki ingia tu kanisaniii mwezi hauishiii nimeolewa! Na venye Bwana wa Majeshi ako na nguvu na uweza Mbona jambo Dogo sanaaa kwake! My friend that was not the case! kanisani kuna lonelier people than you can ever imagine! Waiting in vain! Bora kitaaa tunapoozanaaa kibingwa! And most marriages are neither happy ni formality tu! Usionekane umekosaaa! Maybe sikuangalia vizuriii! Nilikaaa kanisani mpaka nikaanza kufanana Na kanisaaa! Nikajiambiaaa there must be a shortcut!

Nikamfata Lara niambie shortcut! Najuaaa Ipo! Najuaaa unaijuaaaa! Anasisitiza unaweza wahi kwenye harusiii ila huwezi Foji ndoaaa! Ndoa Ina processs! Wewe unaweza Ona kusoma hio bible kujifunza ni usumbufu! Ila hushangiii watu wanapata ndoa afu wanapokonywa! Utapata haitadumuuuu! Nikamwambia cut the bullshit nipe shortcut!

Akasema well I researched after charming several pastors men and women! Believe me men pastors are easier to charm! It wasn’t easy but I got the shortcut! Nikamwambiaaa I’m ready!

Kwanza lazima ujue unakwama wapi! Itakusaidiaaa!

Kuna sababu nyingi huolewi! 1. Unachaguaaa sanaa! Wakukuoa wapo ila ndo sio chaguo! Kumbuka kwa Mungu wote sawa! Mungu anatuangalia macho ya rohoni! So kama unakwama hapa unaona wanaume wote mavimavi tu! Inabidi umuombe Mungu akuchagulie yeye na ilibakia me nae! Unaahidi umekubali na yeye at akuletee! And God being God expect anything! We unaamini Dc Joka kakosa wa kumuoa? Thubutuuuu!

2. Inawezekana tabiaaa zako! Pia ni spirits! Kiburi, jeuriiii, majivunooo, dharauuuu! Uvivu you name it! Hizi zote ni spirits! Fanya maombi Na amua kwa dhatiii kuachaaa hizi mambo!

3. Uchawiii, viapo, Lana! Hizi zinatesaa ila zikikemewa zinatokaaa! Namba 2 ni mtiti! Ushawahi ona unafanya mapmbi dhidi ya your own personality? Balaaa!

Despite the reasons Ipo njia nyepesi sanaaa! Mnooo mnooo ila ni ngumu balaaa!

Akasema Mwanamke kwenye bible ana NAFASI 3 kwa Mume!

Kwanza Kuhani! Ukijicommit utaenda kuwa kuhani wake na familia yenu mtayoanza na yake, siku zote ku muongozo katika Mungu! Mume wako huyooo! Ukizingua kwenye ahadi unaporwaaa! MABINTI wa kilokole hii mbinu wanatumiaaa hatariii! Ndo maana hawakawiiii!

Pili Nafasi ya mama! Ukazaeee sio kumeza majiraaa tu! Na kuwa na upendo wa mama yake! Upendo usio ulizaaa! Upendo wa dhatiii! Kwake Na familiaaa!

"Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It does not dishonor others, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs." Mtume Paulo mwenyewe aliamua isiwe tabu bora asioe! Ndo utajuaaa hujuiii!

Zingatiaaaa hizooo 2 ! Ukiziwezaaa mume utapewaaaa mapemaaa! Zikikushinda hizo 2 ya 3 hutoiwezaaa kabisaaa!

Jamaniiiii! 2 zenyeweee zishaanza kunishindaaa! Nikamuuliza na ishara tunafanyajeeee!!!? Akasema ishara bwanaaa mpaka impart mtu ndo uulize Ndio au sie! Na Kama ndie upewe isharaaaa! Mmmmmhhh!

Kwa jinsi nilivokuwa nimefikiaaaa kiukweli zile nafasi 2 nilizo comity faster! How harder can they be! Na mimi mda huuu nimetakataaaa! Nawakaaaaaa! Shetani nimemkaliaaaa! Hana ujanja kwangu tenaa! Nimejirepeaaa! Mwili na rohooo! Kweli kuolewa kwa stage hiii lilikuwa jambo la wazi kabisaaaa! Naachajeeee! Simu simu zikawa kama zoteeee!

Nikarudiii jukwaani! Kwanza MMU pa Kawa hapanifaiiiii kabisaaa! Nikawa nacheza anga za Inteliency na Siasa tu! Nikizidiiiii sanaa Uchumiiii! Mimi sio mwenzenuuu tenaaa!

Mara paap! Aka ni Dm kichwa kibovuuuuu kibovuuuuuu humu ndani! Katika top 5 ya vichwa vibovuuu lazimaaa umtajeee! Nikasema oooooh shit! Huyu shetaniiii kabisaaaa kaja mchanaaa! Nikaikemeaaa ile PM!

Nikarudi kwa Lara namwambia Mbona mambo bila bila! Akasema haiwezekaniii! Ulifata manual kama nilivokwambiaaa! Namwambiaaa nimefataaa kabisaaa! Akaulizaaa hamnaaa mtu wa ajabu ajabu amekuchekiii? Mmmmmh! Nikamwambiaaa yupo ila sioooo!

Anasisitiza sasa huyo Ndio! Mmmmmmhhh wasomajiiiio wanataka kunifanya nini? Nikamwambiaaaa hapaanaaaa! Nishakemeaaaaa! Anasisitiza mtazame kwa jicho la rohoni! We unamjuaaaa Ila Mungu anamjuaaaa zaidiii yako! Usimwamini kichwa kibovuuu Muamini Mungu! Huwezi muomba makate akakupa jiwe! Mmmmmmh! Wasomajiiii hapa napigwaaa mchanaaaa kweupeeee! Nikasemaaa HAPANA!

Akasema mpe chance! Maybe muombe Mungu isharaaaa! Huweziiii juaaaa! Mmmmh! Hio ishara akiwa mwenyewe nafanyaje? Weeeeeeee! Nikawa sitaki isharaaa wala nini iwavo iwavo kichwa kibovu simtakiii! Nikamuuliza kama simtakiii inakuwajeee? Akasema haina kukataaa! Ataletwa mbele zako mpaka utakapo kubali! Weeeeeeeee! Nikamuuliza ndo kimekuuta nini? Akasema ndo manake! Mmmmmh nyie wasomajiii haya mambo sio poaaa!

Nikakakta shauri nika mjibu yule kichwa kibovuuu nimtibueeee vuuu mpaka anikateee mimi ! Maana mpaka kanitafuta Bwana kasha sema nae! Nikaingia PM! Na kumjibuuu!

ITAENDELEAAAAAAA!!!!!
 
NDUGU WABEBA BOX NAWAOMBAAA KIUTU UZIMAAA MNINUNULIE IPHONE 13 KIBINGWA TU!!!! Mwenyewe Nina $400 Zipo Tayari huko USA kwa ndugu yangu! Imekasoro hio 1000 tuuu! Kiukweliiii navowatoa tongo tongooo Saa 9 usiku hiii mnawapa wasupuuuuu wa humu mimi mnaninyimaaaa? Naahidi nitakuwa naleta story KILA SIKU MWAKA MZIMAAA!!!!

Nipo serious! Mpaka Leo natumia i Phone 8! Msaada wa china!

BWANA NIMEKOSAAA HATA SIMU NIKOSEEE JAMANIIII! Watu wa 5 tu mkinichangia $200 akianza na baby wangu griffin2 !

Shemu langu Mr. Diplomatic!

MOTP!

The Monk ( uko Parokiani unalipwaaa pesa zitakusababisha utende dhambi bora unichangie!

Nyani Ngabu unaeleweka kwa kuzawadia watu I phone!

Fanyeni jambo jamaniii! Mtu mzima mwenzenu naadhirikaaaa!
 
THE FROG PRINCE!

Jamani huyu kichwa kibovuuuu ni Frog prince! Yaaani personality yake, matamshi yake, mambo mambo yake he is always boasting, so arrogant, so irritating! Hata kama sio mtu wa kusoma watuuuu huitaji mganga apige ramli kujua he is nothing but a looser! Bora kujiunga Na triology ya Sam and his arrogant concubines!

Nikamjibu tu! Hivo hivoooo tu! The fact akasema yuko nje nikaonaaa safiiiii sanaaa! Fimbo ya mbali Haiui nyokaaa! Sawa kaniambia yupo nje n I totally believed him, but yet he found the need to record himself na tareheee kabisaaa kwenye video just to prove a point yupo nje kweli! He is so unnecessary extra! Told you he is a jerk!

Sasa by this time I was wise, composed, knew my worth ! No tricks, no cheating! No games! Nilienda kwake Mimi Kama Mimi! Kama Mungu kanipa sawa kama hajanipa atanipa mwingine wa kunifaaa! Dini somehow has a way to block the darkest of your fears!

He never asked about me! Mimi nani, na fanya nini, niko vipi! Even a photo! Zaidi ya mwezi tuna chat tu! Nikahisi au kaka Kiiza ashanisaliti kwa dollar chache! Mmmmmh! Why does he have to be so damn perfect!

Nikakumbuka resolution zangu! NO MORE DOUBTS! Nina baba yangu wa Mbinguni! I don’t trust him one bit! I just trust God! Basi we kept in touch! Always it was what are you doing? How was your day! Mambo Kama hayo! Tushahamia whatsup! Hapigi video call! Never!

Nikamfata kaka Kiza na kumuuliza Kama Kuna connection yoyote Ali fanya! Akauliza kwa nani? Nikamwambia never mind! He was so perfect! So kind! So caring! SITUMIII NGUVU KABISAAA! Acheni tu nimepitia mambo mengi mazitoooo sanaaaa! Kumbe there are actually good men around! You just need to change your self a little to meet them in the middle! Things were DAMN TOO PERFECT TO BE TRUE!

Nikaenda kwa shoga angu mdigo ana kazi ya kuuliza Nani? Makalio yake aniporeeee! Nikamueleza Lara 1! Akauliza Nani nikamwambia haikuhusuuuu! Ila embu tu brain storm! Akasema maybe show him the real you! If he stays then he is the one! Maybe he is so damn perfect cause you are playing the perfection card! It’s time to clean the closet! Mmmmmh! Msomajiiii! Closet lilivojaaa mafuvuuu! Naanzia wapi!

Nikaanza kumchokozaaa! Mbaliiii sanaaaa! Nikamwambia unajua I have a son! Akasema I know! Niliona umeandikaaa several times! Nikamuliza SO ITS NOT AN ISSUE KWAKO? Akauliza why should it be an issue? Mmmmmh! Msomajiiii????? Huyu mtu au Malaika wa Bwana! Sisi single maza tunavoonekana kama nini sijui kisa watoto! Now mototo sio issue! There has to be a catch! Akasema yeye pia Ana watoto wa 2! There is was! A catch! It was too good to be true!

Mmmmh! Nikamwambia so you are married and all! Cause next ningwambia orevwaaa! No more MBAs! Akasema I’m DIVORCED! Just co parenting! Watoto watakuwa kote kote! Jamaniiiii! Mbona Mungu Ana nijaribuuuu Mimi majaribuuuu mazuriiii mazuriii Kama hayaaaa! Mi stakiiiii!

Unajua hakunaaa kitu kizuriii kama Single patent upate Single parent mwenziooo! Mtoto anaumaaa na Kama mtu Hana mtoto hawezi kuelewaaaa! Ila maadam nae ana watoto ile nafasi ya baba anaikavaaa fastaaaa!

Tena akaniambia I thought you will never tell me! Najikoshaaaa! I had to be sure si unajuaaa it’s a sensitive topic! Basi akanitumia picha za wanae nikazionaaa! Things were going too Smooth! Sawa Mungu yupo pamoja namiii ila sio kwa vidumeee vilivo nitesaaa maishaaa yangu yote kuwa for once navotegemeaaa! Sitaki kufurahiiii mapemaaa let me wait and see!

Sasa tukawa kama mtu Na mkewe sasa! Maaanake tunachat 24/7 tangia tunaamka mpaka tunalala! Video call 24/7! Ikapita miezi 3 hatujapishana hata kauli kidogooo! Jamaniiii hata kaugomvi cha mkweziii hamnaaa! Na maajabu mpaka hapa sijaomba mimi hata elfu 5! I now work for a living remember!

Akawa ananipigia Na wanae naongeaaa nao! Nae anaongea Na mwanangu! Akamwambia amuite baba! Siku Ona big deal Kama mjuavo wasomaji the trauma runs deep! The rejections, dharau, masutooo you just can’t heel completely by one good relationship! Vinaweza kupepea mda wowote! Ila akawa anamuita Baba! Ashazoea mwanangu! Baba wa ngapi sijui huyooo!

Akaja kuniambia kazi yako SIJAIPENDA kabisaa! Ina ku stress sanaa! Wana kuoneaaa! Sijaipendaaa! I want you to be happy! All day everyday! Jamaniiii????!!! Huyu mtu au Malaika? Mwanaume wa bongo akwambie hata kwa mbali uache kazi? Thubutuuuuuu!!!!!Namwambia haina neno nitavumiliaaaa tu! Anauliza kwani wanakulipa Bei gani? Namwambia! Analalamika sasa Mbona ndogo! Mi sikutaka kumpa maanani sanaaa! Labda anajikoshaaa tu!

Mimi siku muuliza nje anafanya kazi wapi! Nili assume ni whack jobs tu! Sababu sio wote ila wengi wana bangaizaaa! But they are hustling! Kwenda nje kupambana sio mchezo! Nikajiambia atakuwa ana fyeka nyasiiii tu!

Basi akaja kuniambiaaa kuna zawadi zangu kazi tuma bongo! Mmmmmh! Nikastukaaaaa! Nikasema asije sema nitoe $500 za kukomboaaa mzigooo! Akili kum kichwa! Akasema kuna mtu ataniletea hizo zawadi! Zishafikaaa bongo! Mmmmhhh! Nikamwambiaaa sawa dear! Akanipa namba za huyooo mtu!

Aka nipigia mdada! Akaniuliza nipo wapi! Nikamwambiaaa Kinondoni! Akasema hawezi kujaaa! Nikamwambia basi njoo kazini posta! Akaja tukakutana lunch! Dada wa makamooo! Lakiniiiii pesa imelalaaaaaa! Dhahabuuuu za dubai Na gram sio za kubahatisha! Hajavaaa cheni! Kavaaa seti ya mkufuuu! Yaani ile Ngoma sio chini ya million 15! Mmmmh hawa watu Mbona kibokoooo!

Mpaka nikaanza kujionaaa out of place! Ananiambia mimi dada yake kabisaaa! Nimefurahi sanaaa sanaaa kukufahamuuu! Jamaniiii! Mimi?! WOTP! Who would ever have thought! Akanipa bag kubwa tu la 32KG! Tukaaganaaa!

Nimefikaaaa nyumbaniii nalifunguaaa nakuta nguo za mwanangu nyingi, mpyaaa! Sio wanae wamezijambiaaa jambiaaa! Hehehee! Hata hivo wanae wakubwaaa! Mpya nguo za maana! Nguo zoete za USA za maana! The fact he thought about us is more than enough!

Kwanini UIA na lotion! Imagine mwanaume gani anaenda kununua lotion na make up! Za baby wakeee! He is so sweet! Vitu vya kawaidaaa tu! Nilifurahiii sanaaa! Nikamshukuruuu mpaka basi!

Akaja kuniambia mazingira yako ya nyumbani sijayapendaaa! Katika video calls zetu! Nataka nikufanyieee kitu! Nikamwambia sawa tu Mume wangu we fanya unachoona! Si unajua wakwe zako washa tangulia mbele za haki! Mji upo wazi huu!

Akasema hapo nataka kuweka tiles, gypsum na kochi jipyaaa! Nyieeeeee! Mmmmhhh! Nikasema sasa hapa nimepata MUME sio bwanaaa! Bahati yake enzi zangu ningemrogaaaa kisawa sawaaa! Ila sikumuaminiiiio sanaa! Like I told you some traumas ran deep!

Nikawaambia fundi wa 2! Kujistukiaaaa kupewa lift sio nipige honi! Mmoja wa rahiiiisi mambo ya goodone! Mwingine mambo ya Spanish tiles! Nikampa zote! Akaniambia tuweke Spanish zinadumu sanaa product zao! Mmmmmh! wanaume hawa hawaaaa! Nikajuaaa kuna catch!

Kama masiharaaa akatuma hio pesa! Kamiliiiii! Nikafanya ile project yote ndugu msomajiii! Kumbe kweli wanaume ukitaka wakupe vikubwaaa usiombeeee kabisaaa ( kukopwa pia imoooo muwe makiniiii)

Sina hili wala lile! WiFi akawa ananipigia simu! Kunijulia hali! Si mnajua wastaarabu! Just to know how I was doing and all! Nikaonaa ama kweli Bwana amenionekaniaaa! AnaniaLila lunch we talk like normal civilized people! She loves his brother to beats! Mi nipo nipo kwenye hili picha kama kuku wa kuchorwa!

Baada ya kurekebisha Banda la urithi, sijui ilianziaaa wapi au ilianzajeeee kila mwisho wa mwezi muamala unasomaaa! Bila kuomba! Kupiga simu wala kukumbushiaaaa! Mwenyewe tu anaelewa wajibu wake anatuma pesaaa! Ya matumizi, dada na vitu Kama hivo anasisitiza niache kazi! Atanitunzaaa!

Nikaja kumpeleleza WHY ME? Akasema kiukweli Jf katongoza sanaaa ila wanawake wengi hawajielewiiii! Akasema kabisaaa alimtongoza bibie wa Rock City siku hio hio ya kwanza akamuomba I phone ngapi sijui enzi hizo! Anasema he was like seriously! Huna pesa ya kulaaaaa, huna means ya kuishi and all you can think of is Iphone! Khaaaaaaaaa! He was so disappointed! Akaonaaa hawezi kupanga chochote na bwege yuleeee! He is kind so akamtoka tu kiainaa! Lakini Bi dada ana nyota ya wabeba box! Navokwambia mda huu ashaitia mkononi Iphone 13 pro max! Na snap zinakomaaaa! Kapewa Na mtu wa humu humu!

Alishawatongoza wengi tu humuuu ila wengine you are so nosy! Mnataka kumjuaaaa sanaaa! Anafanya nini huko USA! Yuko jimbo gani! Kama vile mna kujua hata mkidanganywa! Yaaani mpo fake life saanaaa! Sasa yeye umri umeenda for too much drama!

Mimi haku expect much! Ila alishangaaa mda simuuliziii ana nini na je atanipa nini ! Ndo maana akanikausha mda sanaaa! Aoneeee kweliiii! Akajiridhisha I liked him not what he can bring to the table! It doesn’t matter ana fyeka nyasi au anatawaza vizeee! As long its honorable income! Na hata alivoniambia niache kazi alikuwa ana ni Pima! Told you people it was a test! And I passed with flying colors! Pamoja na offer ya kutunzwa Ila nakomaaa mwanamke kupambanaaa!

Sasa anakuja bongo likizo! Na anakuja special for me! Akanipa tarehe kabisaaa anikute AIRPORT!

ITAENDELEA
 
Swala la yeye kuja lilinitia hofuuuu sanaaaa! I really wanted us to work out! All my fears came back! Just like that! Ujasiri mpya nilio ujenga ukayeyuka ghaflaaa!

Shetani akaninyemeleaaaa upyaaaa Na kuchukua Godoro kunilala kichwaniii! Ananikumbusha HOW MANY TIMES DID YOU TRY YOUR BEST AND HOPED FOR THE BEST AND HOW DID IT END? Either way life facks us all! Aaaaarrrtghggg! Nikikaaa ananiambia The boy is too good for you and you know it! Aaaaarrrh! Nikikaaaa he will find out about your past sooner or later! Aaaaaarrrghhh! You are a looser WOTP playing smart! It will cost you! Take the money and run! Aaaaaarrrgghhh! When was it never about the money! It is always about the money! You will regret it! Aaaaaaarghhhh! Nikaagiza bangi kwanzaaaa nitulize akili!

Kitambooo sanaaa nilisha achaaaa! Ila mambo yalivurugika kichwani! Mwanangu ananiuliza hio nini namwambiaaa dawa Baba! Dawa ya kifuaaa! Ndugu yangu upande wa baba akasikia harufuuu akaja ! Nikamwambia najikumbushiaaa! Akasema nilidhani umebadilika! Kumbe you can from your past but you can’t hide! Vishatindinganyaaa! Nikampasia kijitiii apunguze kuchonga avute Moshi!

Najaribu kusali swala zooote! The devil was just running me mad! Nikakumbuka usimuamini mtu mwamini Mungu! Kidogooo nikapata nafuuu! Lakini bado tumbooo jotoooo! Kama imani yangu kuwekwa kwenye Moto huu ulikuwa wa Bunsen burner!

Siku hazigandi! Siku ya siku ikafikaaa! Naendaaa mdogooo! Namwambia Mungu nakuamini wewe! Baba wa Yatima! Unitete! Nimehitahidi kubadilikaaaaa! Nimejitahidiiiii! Nipiganieeeee! Nimefikaaa pale na kukaaaa!

Mara akashukaaa! Nikaona wazazi wake baba, mama, Na watu wa kwao! The looked rich! And judgy people! Wogaaa ukazidiiii! Waki Jua mbwa kachokaaaa mimi si wataniraruaaa vipande vipandeeee!

Nikakosa nguvu za kujongeaaa walipo! Nikabakia nimekaaa kama Zombiii! I wished pastor aniazime ujasiri wake kidogooo tu! Wapiii! Nikaonaaa anaangaza angazaaa kama kunitafutaaaaa! Nikakimbilia chooni! Nimekaaa chooni nusu saaa! Juu ya mifuniko wa choo!

Ikapiga simu namba mpya! Nikapokea! Ananiuliza Mbona sikuoniiii! Nikamwambia Nimeona upo na ndugu zako! Akakuliza kwa hio? Aaaaah mi naogopa bwana! Akasema njooo! Utaniuziiii! Nishawaambia unakujaaa! Tunakungojaaaa!

Nikaenda tumbo Lina earthquake! Nimefikaaa paleeee natetemekaaa kama mgonjwa wa kiharusi! Nasalimiaaaa! Akanikumbatiaaa mpaka akaninyanyuaaaa juuu! Oooooohhhh! Basi naonaaa hayaaaa! Wazeee waleee jamaniii ndugu msomajiii!

Basi tukatoka pale break ya kwanza kupata lunch! Hata ladha siskiiii! Najuuuta kujifahamuuu! Baadae tukaagana nikajuaaa anaenda kwao! Akaita tax nikajuaaa ana niitia! Nashangaaa anapakia bag na yeye ndani!

Jamaniii! Kwanza ndani mule kuna vipisi vya bangiiii! So nipo kwenye dozi ya anxiety! Pili sijaaandaaa mazingaraaa! Jamaniiii! Nikajipa moyo tunaenda hotel bwana! Ananiambia muelekeze nyumbani! Mtumeeeeee!

Nikamtext dada avitoeeee Na kutandikaaa! Nika relax! Jembe langu lile! Nikajua ishaishaaaa case hii! Nafika nakuta mlango umefungwa dada hayupooo! Napiga simu inaita ndani! Jirani kaniambia anakula kuleee! Mayoooooo! Hajafanya Yale makarateka! Nimekwishaaaa!

Bahati Kigiza kilikuwa kinaingiaaaa!! Akaja akafunguaaa! Nikamkaribisha mgeni! Nyumba ina vyumba vingi ila nilivipangishaga mapemaaa! Maisha yalivokuwa magumu! So vyumba ni 2 tu changu na cha dada!

Ma bag mazito kanifata mpaka chumbani kakiona kipisi live juu ya bedside! Na Mimi nikakiachaaaa! Nafanyajeee sasa! Ila alichangee! Jamaniiiii mapemaaaa nimeharibuuuu! Tukaoga na kuzaaa chumbaniii! Mwanangu nae uncle wake kaka angu ashajiongeza kuna shemeji na anajua mpwa wake analala Na mama ake anamwambia leo tunaenda kwa Bibi! Mtoto hatakiiiii! Anasema nalala na mama!

Hatokiiiii! Hatoiiii nafasiiii ! Mi toto hiii jamaniii! Bwana yule akakuliza swali la kwanza hii bangi ya nani? Nikamsoma akili zake zote ni ya mwanaume kaisahau! Nikawaza nikisema ya kaka anauliza chumbani kwangu inafanya nini? Nikisema ya dada ndo oves kabisaaa! Nikaza moyoo yanguuu! Akasema vutaaaa! Huu mtego kama sio master huwezi kuimiliki ipasavyo!

Nikaiwashaaa! Na kuipulizaaa baridaaaa! Akaingia mwanangu Mama ana vuta dawa ya kifuaaa! Fakeeereeeen! Kama shetani kuniwezaaaa kanimalizaaaa! Akasema so you abuse regularly infront of your son! What kind of mother are you? Mambo yalikuwa yanaenda kusiniiii kwa kasi! Akasema siwezi kulala hapa I can go to jail for this! Siweziiiii!

Shetani Na nafsiiii vyote vinanichekaaaa! Vinaniambiaaa we told you so! Nikatuliaaa pale navutaaa tu ule msubaaa kwa mdaaa! Sasa nifanyajeeee! Kama anaenda aendeeee tu! Nishaharibuuuu sawa Ila sio mwisho wa duniaaa!

Nae akawa amekaaaa! Akasema nipasieeee hiko kipisiiii! Aaaaaaaa! Kumbe mwanachamaaa! Tukawa tumekaaa wote! Tunalipulizaaaa! Ana lalamika itamchukua mda sanaa mpaka kipimo jiwe safi! Huko UN wanapimwa mara kwa mara!

Raha ya bangi ikikoleaaaa Na mizukaaa inapandaaaaaa! Kaanza kuvua nguooo na Mimi nikavuaaaa! Nifanyajeeeeee! Huku tunaendeleaaa kulipulizaaa dude la Jamaicaaa! Mechi kaliiiii sanaaaa ilipigwaaaa! Kaliiii sanaaaa! Ya kitamboooo hikoooo cha form 3b! Achana Na 🇯🇲!

Kustukaaa asubuhiiii saa 5! Aka toka nje anakaguaaa mazingiraaa yake! Anasalimiaaa majiraniiii! Jamaniii! Ana waambia yeye ndo mume wangu alikuwa nje! Majirani kama watu! Moyoni wanasema ungejuaaa tunayojua sisi ungekaaa kwa kutuliaaaa!

Tumekaaaa pale wiki nzimaaaa! Baadae akasema tuhamie kwenye appartement! Masaki! Huko kifupiiii nilitumikaaaa ipasavyoooo! What I liked about him he is straight forward! Simu hafichiii! Hata convoooo anaongeaaa mbele zako! Day 1 kanitambulisha kwa wazazi wake! Who does that? Alinivurugaaaaa vibayaaa mnooo! Na kwenye mechiiii yupo fit ! Ana upendo wa kweli! I didn’t have to try hard! Wala kutumia karata za ziada! Mambo yalikuwa easy going! Very easy going! Like Kama tumejuana Miaka 20 iliopita!

Kwao naendaaa kama kwetu! Naenda na mtoto hivoooo!Mama yake ananipigiaaa simu! Dada zake they are kind people! Tofautiiii nilivowafikriaaaa! Ikabaki wiki! Akaniambia anaenda kukaaa na ndugu zake! Kulikuwa na misa ya shukraniii Na mambo kama hayoooo! Nikamwambia ngoja nikupakieeee!

Katikaaaa kupakiii pakiiii nikaonaaa ana passport 2! Moja ya USA! Ya 2 Diplomatic! Mmmmhhhh! Not that I cared by now hata Angekuwa anapiga debe ningeenda kupiga nae! Ukitoa pesa kwenye picha he treated me n my son very nice! Alitupa thamani yetuuuu! Wale mbuziiii wengineeee walininyanyasa sanaaa!

Akaniachia home work tafuta biasharaaaa! Tufanye woteeee! Nataka ni set mambo kablaaa sijarudii au hujajaa kule! I don’t want you to work for those nasty people!

Nikajuaaa yupo serious! Nikawazaaaa biasharaaa kama 20! Zote anasemaaaa mtajiiii mdogooo! Competition kubwa! Too much work! Mpaka nikakataaaa tamaaa!

Siku moja nikawaza Microfinance! Nikamwambiaaaa! Akasema hio sawaaa! Sasa mtaji atakuwa nao! Maana kwa proposal niliokjwa nayo minimum ni 50m! Nikampaaa hivo hivo tu!

Akasema Sajili kampuni fungua account! Nikajaza mi paper work ile balaaaa! Nawaza sijuiii kweliii au uongoooo! Kampuni ya watu wawiliii! Tuk as ajili hio microfinance! Akatoa pesa hizooo $25,000! Sio nyingiii kwenu wasomajiiii kwangu ndo kila kituuu! Na majina yangu yapo Kama Owner! Jamaniiii! Jamani hata nikikosaaaa Ndoa kwa hili tuuu nimevunaaaa!

So mpaka sasa ndo naiendesha! Nimerudi shule kufanya CPA! Na Masters! I want to manage my shit properly! Sitakiii kumuangushaaaa kabisaaaa! Na anarudi soon akipata likizo kuna dalili za ubwabwa! All in all he is family now! Kwao wananijuaaaa! Kwetu wanamjuaaaa! Tunapendanaaa!

KWANINI NIMEANDIKA HII STORY YANGU HAPA! CAUSE NATAKA WANAWAKE WNEZANGU MJUE DESPITE WHAT HOPE IS THERE! MI NISHAKATA TAMAAA NA KUTUMIKAAA HUMU SANAAA!PEOPLE TREATED ME LIKE TRASH TO THE POINT I WAS FIGHTING TO BECOME BETTER TRASH! ILA MUNGU NI WETU SOTEEEE KANIPA MTU WA KINITIBUUU MAJERAHAAA YANGU, KUNIPA HOPE NA FUTURE!

BE INAPIRED BE MOTIVATED! KAMA KUNA VITU VINAKUFANYA UWE CHINI PAMBANA NAVYOOO! WANAUME NI WALE WALE WA JF WA MTAANI! TENA BORA WA HUMU! THERE MAYBE ONE FOR YOU!

THE END!
 
nimejifunza mambo mawili baada ya kusoma huu uzi.Yani Mungu wetu ni wa rehema na huruma sana anaweka dhambi zetu mbali nasi kama mashariki ilivyo mbali na magharibi na haukumu kama wanadamu.
Pili bado kuna wanaume wana upendo wa ajabu na uaminifu, Mungu ambariki sana huyo kaka popote walipo.
If wishes could be horses.....
 
Stori inasisimua kweli yani, wanaume wa humu sijui wana vita gani na single mothers...! Asante Lara1 na karibu na dude jingine...
 
Nshaanza kuandaa sare…
I am happy for you and I pray jamaa amalize shughuli.

Japokuwa jamaa alionyesha njia ila pia na wewe ni mpambanaji, mtu kuweka hela yake hajapoteza…mwingine hapo angewaza a new car,fancy lifestyle and all that.. but your mind like mine straight to business…

Nakukubali sana WOTP.
 
Dini ni nyepesi sanaaa! Ila ni nzitooo! Lara 1 na bible zake alikuwa ananivurugaaaa tu vuuu! Kweli kabisaaa ndugu msomajiiii unaweza amini kwamba mimi WOTP naweza samehewa na Mungu! Na Mungu bado akanipendaaaa serious kabisaaaa! Baada ya kutumikia utawala wa shetaniii ngazi zoteee mpaka zile za juuu! Hukumu ya mda itaniachaaa vipi?

Ila sababu upande wa shetani nishafanya kila kituuuu! Nime kali a mpaka MIJUBILENG! Jamaniiii! Na mambo ya likuwa bila bila! For efforts ndugu wasomaji nipeni tu A! Huko kanisaniiii kutakuwa na maajabu ganiiii ya kunishindaaa mimi na Huu ukonkidizer! Hata nikiambiwaaa nilale na pastor wiki 2 Mbona jambo dogooo sanaa kwanguuu!!!

Serious ndugu wasomajiii I have already failed enough!!! I failed my parents, I failed my son, I failed my government hayati Mkapa Ali pambana sanaaa kujenga shule za sekondari, tusome bure ma Yatima! Tukasomaaa! For what? Kuja kuwa fuskaaa! I failed myself totally and completely! If there is a tinny bit of hope nipo tayari kufanya lolote na yote to change my story! Nilikuwa stage I can not even look at my parents graves Maana naona kama zinanifokeaaa!

Ule mpango wa kurekebiasha maisha yangu ulikuwa pale pale! Kwanza kuzaaa sio ugonjwa! I started eating clean! Naenda gym 4 times a week! I was working steady miezi zaidi ya 6! Nanyanyasikaaa ila sababu nishafanya maamuzi Sia chi ngoooo! Nadhani walijiuliza huyu kiumbeee Mbona suguuu! Nawajibu tu Yatima hadekiii! Tuko pamoja hapa ofisini hata mkisema nije nideki asubuhi Nita Deki!

Nikarudi kwa Lara about the church business! Nikasema niko Tayari ! Ila bado na mashaka Kama Mungu Kama Kweli kanisameheee kweliii! Isije kuwa anataka anichomeeee! Nakuja huku afu hukumuuu inaanza mapemaaaa sanaaa! Heheheee! Akaniambia nimesamehewa mimi itakuwa wewe? Mmmmmh lakini kweli ndugu msomajiii!

Namuuliza hio isharaaa tunafanyajeeee? Akasema hio bwana sio kirahisiiii rahisiii! Mungu ni neno! Ili umjue Mungu lazima ulijue neno! Hamna shortcut! kusistiza akanipa kabisaa huu mstariii Kutoka

Mathayo 15:21-28 ‘21 Na Yesu akaondoka mahali hapo akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. 22 Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu hizo akaja kwake, akamlilia, akasema, “Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana.” 23 Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. ” 24 Akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli wal iopotea.”

25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu akasema, “Bwana, nisaidie!” 26 Yesu akajibu, “Si haki kuchu kua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”

Mmmmmmh! Yesu mnazaretii huyu huyu au? Nikaanza kuona hata kanisaniii sio kwepesi! Je huyu mwanamke wa Sidon sio bora kuliko mimi? Sasa yeye kajibiwa vile mimi je? Lara ananipa moyooo wewe okokaaaa! Ukiokokaaa unakuwa mwana wa Mungu! Sio mbwa tenaaa! Mmmh! Msomajiiii! Nimepatikana!

Nikasema sawa! Naanza kusoma bibliaaa kitabu cha Mwanzo! Mimi na vitabu wapi na wapi! Nikikaaa bank nasomaaa! Kwenye daladala nasomaaa! Nasikiliza you tube Tb Joshuaaa! Namsikiza Mwakasege, Sunbella, kiukweliii baada ya kusikizaaa nikawa tu addicted!

Nilivomsikiza Mungu ni mtu very reliable! Sio kama wana damu! Akisema kasemaaa! Ina maana hata akinipa hio isharaaa itakuwa permanent! Ngoja ni Endelea kufata Njia zake!

Numbers 23:19 King James Version​

19 God is not a man, that he should lie; neither the son of man, that he should repent: hath he said, and shall he not do it? or hath he spoken, and shall he not make it good?’

Kweli kanisaniii Kuna mambo yakeeee mengiiii! Na vibuziiii vipo vipoooo! Sema sasa ndo macho ya rohoniiii! Kiukweli vilikuwa vimechokaaa tu! The sacrifice should match the CATCH! Nimejitoaaaa sanaaaaa! Natakiwa kupataaa mtu bab kubwaaaa!

The beauty of the lord , Mungu wetu ni Mungu wa amani! Ukisikia bwana wa majeshiiiiii usipime jeshi lake! Lina SILAHAAAA zoteeeee na hatariiii mno mnoooo! Ni kutozijuaaaa tu! Ndo maana Lara kaokokaaaa! Si bure bureee! Tatizoooo loloteeee Silaha zake zipo kwenye bible!

Kuna mda boss Kama alitaka kunitakaaa hiviii wakati mimi uzinzi nimeachaaa kabisaaa! Nikakosa rahaaa kabisaaa! Lara akaniambia huyo Mbona simple sanaaa! Tunamfungaaa mdomooo! Hakutamkiii upuuzi wake! Neno lipo! Na tunaliachiaaa juu yake litamfungaaa maisha yake yoteeee!

Joshua 6:1

Now Jericho was shut up inside and outside because of the people of Israel. None went out, and none came in.’ Kama Yerico ilivofungwa nje na ndani namfunga mdomo huyu boss nje Na ndani asiwezeee kutamkaaa haya maneno kabisaaa juu yangu! Believe it boy! He never said a word! Nadhani hata yeye alikuwa hajui Kwanini alishindwa kutamka!

Pia vita sio lazima uchokozwe wewe! Hata wewe unaweza kuchokoza ! Nilikaaa nikaonaaa Kwanini niishi kama mbwa ofisini wakati Baba yangu wa Mbinguni ni mfalmeee! Nikazamaa kwenye maombiii ya kibaliii ya Ester! Nimefunga 3 kavuuu! Unakunywa maji tu! Mungu mkubwaaa hata sijamalizaaa nikapandishwa cheo!

Kweli mambo ya kiroho ni magumuuu sanaaa! Ila yanapambanikaaa! Ugumu upo kwenye kuacha hilaaa za hapa na pale! Mambo ya mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia! Mambo ya USIZINI! USIIBE! USISEME UONGO! USITAMANI MWANAMKE ASIE MKEO/MUMEO NA WALIVO NONAAA SASA! Haswaaa kanisani! Cause they are bored to death! They only need invitation to treaty! Yaani wana Ngoja mtu aseme tu SUUUU! Hapo Mungu anakwambia nataka nikuinueeee! Nataka nikupe mumeo! Nataka nikupe nyumba yako! Hatariiiii!

Watu wanasema ukitaka mume okokaaa! Nikajua basi Niki ingia tu kanisaniii mwezi hauishiii nimeolewa! Na venye Bwana wa Majeshi ako na nguvu na uweza Mbona jambo Dogo sanaaa kwake! My friend that was not the case! kanisani kuna lonelier people than you can ever imagine! Waiting in vain! Bora kitaaa tunapoozanaaa kibingwa! And most marriages are neither happy ni formality tu! Usionekane umekosaaa! Maybe sikuangalia vizuriii! Nilikaaa kanisani mpaka nikaanza kufanana Na kanisaaa! Nikajiambiaaa there must be a shortcut!

Nikamfata Lara niambie shortcut! Najuaaa Ipo! Najuaaa unaijuaaaa! Anasisitiza unaweza wahi kwenye harusiii ila huwezi Foji ndoaaa! Ndoa Ina processs! Wewe unaweza Ona kusoma hio bible kujifunza ni usumbufu! Ila hushangiii watu wanapata ndoa afu wanapokonywa! Utapata haitadumuuuu! Nikamwambia cut the bullshit nipe shortcut!

Akasema well I researched after charming several pastors men and women! Believe me men pastors are easier to charm! It wasn’t easy but I got the shortcut! Nikamwambiaaa I’m ready!

Kwanza lazima ujue unakwama wapi! Itakusaidiaaa!

Kuna sababu nyingi huolewi! 1. Unachaguaaa sanaa! Wakukuoa wapo ila ndo sio chaguo! Kumbuka kwa Mungu wote sawa! Mungu anatuangalia macho ya rohoni! So kama unakwama hapa unaona wanaume wote mavimavi tu! Inabidi umuombe Mungu akuchagulie yeye na ilibakia me nae! Unaahidi umekubali na yeye at akuletee! And God being God expect anything! We unaamini Dc Joka kakosa wa kumuoa? Thubutuuuu!

2. Inawezekana tabiaaa zako! Pia ni spirits! Kiburi, jeuriiii, majivunooo, dharauuuu! Uvivu you name it! Hizi zote ni spirits! Fanya maombi Na amua kwa dhatiii kuachaaa hizi mambo!

3. Uchawiii, viapo, Lana! Hizi zinatesaa ila zikikemewa zinatokaaa! Namba 2 ni mtiti! Ushawahi ona unafanya mapmbi dhidi ya your own personality? Balaaa!

Despite the reasons Ipo njia nyepesi sanaaa! Mnooo mnooo ila ni ngumu balaaa!

Akasema Mwanamke kwenye bible ana NAFASI 3 kwa Mume!

Kwanza Kuhani! Ukijicommit utaenda kuwa kuhani wake na familia yenu mtayoanza na yake, siku zote ku muongozo katika Mungu! Mume wako huyooo! Ukizingua kwenye ahadi unaporwaaa! MABINTI wa kilokole hii mbinu wanatumiaaa hatariii! Ndo maana hawakawiiii!

Pili Nafasi ya mama! Ukazaeee sio kumeza majiraaa tu! Na kuwa na upendo wa mama yake! Upendo usio ulizaaa! Upendo wa dhatiii! Kwake Na familiaaa!

"Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It does not dishonor others, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs." Mtume Paulo mwenyewe aliamua isiwe tabu bora asioe! Ndo utajuaaa hujuiii!

Zingatiaaaa hizooo 2 ! Ukiziwezaaa mume utapewaaaa mapemaaa! Zikikushinda hizo 2 ya 3 hutoiwezaaa kabisaaa!

Jamaniiiii! 2 zenyeweee zishaanza kunishindaaa! Nikamuuliza na ishara tunafanyajeeee!!!? Akasema ishara bwanaaa mpaka impart mtu ndo uulize Ndio au sie! Na Kama ndie upewe isharaaaa! Mmmmmhhh!

Kwa jinsi nilivokuwa nimefikiaaaa kiukweli zile nafasi 2 nilizo comity faster! How harder can they be! Na mimi mda huuu nimetakataaaa! Nawakaaaaaa! Shetani nimemkaliaaaa! Hana ujanja kwangu tenaa! Nimejirepeaaa! Mwili na rohooo! Kweli kuolewa kwa stage hiii lilikuwa jambo la wazi kabisaaaa! Naachajeeee! Simu simu zikawa kama zoteeee!

Nikarudiii jukwaani! Kwanza MMU pa Kawa hapanifaiiiii kabisaaa! Nikawa nacheza anga za Inteliency na Siasa tu! Nikizidiiiii sanaa Uchumiiii! Mimi sio mwenzenuuu tenaaa!

Mara paap! Aka ni Dm kichwa kibovuuuuu kibovuuuuuu humu ndani! Katika top 5 ya vichwa vibovuuu lazimaaa umtajeee! Nikasema oooooh shit! Huyu shetaniiii kabisaaaa kaja mchanaaa! Nikaikemeaaa ile PM!

Nikarudi kwa Lara namwambia Mbona mambo bila bila! Akasema haiwezekaniii! Ulifata manual kama nilivokwambiaaa! Namwambiaaa nimefataaa kabisaaa! Akaulizaaa hamnaaa mtu wa ajabu ajabu amekuchekiii? Mmmmmh! Nikamwambiaaa yupo ila sioooo!

Anasisitiza sasa huyo Ndio! Mmmmmmhhh wasomajiiiio wanataka kunifanya nini? Nikamwambiaaaa hapaanaaaa! Nishakemeaaaaa! Anasisitiza mtazame kwa jicho la rohoni! We unamjuaaaa Ila Mungu anamjuaaaa zaidiii yako! Usimwamini kichwa kibovuuu Muamini Mungu! Huwezi muomba makate akakupa jiwe! Mmmmmmh! Wasomajiiii hapa napigwaaa mchanaaaa kweupeeee! Nikasemaaa HAPANA!

Akasema mpe chance! Maybe muombe Mungu isharaaaa! Huweziiii juaaaa! Mmmmh! Hio ishara akiwa mwenyewe nafanyaje? Weeeeeeee! Nikawa sitaki isharaaa wala nini iwavo iwavo kichwa kibovu simtakiii! Nikamuuliza kama simtakiii inakuwajeee? Akasema haina kukataaa! Ataletwa mbele zako mpaka utakapo kubali! Weeeeeeeee! Nikamuuliza ndo kimekuuta nini? Akasema ndo manake! Mmmmmh nyie wasomajiii haya mambo sio poaaa!

Nikakakta shauri nika mjibu yule kichwa kibovuuu nimtibueeee vuuu mpaka anikateee mimi ! Maana mpaka kanitafuta Bwana kasha sema nae! Nikaingia PM! Na kumjibuuu!

ITAENDELEAAAAAAA!!!!!
Kichwa kichafu
 
Haya masistaduu wa JF njoo Pm haraka sana

Msije jutia baadae kupiga teke fuko utajiri wa mapenzi na pesa

Real estate tycoon to be nipo hapa nasaka mke.

Jitose ,jilipue pm haraka sana u never know unawesa okota dhahabu manzese midizini

Dedication: wife - daz baba ft ngwair
 
Back
Top Bottom