Weekend Special

Wikendi spesho mie nna swali tu ambalo napenda kujibiwa !

Hivi kwa nini utakuta kijana mdogo wa kiume lakini anaenda sehemu kwenye mtandao anajiandikisha jina la kike ? Unadhani baada ya miaka 2-4 huyu mwanamme si ana chance kubwa ya kuwa gay/msenge ? mnaonaje kuhusu hilo jamani.
 
Teh teh teh teh mkuu umepiga Ikulu hapo....
 
Wikendi spesho mie nna swali tu ambalo napenda kujibiwa !

Hivi kwa nini utakuta kijana mdogo wa kiume lakini anaenda sehemu kwenye mtandao anajiandikisha jina la kike ? Unadhani baada ya miaka 2-4 huyu mwanamme si ana chance kubwa ya kuwa gay/msenge ? mnaonaje kuhusu hilo jamani.

..alipenda kuwa binti!

..au ana madada kibao kiasi kwamba wamempa jina la kike,hilo analotumia!

..anataka kujua siri za kina dada,kwa kujifanya yeye naye dada!

..ana matatizo ya kisaikolojia!

..anataka kutongozwa,aone utamu wake[wa kutongozwa]!
 
nimekuelewa yakhe, basi inabidi nimtume mtu ili apate kusikilizia kuona what it feels like maana mabaradhuli kuongezeka kila siku nishai bana !
 
..hata we mwenyewe!

..ukilishika chungwa si lazima ulimenye!

..na ukilimenya si lazima ulitafune!.....na kulimeza!

btw,mambo uyaone first hand!ndo utamu wake!
 
duh,thats waaaaayyyyyyyyyyyyy NASTY ! wewe mtu wa .........nini ? maana hiyo miji yote hapo uliyoitaja inanifanya niwe na shaka na ww !

duh na ulivyosema kwa huo mtiririko inaelekea wee mtaalamu mambo fulani ! lets not go there tho.
 
..marashi ya visiwani yananukia!mambo ya udi!jasmine!....
 
kukong'oli hadi ligando ! basi nshajua wee ntu wa wapi !

wee dar si lamu, subiri kwanza nimtafute brazameni aje hapa maana leo ijumaa, kesho jumamosi si unajua tena !

naenda kupumzika bidae tutawasiliana Mungu akipenda !
 
..ila mambo ya brazameni makubwa zaidi!

..unajua samaki ana namna yake ya kumla,sasa,mi humla pande zote kwa kuwa kuna nyama[mnofu]!sifanyi hivyo kwa kuwa napenda kumgeuza,la hasha!

..kuna watu wakila hata kuku,lazima wamgeuze!sasa,hayo ni mambo yao...mi siyawezi...yana gharama zake!

..inshaalah!baadeni!
 
Asante, wimbo umebuniwa vizuri, na video yake inaonyesha ubunifu halisi ya kijana huyu.
 
Wikendi spesho mie nna swali tu ambalo napenda kujibiwa !

Hivi kwa nini utakuta kijana mdogo wa kiume lakini anaenda sehemu kwenye mtandao anajiandikisha jina la kike ? Unadhani baada ya miaka 2-4 huyu mwanamme si ana chance kubwa ya kuwa gay/msenge ? mnaonaje kuhusu hilo jamani.

Kada,

Huyo anaonea gere attention wanayopata akina Mwafrika wa Kike, anataka na yeye afaidi kidogo. Si unaona Nyani akiwasiliani
na Mwafrika wa Kike hata lugha huwa inabadilika? Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hili swali mkuu chanzo chake ni nini?
 
Sioni kama ni tatizo kwa mtu kuwa gay/msenge. hiyo ni choice ya mtu binafsi na tunatakiwa tuiheshimu. watanzania wengi tuna tatizo la kuwa wanafiki linapokuja suala la usenge, lakini ukipewa nyuma 'kama sunna' unachekelea! Hata kwenye kitchen party imo hiyo!
 
Kwa wale wazee kama mimi, tujikumbushe enzi zetu:

[media]http://www.youtube.com/watch?v=qnXslttpPPs[/media]
 
Kada,

Huyo anaonea gere attention wanayopata akina Mwafrika wa Kike, anataka na yeye afaidi kidogo. Si unaona Nyani akiwasiliani
na Mwafrika wa Kike hata lugha huwa inabadilika? Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hili swali mkuu chanzo chake ni nini?

sasa hayo umesema wewe ! mie nimeuliza swali kama general question na halikuwa directed kwa mtu yoyote, unasema mwafrika wa kike ? mie namjua ? yeye ni mwanamke ndio maana anajiita mwanamke, mie nasemea jamaa moja hivi la DHW, nipo kule pia bana ! sasa hayo ya mwafrika wa kike mie sifahamu lakini kama unataka kutumwagia nchele hapa unaweza ukafanya hivyo !

sasa hiyo atensheni mie itanisaidia nini ? ok, nikipata atensheni JF, muda mwingi natumia kwenye shughuli zangu hivyo i could care less about JF and/or its ratings ! kama kuna mtu ambae anaspend muda mwingi sana JF well that could be the one looking for atensheni !
 
Sioni kama ni tatizo kwa mtu kuwa gay/msenge. hiyo ni choice ya mtu binafsi na tunatakiwa tuiheshimu. watanzania wengi tuna tatizo la kuwa wanafiki linapokuja suala la usenge, lakini ukipewa nyuma 'kama sunna' unachekelea! Hata kwenye kitchen party imo hiyo!

hahaaaa, hilo ndio jibu nililokuwa nasubiri lakini sio kwa watu wengine kutoa assumptions ambazo hazina mwanzo wala mwisho !

lakini hilo jina jafari pia nna mashaka nalo !
 
Sioni kama ni tatizo kwa mtu kuwa gay/msenge. hiyo ni choice ya mtu binafsi na tunatakiwa tuiheshimu. watanzania wengi tuna tatizo la kuwa wanafiki linapokuja suala la usenge, lakini ukipewa nyuma 'kama sunna' unachekelea! Hata kwenye kitchen party imo hiyo!

Hmmm! Hii kali tumheshimu mwanaume mzima kwa kufanya kitendo cha kifirauni ambacho katika jamii nyingi hapa duniani hakikubaliki! Kipi hasa cha kumheshimu mtu kama huyu!? Hebu naomba nieleweshwe!
 
2a8fi2d.jpg
 
Back
Top Bottom