Weekend Special | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weekend Special

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MegaPyne, Oct 20, 2007.

 1. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wikendi spesho mie nna swali tu ambalo napenda kujibiwa !

  Hivi kwa nini utakuta kijana mdogo wa kiume lakini anaenda sehemu kwenye mtandao anajiandikisha jina la kike ? Unadhani baada ya miaka 2-4 huyu mwanamme si ana chance kubwa ya kuwa gay/****** ? mnaonaje kuhusu hilo jamani.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2007
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  CMB asante, nyimbo imetulia!:d
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh teh mkuu umepiga Ikulu hapo....
   
 4. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..alipenda kuwa binti!

  ..au ana madada kibao kiasi kwamba wamempa jina la kike,hilo analotumia!

  ..anataka kujua siri za kina dada,kwa kujifanya yeye naye dada!

  ..ana matatizo ya kisaikolojia!

  ..anataka kutongozwa,aone utamu wake[wa kutongozwa]!
   
 5. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sio ikulu tu hadi chumbani anakolala rais tutagonga, moto umewaka chumbani kwa mengi bana sembuse kwa watoto si rizki wa kujitakia !

  Haogopwi mtu !
   
 6. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa yakhe, basi inabidi nimtume mtu ili apate kusikilizia kuona what it feels like maana mabaradhuli kuongezeka kila siku nishai bana !
   
 7. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..hata we mwenyewe!

  ..ukilishika chungwa si lazima ulimenye!

  ..na ukilimenya si lazima ulitafune!.....na kulimeza!

  btw,mambo uyaone first hand!ndo utamu wake!
   
 8. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  duh,thats waaaaayyyyyyyyyyyyy NASTY ! wewe mtu wa .........nini ? maana hiyo miji yote hapo uliyoitaja inanifanya niwe na shaka na ww !

  duh na ulivyosema kwa huo mtiririko inaelekea wee mtaalamu mambo fulani ! lets not go there tho.
   
 9. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..marashi ya visiwani yananukia!mambo ya udi!jasmine!....
   
 10. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kukong'oli hadi ligando ! basi nshajua wee ntu wa wapi !

  wee dar si lamu, subiri kwanza nimtafute brazameni aje hapa maana leo ijumaa, kesho jumamosi si unajua tena !

  naenda kupumzika bidae tutawasiliana Mungu akipenda !
   
 11. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..ila mambo ya brazameni makubwa zaidi!

  ..unajua samaki ana namna yake ya kumla,sasa,mi humla pande zote kwa kuwa kuna nyama[mnofu]!sifanyi hivyo kwa kuwa napenda kumgeuza,la hasha!

  ..kuna watu wakila hata kuku,lazima wamgeuze!sasa,hayo ni mambo yao...mi siyawezi...yana gharama zake!

  ..inshaalah!baadeni!
   
 12. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2007
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante, wimbo umebuniwa vizuri, na video yake inaonyesha ubunifu halisi ya kijana huyu.
   
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kada,

  Huyo anaonea gere attention wanayopata akina Mwafrika wa Kike, anataka na yeye afaidi kidogo. Si unaona Nyani akiwasiliani
  na Mwafrika wa Kike hata lugha huwa inabadilika? Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Hili swali mkuu chanzo chake ni nini?
   
 14. p

  princejafari Member

  #15
  Oct 20, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni kama ni tatizo kwa mtu kuwa gay/******. hiyo ni choice ya mtu binafsi na tunatakiwa tuiheshimu. watanzania wengi tuna tatizo la kuwa wanafiki linapokuja suala la usenge, lakini ukipewa nyuma 'kama sunna' unachekelea! Hata kwenye kitchen party imo hiyo!
   
 15. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wazee kama mimi, tujikumbushe enzi zetu:

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=qnXslttpPPs[/media]
   
 16. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sasa hayo umesema wewe ! mie nimeuliza swali kama general question na halikuwa directed kwa mtu yoyote, unasema mwafrika wa kike ? mie namjua ? yeye ni mwanamke ndio maana anajiita mwanamke, mie nasemea jamaa moja hivi la DHW, nipo kule pia bana ! sasa hayo ya mwafrika wa kike mie sifahamu lakini kama unataka kutumwagia nchele hapa unaweza ukafanya hivyo !

  sasa hiyo atensheni mie itanisaidia nini ? ok, nikipata atensheni JF, muda mwingi natumia kwenye shughuli zangu hivyo i could care less about JF and/or its ratings ! kama kuna mtu ambae anaspend muda mwingi sana JF well that could be the one looking for atensheni !
   
 17. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hahaaaa, hilo ndio jibu nililokuwa nasubiri lakini sio kwa watu wengine kutoa assumptions ambazo hazina mwanzo wala mwisho !

  lakini hilo jina jafari pia nna mashaka nalo !
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,353
  Trophy Points: 280
  Hmmm! Hii kali tumheshimu mwanaume mzima kwa kufanya kitendo cha kifirauni ambacho katika jamii nyingi hapa duniani hakikubaliki! Kipi hasa cha kumheshimu mtu kama huyu!? Hebu naomba nieleweshwe!
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
Loading...