ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,534
- 44,652
Nimeshagundua ikifika weekend Jf panakuaga pamoto sana.ukitaka kuleta maada ipate wachangiaji Wengi we post jumamosi au jumapili utaona
Sijaona vidole sita kitambo sana.....shukrani.Nimeshagundua ikifika weekend Jf panakuaga pamoto sana.ukitaka kuleta maada ipate wachangiaji Wengi we post jumamosi au jumapili utaona View attachment 1636846
Hiki hapa mkuuSijaona vidole sita kitambo sana.....shukrani.
Ubarikiwe...mko wachache....na Baraka zenu....Hiki hapa mkuu View attachment 1636867
Ubarikiwe...mko wachache....na Baraka zenu....
Vikao vya Harusi vimeanza?nakutafuta sana
Vikao vya Harusi vimeanza?
Nipo...wewe tu.
Sawa basi...nitakutafuta.ndio vimeanza dear
Sawa basi...nitakutafuta.
Yaan uje dukani kwangu upige picha vinywaji badala ya kununua, nitakuwasha viboko hadi ushangaeNimeshagundua ikifika weekend Jf panakuaga pamoto sana.ukitaka kuleta maada ipate wachangiaji Wengi we post jumamosi au jumapili utaona View attachment 1636846
ChukuaNawomba Safari Lager baridi 2 na Pilsner Ice moto moja.
We boya kweli kwa taarifa yako hapo sio dukaniYaan uje dukani kwangu upige picha vinywaji badala ya kununua, nitakuwasha viboko hadi ushangae
Sawa sawa naona fridge la home umejaza vijuisi vya watoto (u-fresh) vya mia miaWe boya kweli kwa taarifa yako hapo sio dukani
Ok naona wewe unanitafuta Sasa endelea utanipata tu soon as possibleSawa sawa naona fridge la home umejaza vijusi vya watoto (u-fresh) vya mia mia
Naona umeskip ule upande ulipo weka vi U-FRESH vya watoto vya mia mia, ila kuogongea sio dhambi, sikuchapi viboko usiogope mkuuOk naona wewe unanitafuta Sasa endelea utanipata tu soon as possibleView attachment 1637159