weekend ndio imefika tupunguze mawazo kwa kupeana michapo ya town | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

weekend ndio imefika tupunguze mawazo kwa kupeana michapo ya town

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NEW NOEL, Aug 4, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 816
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Dah pamoja na mawazo mengi tuliyonayo kuhusu rushwa bungeni,kufungiwa mwanahalisi,kugombana na wake zetu,wapenzi wetu....tusahau yote hayo. Tupeane michapo ya town.
  Bwana wewe kiswahili kipana.....Leo nilikuwa asubuhi,nilikuwa nasikiliza Redio one kipindi cha kumepambazuka nikasikia mwanamama mmoja anasema ''Hata mpera wanyumbani ukiiva na kutoa mapera yaliyonona uwezi ukala'' unajua maana yake.....eti maana yake ni kuwa hata dada yako awe amenona vp uwezi kumwoa.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  teh,teh,...kweli weekend inaendelea,dah hii kali,na inafurahisha
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Inafuatana na ntu na ntu, kuna wengine naskia wanakula vizuri tu!
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  hivi siku hizi kuna weekend?
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  dah....mimi w/end hii nina kisirani kama nini......ipite haraka.....
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Kama mapera hayaliki si yananyweka kama juisi,lol
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: nimependa huo msemi wabongo kwa maneno hawajambo
   
 8. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Na kweli manake binamu yangu kila akijaga huwa ananimbia we usungekuwa dada yangu ningekuoa.Basi na si tukikutanaga familia tunaanza kuambiana kama ndugu wangekuwa wanaoana nani angemuoa nani huwa inakuwa fani kweli manake mtu anataja mapungu na mazuri ambayo angekuwa naye mwenza wake.
   
 9. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 816
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Hasira za nini bibie....yanyuma tupia kule....tufurahi.
   
Loading...